Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Katika ku trade.. Click and deal nimeimaster (in both theory na katika demo) vzr tu na nagain vifaida japo loss za hapa na pale napata, natumia scalping(short term)...
Hii ya orders theory yake nimeielewa.... Tatizo ni kwenye kupractice kwenye demo.. Nashindwa kuiset vzr... Nikiset numba of pips kabla hazijafika ile order inaclose position..
Ukizingalitia hii ya order unaweza kutrade uku unaendelea na kazi zingine za ofisi
Screenshot_20170608-105305.png
 
Naombeni kueleweshwa tafadhanilin nimepata hilo tatizo kwenye Platform ya MT4/5 hazina sehemu ya kuweka Traillings wala Haina obtion ya kuclose order nyingi kwa mkupuo mfano umefungua positions nyingi kwa mkupuo alafu zika fikia profiti huwezi close kwa mkupuo unafanya moja moja.. Sasa sijui ni kwenye simu ndio tatizo au ni hamna kabisa hata kwenye PC.
 
ONTARIO Shukrani sana kwa madini adimu, U are a fighter i giv you that, Mkuu ukienda tena ughaibuni if time will be available tunakuomba ufatilie biashara ya google adsense online money making, Hapa bongo watu wachoyo sana wa mbinu za kupiga pesa.
 
Hapo kwa mimi nilifungua XM account. Na doccuments nilizotumia kama proof of residence ni bank statement. Maana nina akaunt moja ya NBC nilijisajili na E-statement, kila mwisho wa mwezi wananitumiaga email ya bank statement katika PDF format, nami hiyohiyo PDF nikaichukua na kuwafowardia XM na wamenifungulia, na wakanipa bonus yangu ya USD 30.
Duuuh afadhali...ngoja nikatafute bank statement yangu!!
 
Safi sana.
Mi sikuwa na speed kali kama yako. Niliifahamu forex 2012 ila nilianza kutrade 2015. Nikachoma account kadhaa, nikasimama 2016 nimekuja kuanza tena 2017.
Ila i give you my word, hata kama ukishaanza kula hela za forex. Endelea kusoma na kujifunza zaidi.
Forex ni msitu ambao hata hao maguru hawajaujua vizuri huo msitu.
Usibweteke.

Mkuu hii kupanda kwa GBP dhidi ya USD currently siyo kwamba ni swala la muda tuu kwa kuwa muda huu NEWYOYK activites ni chache na na Europe markets, LONDON inclusive wameshaianza siku na business activities zishaanza.? Na jioni kwa saa za kwetu dollar itapata power dhidi ya GBP.? kwa kuwa activities Newyork zitakuwa zimeshaanza na LONDON machweo yatakuwa yameshaanza .?

Correct me kama nina wrong perception.

CC: Ontario.
 
Nazidi kusisitiza Forex sio kitu rahisi na wala si utajiri mwepesi. Ungekuwa utajiri mwepesi hata wale wanaotoa mafunzo ya Forex wangeyatumia kujijengea utajiri mkubwa, badala yake wamekuwa ni walimu wazuri wa kukupa skills ambazo nyingi hazifanyi kazi kwa ujira wa kununua vitabu vyao au kugharamia mafunzo yao. Forex ina faida lakini tread softly.
Ww mzee mbona uko negative sana au unataka ufanye trading peke yako kwani hyo miaka saba ulofanya kwa kujificha hujaridhika nayo tu unataka ubaki peke ako kwny hii biashara. Unaroho ya nungu km hicho chama chako
 
Mkuu hii kupanda kwa GBP dhidi ya USD currently siyo kwamba ni swala la muda tuu kwa kuwa muda huu NEWYOYK activites ni chache na na Europe markets, LONDON inclusive wameshaianza siku na business activities zishaanza.? Na jioni kwa saa za kwetu dollar itapata power dhidi ya GBP.? kwa kuwa activities Newyork zitakuwa zimeshaanza na LONDON machweo yatakuwa yameshaanza .?

Correct me kama nina wrong perception.

