Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
"It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
Please add me to WhatsApp group 0756415808
 
Shukran kaka kwa thread yenye kutoa mwanga kwa ndugu zako wa Tanzania. Tukiwa na moyo ulionao kwa hakika tutafika mbali. TEAM (T-ogether E-veryone A-chieve M-ore)
 
tag me mkuu ukishapata jibu..nimeanza kutumia mt4 leo hii ila sijaelewa mambo kadhaa.ni nzuri kuliko fxcm kwa maoni yangu
 
Duuh hiyo $899 ni sawa na 2,005,000TSH.Kwa hiyo Mlinzi anayepokea sh150,000 kwa mwezi,itambidi afanye kazi kwa mwaka mzima na mwezi mmoja ili aweze kufikia pesa hiyo uliyoipata kwa dk chache tu.Duh! kweli maisha umeyapatia Mzeebaba.
hebu tuzidi kujituma katika hili suala..ninavyopiga mifaida katika demo account nina uhakika hii kitu itakuwa my main source of income
 

Nadhani Complex ameeleza hapo juu lakini kwa nyongeza tu,kama uliweka SL na TP katika order yako huna haja ya kuclose manualy, itajifunga yenyewe pale price itakapo hit TP AU SL, whichever goes first. Japo kuna wakati ukiona market ina move against you basi unaweza amua kufunga order kabla ya kufikia SL ili ku minimize loss(Not sure if its a good idea,wazoefu watatusaidia) na kufanya hivo nenda kwenye mstari wa SL au TP,right click na chagua close.(check picha hapo chini)
Kuhusu LOT,conventional/standard size ni 100,000 currency(your account base currency) so unavosema una trade kwa volume ya 0.03 maana yake unaunatumia 3000 (100,000x0.03) japo kuna brokers ambao wana set Lot size kwenye micro account kuwa 1,000 currency kwahiyo kwa case hii 0.03 Lot volume maana yake umetumia 30 currency kwenye position uliyofungua .
 
Msaada

Traders naombeni msaada ni account ya bank gani hapa tz naweza kuitumia kwa kudeposit pesa kwenye account ya forex. Na iwe in currency ipi USD au tshs inafaa pia, na inatakiwa iwe activated ile online banking????

Thanks traders.
 
Mi naonge
Ila maelezo yake kwa mtu makini, maelezo yanajitosheleza, Tatizo watu wanaharaka sana, wanaona wamecheleeewa.
Si kila mtu anapita hapa jf hivyo wapo watakaotumia huo mwanya kuliza watu
amini hili ninalokuambia
 
Nimefuatilia sana hii thread, na kiukweli nimeshawishika sana kuanza kujifunza about this great opportunity. Mimi personally nimeona ni lazima mtu utenge muda wako wa kusoma na kujifunza zaidi mbinu mbali mbali za kuweza kuwa trader mzuri. Hii ni business ambayo inahitaji umakini mkubwa sana maana kuna possibilities za kutengeneza faida kubwa sana au kupata hasara kubwa pia.

Lakini pia nilipata kukutana na baadhi ya rafiki zangu wakinieleza kuhusu fursa zingine za biashara za mitandaoni kama vile D9, Amazon traders n.k. lakini baada ya kufanya uchunguzi juu ya haya makampuni ambayo watu wengi wamekua wakiweka hela zao na kuahidiwa percents nzuri za faida na nzuri zaidi eti wakiunganisha mtu mpya ndipo nikaja jiuliza , haya makampuni huwa yanafanyia nini hizi pesa ambazo watu hujiunga nazo kwenye haya makampuni, amini usiamini jamaa ni wajanja kuliko unavyofikiria. They use the same money to trade on FOREX market, wanachokifanya ni kutafuta pesa ya kufanyia trading kwenye Forex market au kwa maana nyingine, they trade on behalf of the people who deposited their money with a promise of daily sharing some % from the companies (D9, Amazon e.t.c) ambayo ukiangalia in reality is the very smallest amount of money mtu anayopata as faida comparing na muda wa investment ambayo ameifanya kwa kampuni husika.

Naamini this is the time a group of people waanze kuwa na uelewa kuhusu FOREX ili tuweze kuwekeza our money wenyewe bila usaidizi wa hay makampuni ili tuweze kupata faida yote ambayo ni kubwa na kwa muda muafaka.

Lets learn FOREX, Lets Trade!

S/O to wakuu ONTARIO,BAVARIA & BENNICK
 
Msaada

Traders naombeni msaada ni account ya bank gani hapa tz naweza kuitumia kwa kudeposit pesa kwenye account ya forex. Na iwe in currency ipi USD au tshs inafaa pia, na inatakiwa iwe activated ile online banking????

Thanks traders.
Ya benki yoyoe inayotumia master card au visa! wanapendekeza FNB!!
 
mkuu hii kusambaa kama betting ni ngumu kidg maana inahitaji msuli ukaze, uelewe ndo utusue
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…