Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Right click kwenye screen hapo, then shuka hadi kwenye properties.
Then kuna jinsi ya kuset rangi ya candles, backgroud ya hiyo platform na kwenye grids toa hiyo colour weka black.
Fanya hivyo unipe mrejesho.
 
Right click kwenye screen hapo, then shuka hadi kwenye properties.
Then kuna jinsi ya kuset rangi ya candles, backgroud ya hiyo platform na kwenye grids toa hiyo colour weka black.
Fanya hivyo unipe mrejesho.

Already done brother. Thanks, Sasa nipo naenjoy hapa

 

Ni wazo zuri na litasidia kuhakikisha uelekeo na spidi moja kwa wote. Big up mkuu
 
PONT OF CORRECTION MKUU HUYU JAMAA SII ENGINEER AMESOMA PETROLEUM CHEMISTRY BATCH YA KWANZA UDSM INAYOTOA PETROLEUM ENGINEER NDO WATAMALIZA MWAKA HUU. KULE UDOM NDO ZISHATOKA KAMA BATCH TATU HIVI ZA MA ENGINEER WA PETROLEUM MKUU
 
ASANTE KWA HILI SWALI TUTAMUULIZA KWENYE TRAINING
 
ASANTE KWA HILI SWALI TUTAMUULIZA KWENYE TRAINING
 
Wala msife moyo east africa ni pana sana no matter what i think after ten years kwa umoja wetu we will be in next level kama tutazingatia japo kuna watu watakata tamaa but please don't give up guys keep on going siku baathi yenu mtakapo anza kuizunguka dunia mtainjoy sana kwa kuexpand friends after thus of forex from.Mr ontario i decide to make a joyner from my mother land i am now in Tanzania waiting when it will be lunched but kaja na issue ya kuanzisha apple itakayosaidia kuelimisha watuu vile vile and still i am still learning no matter what nrver give up for everything I REMEMBER NILIPOSOMA KITABU CHA POOR DAD AND REACH DAD NIKIWA COLLEGE BASOMA AGRICULTURAL ENGINEERING NILITAMANI KUACHA CHUO BUT MY MOTHER SAID I INVESTED IN YOU NO MATTER WHAT SO NIKAKUMBUKA KITU KIMOJA FROM THAT BOOK " EVERYTHING WITHOUT A PROPER REASON I WASTAGE OF TIME" SO KAMA UPO MGUU NJE MGUU NDANI HAUTOKUJA KUELEWA HII KITU NAMPONGEZA ANTORIO PLUS ALL OF YOU GUYS TOGETHER IS ONE.
 
😀😀😀😀😀 ...napitapita Mara kwa Mara kusoma comments na updates za Ontario. Hii kitu imenivutia sana...sijawai kuisikia before...ni baada ya kusoma Uzi huu.

Kwa kifupi sijawai soma kitu inaitwa masomo ya Biashara sijui bookkeeping na commerce huko O level???sijawai.

Shule niliyosoma O level ilikuwa na mchepuo wa Kilimo...A level nikasoma science (P.......) Chuo nikasoma science..

Ila niliposoma huu Uzi na baadhi ya comments za wadau naona kama kuna pesa ya ziada hapa.

Shughuli zangu ni za kukimbiakimbia huku na kule nimedownload vitabu ila bado sijaana kusoma kwani sitaki kusoma ili nimalize pages Bali nielewe ili niweze make pesa ya ziada kupitia hii kitu inayoitwa forex trade.

Nikitulia nitavisoma vitabu kwa utulivu Kabisa na pale nitakapokwama nitaomba msaada kwenu wadau.. ONTARIO siku nitakayokupm Mdogo wangu usiache kujibu pm ya kaka yako tadadhali...kama ni kuchangia ili niweze kupata ABC za hii kitu niko tayari Kabisa.

Mkuu Bavaria wewe ndo nitakusumbua sana na naomba usinitupe kiongozi... Nimeona ulianza hii kitu 2012 ukaunguza accnt za kutosha ukaacha umerudi tena 2017..hii imenivutia kwani hata mm nikishafanya Biashara fulani ikanipotezea hela nyingi tu nikaachana nayo ila baada ya muda nikaanza tena na ikanitoa vzuri tu. Nitahitaji sana mwongozo wenu wakuu.
 

Assuming other factors constant, Yenkees wakiamka mara nyingi USD inapata nguvu.
Ila kwa leo kuna ishu ya Comey, uchaguzi wa UK, Draghi atatoa ripoti ya uchumi wa EU.
Kwahiyo siku ya leo ipo na externalities nyingi.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%.
 
Assuming other factors constant, Yenkees wakiamka mara nyingi USD inapata nguvu.
Ila kwa leo kuna ishu ya Comey, uchaguzi wa UK, Draghi atatoa ripoti ya uchumi wa EU.
Kwahiyo siku ya leo ipo na externalities nyingi.

Unaposema YANKEES una maana ya NEWYORK ama.? Wanatumia techniques gani ili kuirudishia nguvu USD.? Au ni ile routine ya daily bussines za kila siku ya buy and sell.?
 
Samahan unaweza kunisaidia material ya technical analysis yaliyokusaidia kupata mwanga..ukinipa link nitashukuru
 
ziko nyingine mkuu, angalia XM forex, MT5 , MT4 wote wana demo tena rahisi tu
Me hii MT4 mpk leo naona inanisumbua cjui nakwama wapi, kila nkijaribu inaleta invld S/L or T/P, unahisi nipo wrong sehemu gn mkuu?, halafu nkiangalia A/C history naona kila kitu kipo zero pale. Msaada pliz.
 
watafute hawa watu kwenye twitter..wanatuhusu sana katika information ya hii sekta..

1.united states secretary of the treasury:Stephen Mnuchin

2.deputy treasury secretary

3.ECB president Mario Draghi

4.ministry of finance currency spokesman for foreign affairs in japan: Sugiyama Shinsuke

5.The chancellor of exchequer Rt.Hon.Philip Hammond wa great britain

6.Governor of the bank of England:Carney

7.reuters

8.bloomberg

9.msisahau na Donald Trump..

ifahamike ni kwa ajili ya kupokea na kufatilia habari zinazohusiana na main currencies ambazo tunategemea sana katika forex trading..
**kama kuna marekebisho yanapaswa kufanywa tusaidianeni ndugu zangu**
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…