CC: Ontario.
Marketing ya NewYork itaanza itaanza mida ya saa tisaa na saa kumi soko litakuwa very hot kwa mida yetu hapa tanzania.
Nasubiri nione itakuwajee tutaobserv fundamental tech inavyoaffect market
 
Kaka ONTARIO ninamunkali na hii kitu usipime. Napiga mdogo mdogo na lot size za sisimizi kama ulivyofanya juzi kati. Nimesoma vitabu mpaka kichwa kinachemka yaani. I am so determined, masaa ya kulala kwangu yamepungua tangu niliposoma thread hii. No msuli kisha napiga demo kuona vp.

I salute you[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Check hiyo hapa
View attachment 521208
UPDATE
Mambo matamu. Ingawa bado ni virtual but the progress so mbaya.
Kitu kimepanda mpaka 124. Ngoja ni open positions nyingine

Screenshot_20170608-114510.png
 
Kaka ONTARIO ninamunkali na hii kitu usipime. Napiga mdogo mdogo na lot size za sisimizi kama ulivyofanya juzi kati. Nimesoma vitabu mpaka kichwa kinachemka yaani. I am so determined, masaa ya kulala kwangu yamepungua tangu niliposoma thread hii. No msuli kisha napiga demo kuona vp.

I salute you[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Check hiyo hapa
View attachment 521208
Mkuu hiyo ni live trading? Au ni demo account?

Good morning traders

Napambana, tunapambana na mwisho lengo litimie... Naona mwanga, kwangu na kwenu pia - kuna baadhi ya wanafunzi wangu humu, kamwe siwezi kuwaacha, wanachokifanya so far kinanipa matumaini sana kua tunaweza kuwa na traders makini watakaoweza kubamiza market na kubadili maisha yao na ya wale wanaowazunguka. Progress ambayo baadhi yenu mnafanya inanipa nguvu sana, tuendelee kusoma na kusoma na kuelewa mambo... Tukija darasani tunafundishana kudownload pesa tu.

Kwa upande wangu naona mambo yanaiva... Pesa inanipukutika kama vapour, lkn kwakua najua nikitulia week 1 tu narudisha gharama zote, basi nakua sina presha. Ofisi iko sawa, hata kesho tunaeza kuanza, lkn bado nashughulikia papers... tufanye vitu ambavyo kihalali na kisheria, tulipe kodi, tulipe blah blah, yani tusiwe na shida na watawala. Mwanga nauona, obstruction zipo lkn tunapambana mpk kieleweke.

Tuvute subira, wakati huo tunajifua zaidi... sisi wote ni winners, when you win I also win. When you lose I also lose - but we are all destined for greatness.

Yani naamka asubui najikuta sina pesa ya kunipush kumalizia hii week, so nnachofanya ni kuingia kwa forex account yangu na kuvuta pound kadhaa - mshahara wa daktari mwenye degree ya miaka 6 (no disrespect). Ndio raha ya FX lkn bado kuna watakaosema ni betting, hahaha!! Acha tuendelee kubet
fabf04972b857bd4f6febb6bda00748b.jpg

Mkubwa wengi tunapiga chimbo kimyakimya hadi tunashindwa kuweka conventions zetu huku...ila usitusahau aisee.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Baada root kupendekeza kucheki video za UDEMY, binafsi Katika kuzururazurua mitandaoni nimekutana na hizi video tutorial. Inavyoonekana ni tutorial nzuri kwa jinsi nilivoangalia content zake. Mimi binafsi bado sijazicheki, ila nimeshaziweka katika download list, na ipo inaendelea kudownload. Ni MB kama 700 hivi. Hope ndo hizi root alizokuwa akizizungumzia.

Sharing is caring.

CC : root
 
Mkuu hiyo ni live trading? Au ni demo account?
Kaka hiyo ni demo tu bado najifunza. Thread hii niliiona dakika chache baada ya ONTARIO kuipost. Hivo nilianza na spidi kubwa kuanzia hapo. Bado mm ni mwanafunzi katika haya mambo naendelea kujifunza.
 
Baada root kupendekeza kucheki video za UDEMY, binafsi Katika kuzururazurua mitandaoni nimekutana na hizi video tutorial. Inavyoonekana ni tutorial nzuri kwa jinsi nilivoangalia content zake. Mimi binafsi bado sijazicheki, ila nimeshaziweka katika download list, na ipo inaendelea kudownload. Ni MB kama 700 hivi. Hope ndo hizi root alizokuwa akizizungumzia.

Sharing is caring.

CC : root

Mkuu video ni unsupported. Tuma tena vzr....
Thanks for care..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom