Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwa traders... Bank account ntakayokua natumia kudeposit pesa lazima iwe ya USD?? Au ata TZS inawezekana??
 
Practise+studying inaendelea, nilikula loss ya USD1000 imeanza kurudi taratibu.Narudia tena kipande cha ushauri kwa beginners wenzangu, kama unadhani huwezi kujidhatiti katika kusoma kwa umakini materials walizo recommend wazoefu hapa jukwaani kuhusu FOREX,do yourself a favour by staying out of its way.
MetaTrader ECN - FXOpen.png
 
Nahisi GBP/USD kesho asubuhi itaanza kushuka. Kwa nilivyostudy, trend inaonesha hivyo, Ukizingatia uchaguzi wa uingereza una power ya kuinfluence GBP kuliko hearing ya James Comey kuinfluence USD. Maana Kutokana na charts zinavyokwenda mpaka muda huu, naona chart inatafuta new resistance/ceiling level.

Capture.PNG

CC Ontario, Bavaria
 
Practise+studying inaendelea, nilikula loss ya USD1000 imeanza kurudi taratibu.Narudia tena kipande cha ushauri kwa beginners wenzangu, kama unadhani huwezi kujidhatiti katika kusoma kwa umakini materials walizo recommend wazoefu hapa jukwaani kuhusu FOREX,do yourself a favour by staying out of its way.
View attachment 520815
Mhe. hii kitu imenishinda mpk nw A/C yangu haina ujazo wowote kila niki trade inakataa na kkuandka invalid S.L and T.P, hw did you manae to win that platform?
 
Mhe. hii kitu imenishinda mpk nw A/C yangu haina ujazo wowote kila niki trade inakataa na kkuandka invalid S.L and T.P, hw did you manae to win that platform?
Jaribu kutupia picha tuone shida iko wapi,hata mimi ilinikuta ninavoanza nikagundua nilikuwa nakosea vitu viwili
1.SL na TP nilikuwa naweka vise versa, ukiiwa unaingia long(una buy mfano EUR/USD 1.2500 ndio market price at the moment) stop loss inatakiwa iwe below price hiyo mfano 1.2480 (-20pips) na take profit iwe above curreng market price mfano 1.2520(20pips).And viceversa for short trade TP inakuwa below market price na SL above.
2.Kiasi cha pips katika TP/SL yako inabidi kizidi spread iliyopo(tofauti kati ya bid na offer price simply zile price zinazochezacheza pale juu kushoto zilizoandikwa sell na buy).
Check hivo vitu viwili kwanza
 
Wazee naomba mniunge kwenye group niweze kupata uzoefu 0756734493
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom