Mkuu nenda youtube mtafute Joseph Nemeth ni mchawi wa haya mambo, atakufundisha "zone recovery area" ulete mrejeshoJaman nimesoma kitabu ingawaje sijamaliza Ila nmejaribu kupractice dooh nimekula loss mpaka basi,mwenye uelewe kidogo anisaidie au Kama kuna group la WhatsApp Naomba mni add
Mkuu hata wewe waweza ku organize hicho kitu na kukisimamia, wapo wameanzisha whatsapp group, nawe ukibuni na kusimamia ni vyemaUmesema vyema this is not get rich scheme wewe fikiria benki inakuwa na super computer na alogarithm za kutosha bado wanachemsha ni vyema ukaweka psych yako vizuri sana kabla ujafanya hii kitu nina uzoefu kama nilivyosema wa miaka kumi so ninajua kwa kiasi fulani nini ninazungumza hii ni one of my projection software ninayoitumia angalia trade katika timeframe tofauti halafu fikiria ungechukua hizo ingikuwaje kuna ambazo zimetengeneza loss ila ukweli faida lazima iwe kubwa kuliko loss na nyingine hazikutrigger ingawa indicator ilionyesha. Ontario unda hata meeting group hata la skype tuwe tunafundisha online kwa wakati ambao sio busy kama saa hizi kwa saa moja kwa watu wanataka kujifunza naomba tuchague tufanye skype au google hangout ngoja nikaangalie zile headphone za kutangazia kwenye ndege kwanza.View attachment 520427 View attachment 520428 View attachment 520429 View attachment 520430
Bavaria..mkuu naomba contact yako ya simu ktk inbox yangu..nahitaji support yako.Pia bajeti ya UK kwa sasa ina deficit ya £72Bilion.
Is this true???Mkuu nenda youtube mtafute Joseph Nemeth ni mchawi wa haya mambo, atakufundisha "zone recovery area" ulete mrejesho
Nahisi GBP/USD kesho asubuhi itaanza kushuka. Kwa nilivyostudy, trend inaonesha hivyo, Ukizingatia uchaguzi wa uingereza una power ya kuinfluence GBP kuliko hearing ya James Comey kuinfluence USD. Maana Kutokana na charts zinavyokwenda mpaka muda huu, naona chart inatafuta new resistance/ceiling level.
View attachment 520831
CC Ontario, Bavaria
Hata mimi hapa pamenishinda boss!! kwa kifupi nimekwamia hapa!!
Ziko poa sana na ofcourse hata hao mentors watakuwa wanadukua kule kidogo
Ila unalipia 21000 kwa course nzima na video ziko poa
Pia mnafanya live trading
Current trend....
View attachment 521047
Mkuu nenda youtube mtafute Joseph Nemeth ni mchawi wa haya mambo, atakufundisha "zone recovery area" ulete mrejesho
It wont stop, we appreciate the knowledgeOpen position ni point ambayo mtu unaingia ili uanze ku trade, close position ni point ambayo mtu unatoka sokoni au unamaliza kufanya biashara!!
Kama huna kitabu anza kujifunza vipo humu!
Wanaibiwa kivipi hasa!Pamoja na makala nzuri ya boss hapo, ila guys huu ni ushauri wa tajiri namba 3 duniani..
Vijana wengi tunajaribu kila kitu kwa tamaa tu ya kupata utajiri wa haraka.. Haya mambo ya Forex mimi binafsi nayafanya tangia 2012 na wala siwezi kumshauri mtu ambaye hana uelewa kiduchu wa Finance afanye. It's very complicated unless uache kila kitu unachofanya na udedicate muda wako kwenye hizi Forex pekee.. Ni biashara nzuri sana lakini it has higher risk.. Wengi sana wanaibiwa na Brokers kwenye hizi biashara..
baada ya kupitia page ya 1 hadi ya 115 usiku huu haya ndio maoni yangu yanafanana na mdau mmoja humu.
mkuu ontario baada ya kushusha idadi ya watu kutoka 300 hadi 150,
kwa kuzingatia pia hamasa ya watu wengi, changamoto ni nani atakuwa kwenye hao 150.
kama watu watakuwa wengi kuliko kiwango kinachohitajika.
Unaweza kuandaa mtihani mwepesi based on kitabu ulichokipendekeza...
watakao fanya vizuri unawapa kipaumbele huku ambao watabaki nyuma watakuwa batch ya pili japo sijui utatumia methodology gani.
all in all big up wakuu wote humu Bavaria etc mnafanya kazi kubwa kutuondoa ujinga na kutujengea ujasiri wa kutafuta fursa za duniani.
Wadau taadhari zinazotolewa pia zizingatiwe
Kinacho matter ni platform unayotumia rather than a broker, mimi natumia MT4 kwenye PC na nina Demo account tatu kutoka kwa brokers tofauti FXopen,FXCM na WForex na njia ya kuweka SL/TP ni ileile.Naenda sehemu ya new order,juu kushoto kisha hiyo TAB hapo juu itafunguka ndio utajaza parameters zako.Broo unatumia Demo account gan mi hii ya FXCM ina nipa shida kidogo kuna some feuters nadhan sizioni au sijui ni mm mwenyewe bado sijaikalia chin vizuri coz kule FXCM proggram sioni hii SL na TP, instead huku kuna stop na limit, any comment BENNICK
Mkuu hata mie natumia FXCM na nliulizaa sikupata jibu....Broo unatumia Demo account gan mi hii ya FXCM ina nipa shida kidogo kuna some feuters nadhan sizioni au sijui ni mm mwenyewe bado sijaikalia chin vizuri coz kule FXCM proggram sioni hii SL na TP, instead huku kuna stop na limit, any comment BENNICK
mimi bado napiga mihatua ya kutamanika mkuu....naendelea na vitabu huku nikipractice kwa demo account..nimebahatika kupatana na jamaa fulani ana uzoefu wa kutosha hivyo anazidi kunielekeza..leo nmekuwa nikijaribu kutumia different orders na matokeo yake ni safi kabisa..nina imani tutafika tu...