Sio lazima................lazima iwe ya USD?? Au ata TZS inawezekana??
mkuu hilo neno Hoss sijui nimewah kulisikia kwenye series gan vile..kama sio arrow basi empireWaitin' for you hoss.....
Hahahahaa tc in arrowmkuu hilo neno Hoss sijui nimewah kulisikia kwenye series gan vile..kama sio arrow basi empire
Mhe. hii kitu imenishinda mpk nw A/C yangu haina ujazo wowote kila niki trade inakataa na kkuandka invalid S.L and T.P, hw did you manae to win that platform?Practise+studying inaendelea, nilikula loss ya USD1000 imeanza kurudi taratibu.Narudia tena kipande cha ushauri kwa beginners wenzangu, kama unadhani huwezi kujidhatiti katika kusoma kwa umakini materials walizo recommend wazoefu hapa jukwaani kuhusu FOREX,do yourself a favour by staying out of its way.
View attachment 520815
Jaribu kutupia picha tuone shida iko wapi,hata mimi ilinikuta ninavoanza nikagundua nilikuwa nakosea vitu viwiliMhe. hii kitu imenishinda mpk nw A/C yangu haina ujazo wowote kila niki trade inakataa na kkuandka invalid S.L and T.P, hw did you manae to win that platform?
Naomba niunge kwenye group la whatsapp Boss +255768910194Tumeunda study group,tunasoma kitabu kwa pamoja whatsapp
Udemy wanafundisha hizo courses vizuri sana
Hii ndo nn chiefUdemy wanafundisha hizo courses vizuri sana