Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Haya all the best na harakati zako. Wewe unajua kila kitu sisi viazi ngoja tunyamaze tukuache wewe mwenye akili kutuzidi uongee.
take it easy buddy,wote mnatukumbusha wajibu wetu wanafunzi wa hii kitu,huku wewe ukitaka tusichukulie rahisi na tupunguze pupa ili tuelewe vyema kuepuka risk na mwingine akitupa moyo kuwa japo tuna papara ila tutafika kwa sababu naye alikuwa ktk hali hiyo wakati anaanza
 
Nimepitia comment za watu i real excieted kwamba mwamuko wa watu upo ila watuu waache pupa tuuu kwrnyr maisha hujawahi wala hujachelewa bahati ya mtu iko pale pale no matter ni katika umri gani a.k.a forgner the don.
Nahitaji kujifunza mkuu
 
ONTARIO nimesoma zaidi ya siku mbili kwa kweli sina ujanja na mm ni-join 0718-441774
 
Mkuu uko sahihi! Lakin kwa huo mkwanja ningekua na akaunt yenye dola 100 maana kwa jana ningepata 11 USD! JE NI NDOGO??

Kwa wastan wa dola 11 kwa siku maana ni 25000 tsh...kwa mwezi ni almost 750,000/=! JE KWA MTU WA KAWAIDA NI NDOGO???

Hapo ukiwa na hiyo usd 200 ina maana una 1mil +++ per month!! Bado si mbaya mkuu!

Te rule of thumb is...ukiwa na lot size kubwa unakuwa na possibility ya ku earn more!! Lakin hata kama una hiyo dola 200 uki apply leverage bado u gonna make it!!

Karibu!
Sijakupinga kiongozi ila nilimaanisha ukiwa na pesa ndogo kwenye account unakua makini sana kutrade na pia leverage ni ndogo all in all tuko pamoja [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
vipi wangwanaa?..nmebahatika kupatana na mzoefu wa haya masekta majuzi haya..wacha nizidi kufaidi maujanja...ila bado kauzi nakafatilia kwa makini..tuzidi kwenda mbelee..
 
Mkuu i rl liked your accomplishmnts in demo a/c, hw do u leave me behind dude......??
No not really friend! I prefer to learn and practice what am learning...it was just some sort of practices nothing serious! In fact we both learning and we are still learning mkuu!!

Karibu!
 
Je ni kweli mentor wako anaweza kukujenga kisaikolojia unapokuwa umepoteza? And je broker wako anaruhusiwa kukopa funds unapokuwa na balance ndogo wakati wa kufanya trade msaada wa swali langu wanajamvi.
 
Udemy kuna courses za forex nzuri tu kwa gharama ya 21000 ya Tz na zote kwenye video. Vizuri ukianza kusoma na kusikiliza traders wengine kabla hujaingia kichwa kichwa
 
No not really friend! I prefer to learn and practice what am learning...it was just some sort of practices nothing serious! In fact we both learning and we are still learning mkuu!!

Karibu!
Hv ulikuwa kwny position gani pale, tuanzie hapo kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom