Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Complex kasema hivyo!Kwaiyo nikienda bank yangu nikiwaomba bank statement .. Niitumie hiyo
Mkuu mbona nikitaka ku register kwenye mt4 wanazingua?? Yaani nikiweka ID yangu nikiweka na email inasema "registration failed"!! Nakosea nini??Mkuu hii kupanda kwa GBP dhidi ya USD currently siyo kwamba ni swala la muda tuu kwa kuwa muda huu NEWYOYK activites ni chache na na Europe markets, LONDON inclusive wameshaianza siku na business activities zishaanza.? Na jioni kwa saa za kwetu dollar itapata power dhidi ya GBP.? kwa kuwa activities Newyork zitakuwa zimeshaanza na LONDON machweo yatakuwa yameshaanza .?
Correct me kama nina wrong perception.
CC: Ontario.
Kabla ya kujiunga soma upate basics! Kama una basics tafuta broker wa forex jiunge uanze kufanya mazoezi kwa demo acc.!Nitawezaje kujiunga na Forex trade kwa Bongo
Tupo pamoja mkuu ONTARIOGood morning traders
Napambana, tunapambana na mwisho lengo litimie... Naona mwanga, kwangu na kwenu pia - kuna baadhi ya wanafunzi wangu humu, kamwe siwezi kuwaacha, wanachokifanya so far kinanipa matumaini sana kua tunaweza kuwa na traders makini watakaoweza kubamiza market na kubadili maisha yao na ya wale wanaowazunguka. Progress ambayo baadhi yenu mnafanya inanipa nguvu sana, tuendelee kusoma na kusoma na kuelewa mambo... Tukija darasani tunafundishana kudownload pesa tu.
Kwa upande wangu naona mambo yanaiva... Pesa inanipukutika kama vapour, lkn kwakua najua nikitulia week 1 tu narudisha gharama zote, basi nakua sina presha. Ofisi iko sawa, hata kesho tunaeza kuanza, lkn bado nashughulikia papers... tufanye vitu ambavyo kihalali na kisheria, tulipe kodi, tulipe blah blah, yani tusiwe na shida na watawala. Mwanga nauona, obstruction zipo lkn tunapambana mpk kieleweke.
Tuvute subira, wakati huo tunajifua zaidi... sisi wote ni winners, when you win I also win. When you lose I also lose - but we are all destined for greatness.
Yani naamka asubui najikuta sina pesa ya kunipush kumalizia hii week, so nnachofanya ni kuingia kwa forex account yangu na kuvuta pound kadhaa - mshahara wa daktari mwenye degree ya miaka 6 (no disrespect). Ndio raha ya FX lkn bado kuna watakaosema ni betting, hahaha!! Acha tuendelee kubet
![]()
Na mimi boss 255657130350Naomba niunge kwenye group la whatsapp Boss +255768910194
itakua poa sana bro....then iwe kwa swahili ili wale wa mabashite waelewe poaWazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?
Good day traders!!
Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.
Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-
●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.
●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!
●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.
●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.
●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...
Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...
Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!
Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?

Ni wapi huku mkuu?na hiyo link ni IPI kiongozi?kama hutojali itupie hapa mkuu.Ziko poa sana na ofcourse hata hao mentors watakuwa wanadukua kule kidogo
Ila unalipia 21000 kwa course nzima na video ziko poa
Pia mnafanya live trading
Further UpdateUPDATE
Mambo matamu. Ingawa bado ni virtual but the progress so mbaya.
Kitu kimepanda mpaka 124. Ngoja ni open positions nyingine
View attachment 521216
Boss leo sijaingia sokoni kabisa... wala sitarajii kuingia sokoni, sijafanya analysis yoyote - cha kukusaidia kwanza shift to candlesticks chart ili uweze kuona behaviours za hiyo mishumaa na pattern zake. Pia kamwe usifanye decisions kutegemea time frame ndogo kama hiyo M15, angalia H4, itakupa picha pana, then njoo kwenye H1, kisha M30 then kama kote setups zinakubali unaeza kugonga nyundo za chap chap kwa M15.
Wazo langu la haraka haraka, wewe unafikiriaje?
Good day traders!!
Nimefikiria kitu kimoja cha faida sana... cha faida kwetu sote, mimi na wewe - ili lengo letu liwe more than positive.
Kwajili ya kuhakikisha kuna 99% interaction kati ya mentors/coaches na wanafunzi, nimefikiria kuanzisha App. Hii App itatusaidia ktk:-
●Kubadilishana mawazo among ourselves, kuweza kuchat na kudiscuss kuhusu global financial economy. Forex, stocks, metals, commodities nk.
●Kuweza kupost picha hasa za charts za analysis, pamoja na video kama kutakuwa na umuhimu. Both technical na fundamental analysis!!
●Kufanya live webinars hasa siku za Jumapili, mentors watakua wanafanya analysis ya currencies ili kutoa mwanga wa wiki nzima.
●Students wataweza kushare experience zao, results zao kama wakipenda, inform of pictures nk.
●Tutakua tunakumbushana kuhusu upcoming economic and political news ambazo zinaweza kua na effect sokoni...
Kiufupi hii App itakua kwaajili ya kudumisha ukaribu baina yetu sote...
Wewe unanishauri nini?! Developer, Programmers, Coders... karibuni wazee!!
Ni wapi huko mkuu?Nimecheki naona wanauza 10 USD, Ngoja nifanye mpango wa kuzipata.