Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu mbona nikitaka ku register kwenye mt4 wanazingua?? Yaani nikiweka ID yangu nikiweka na email inasema "registration failed"!! Nakosea nini??

Bavaria
 
nimeshafanya sana demo trading kwa kutumia TD Market platform ya Global Forex Institute. nafahamu basic nyingi za forex nawasubiri mkianza tuanza pamoja
 
Tupo pamoja mkuu ONTARIO
 
Yani nimejikuta najicheka! Yaani asubuhi nilikua na profit karibu 2000EUR ila sasa ivi nna negative 77!! Actually uzembe wangu mwenyewe! Na nnajua nlipokosea...nilichemsha kiweka stop loss and profit! Ilipofikia limits nlizoweka ikaji execute yenyewe!! Ndio nikagonga loss!! Duuuh...navuta picha ingekua ni real account!!

Angalia hiyo picha ya pili...kuna negative kama 3000 hivi!


 
Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?

Good day traders!!

Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.

Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-

●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.

●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!

●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.

●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.

●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...

Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...

Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!
 
Resistance...!!! It is starting to take shape.



CC: Bavaria, Ontario.
 
Very Very Very good idea mkuu Ontorio. Just ushauri app itakapotengenezwa zimu zote ziweze kusuport maana nimeona app nyingi zinazotengenezwa na vijana hazisupport kwenye iPhone. Asante
 
itakua poa sana bro....then iwe kwa swahili ili wale wa mabashite waelewe poa
 


kwa kuwa App development siyo kitu cha siku moja. App nzuri inaweza chukua hata mwezi kuikamilisha kuanzia coding, debuging, testing na execution. Nashauri tuendelee kutumia platforms zilizokuwepo wakati kinasukwa kitu kizuri. Kwa kuanzia tunaweza tumia Whatsapp au Telegram kwa chating na conversations za watu kushare experience zao, huku unaweza fungua youtube channel kwa ajili video uploading.

wakati haya yakiendelea unaweza tengeneza website (nashauri hii ianze kwa kuwa itasaidia wote hata wale wenye nokia tochi), at the same time mobile app kwa different platforms (iOs, Windows mobile na Android) zinaweza kuanza taking shape.
 
Ziko poa sana na ofcourse hata hao mentors watakuwa wanadukua kule kidogo
Ila unalipia 21000 kwa course nzima na video ziko poa
Pia mnafanya live trading
Ni wapi huku mkuu?na hiyo link ni IPI kiongozi?kama hutojali itupie hapa mkuu.
 

Kwa kutumia MT4 ya XM naona candlestic inakosa maana, kwani colouring siioni vizuri, na pia. Na hiyo M15 niliiweka coz nilikuwa nataka angalia behaviour ya GBP/USD toka siku ya jana jioni.

H4 ya candlestic patterns ni kama unavyoiona hapa. Je kuna settings gani za kufanya candles zionekana na rangi zake.?


 

Wazo zuri but kwanini kuja na app wakati whatsapp na telegram zipo? Naona requirements nyingi ambazo umeweka hapo they can be done on existing apps(whatsapp na telegram).

Mtazamo wangu Ni kwamba unless Kama kuna very specific and unique feature/requirement which is useful for our interaction and is not available on whatsapp & telegram hapo ndio itengenezwe app nyingine otherwise we can stick to existing ones. Let's start with basics hayo mengine yatakuja mbeleni lengo kukuu likianza kutimia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…