Chrisludos
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 135
- 41
Duuuh afadhali...ngoja nikatafute bank statement yangu!!Hapo kwa mimi nilifungua XM account. Na doccuments nilizotumia kama proof of residence ni bank statement. Maana nina akaunt moja ya NBC nilijisajili na E-statement, kila mwisho wa mwezi wananitumiaga email ya bank statement katika PDF format, nami hiyohiyo PDF nikaichukua na kuwafowardia XM na wamenifungulia, na wakanipa bonus yangu ya USD 30.
Safi sana.
Mi sikuwa na speed kali kama yako. Niliifahamu forex 2012 ila nilianza kutrade 2015. Nikachoma account kadhaa, nikasimama 2016 nimekuja kuanza tena 2017.
Ila i give you my word, hata kama ukishaanza kula hela za forex. Endelea kusoma na kujifunza zaidi.
Forex ni msitu ambao hata hao maguru hawajaujua vizuri huo msitu.
Usibweteke.
Ww mzee mbona uko negative sana au unataka ufanye trading peke yako kwani hyo miaka saba ulofanya kwa kujificha hujaridhika nayo tu unataka ubaki peke ako kwny hii biashara. Unaroho ya nungu km hicho chama chakoNazidi kusisitiza Forex sio kitu rahisi na wala si utajiri mwepesi. Ungekuwa utajiri mwepesi hata wale wanaotoa mafunzo ya Forex wangeyatumia kujijengea utajiri mkubwa, badala yake wamekuwa ni walimu wazuri wa kukupa skills ambazo nyingi hazifanyi kazi kwa ujira wa kununua vitabu vyao au kugharamia mafunzo yao. Forex ina faida lakini tread softly.
Marketing ya NewYork itaanza itaanza mida ya saa tisaa na saa kumi soko litakuwa very hot kwa mida yetu hapa tanzania.Mkuu hii kupanda kwa GBP dhidi ya USD currently siyo kwamba ni swala la muda tuu kwa kuwa muda huu NEWYOYK activites ni chache na na Europe markets, LONDON inclusive wameshaianza siku na business activities zishaanza.? Na jioni kwa saa za kwetu dollar itapata power dhidi ya GBP.? kwa kuwa activities Newyork zitakuwa zimeshaanza na LONDON machweo yatakuwa yameshaanza .?
Correct me kama nina wrong perception.
CC: Ontario.
UPDATEKaka ONTARIO ninamunkali na hii kitu usipime. Napiga mdogo mdogo na lot size za sisimizi kama ulivyofanya juzi kati. Nimesoma vitabu mpaka kichwa kinachemka yaani. I am so determined, masaa ya kulala kwangu yamepungua tangu niliposoma thread hii. No msuli kisha napiga demo kuona vp.
I salute you[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Check hiyo hapa
View attachment 521208
Unasoma soft copy au hard copy? Kama hard copy umekipatia duka gani mkuu?Ndo kwanzaaa naanza chapter 3... hivi ni mimi tu ndo nina speed ya kobe?, doh
Mkuu hiyo ni live trading? Au ni demo account?Kaka ONTARIO ninamunkali na hii kitu usipime. Napiga mdogo mdogo na lot size za sisimizi kama ulivyofanya juzi kati. Nimesoma vitabu mpaka kichwa kinachemka yaani. I am so determined, masaa ya kulala kwangu yamepungua tangu niliposoma thread hii. No msuli kisha napiga demo kuona vp.
I salute you[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Check hiyo hapa
View attachment 521208
Kaka ONTARIO ninamunkali na hii kitu usipime. Napiga mdogo mdogo na lot size za sisimizi kama ulivyofanya juzi kati. Nimesoma vitabu mpaka kichwa kinachemka yaani. I am so determined, masaa ya kulala kwangu yamepungua tangu niliposoma thread hii. No msuli kisha napiga demo kuona vp.
I salute you[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Check hiyo hapa
View attachment 521208
Good morning traders
Napambana, tunapambana na mwisho lengo litimie... Naona mwanga, kwangu na kwenu pia - kuna baadhi ya wanafunzi wangu humu, kamwe siwezi kuwaacha, wanachokifanya so far kinanipa matumaini sana kua tunaweza kuwa na traders makini watakaoweza kubamiza market na kubadili maisha yao na ya wale wanaowazunguka. Progress ambayo baadhi yenu mnafanya inanipa nguvu sana, tuendelee kusoma na kusoma na kuelewa mambo... Tukija darasani tunafundishana kudownload pesa tu.
Kwa upande wangu naona mambo yanaiva... Pesa inanipukutika kama vapour, lkn kwakua najua nikitulia week 1 tu narudisha gharama zote, basi nakua sina presha. Ofisi iko sawa, hata kesho tunaeza kuanza, lkn bado nashughulikia papers... tufanye vitu ambavyo kihalali na kisheria, tulipe kodi, tulipe blah blah, yani tusiwe na shida na watawala. Mwanga nauona, obstruction zipo lkn tunapambana mpk kieleweke.
Tuvute subira, wakati huo tunajifua zaidi... sisi wote ni winners, when you win I also win. When you lose I also lose - but we are all destined for greatness.
Yani naamka asubui najikuta sina pesa ya kunipush kumalizia hii week, so nnachofanya ni kuingia kwa forex account yangu na kuvuta pound kadhaa - mshahara wa daktari mwenye degree ya miaka 6 (no disrespect). Ndio raha ya FX lkn bado kuna watakaosema ni betting, hahaha!! Acha tuendelee kubet
Jina la App TafadhaliUPDATE
Mambo matamu. Ingawa bado ni virtual but the progress so mbaya.
Kitu kimepanda mpaka 124. Ngoja ni open positions nyingine
View attachment 521216
nami niunge whatsapp 0754502757Naomba niunge kwenye group la whatsapp Boss +255768910194
Kaka hiyo ni demo tu bado najifunza. Thread hii niliiona dakika chache baada ya ONTARIO kuipost. Hivo nilianza na spidi kubwa kuanzia hapo. Bado mm ni mwanafunzi katika haya mambo naendelea kujifunza.Mkuu hiyo ni live trading? Au ni demo account?
Nenda playstore inaitwa Meta trader 4.Jina la App Tafadhali
Kwaiyo nikienda bank yangu nikiwaomba bank statement .. Niitumie hiyoDuuuh afadhali...ngoja nikatafute bank statement yangu!!
Baada root kupendekeza kucheki video za UDEMY, binafsi Katika kuzururazurua mitandaoni nimekutana na hizi video tutorial. Inavyoonekana ni tutorial nzuri kwa jinsi nilivoangalia content zake. Mimi binafsi bado sijazicheki, ila nimeshaziweka katika download list, na ipo inaendelea kudownload. Ni MB kama 700 hivi. Hope ndo hizi root alizokuwa akizizungumzia.
Sharing is caring.
CC : root