Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please add me to WhatsApp group 0756415808"It's ain't fun, Am ain't happy until my whole team is winning". Wiki inaisha kwa amani kabisa. Enjoy the weekend big Bosses in Town. # Faith # Hope
tag me mkuu ukishapata jibu..nimeanza kutumia mt4 leo hii ila sijaelewa mambo kadhaa.ni nzuri kuliko fxcm kwa maoni yanguWakuu nimejaribu kuendana na kasi ya hiki swala kwakweli nimepata kitu kidogo cha kueleza
1.naomba ufafanuzi zaidi kuhusu swala l stop loss aisee kwa mt4 unawekaje stop loss
2. Ni swali tu mfano una trade alafu una place order kwa mfano and then ukaju kwamba Uko close order utapata loss je huwezi kuendelea kusubiri paka utakapo kuja kuona una close kwa faida?yani kusubiri hata Siku 2 na kuendekea je faida zake na hasara zake ni nini?
3.kwa nini Uko place order tu lazima ianzia kwenye negative! Ni Mimi tu au wapi nakosea naomba muongozo
4.ukiwa una trade kwenye negative lakini kuna order zingine una close kwenye profit na ikiangalia profit inaongezeka vipi hii imekaaje?yani mfano kwenye real acc hiyo Itakua ni profit kweli au labd inatumika SBB ni demo tu
Katika yote napenda kuwa muwazi pia baada ya kula nondo kutoka kwenye vitabu na pi kufatilia mafunzo zaidi YouTube ninegundua hiki jambo ni jema sana na ni kitu cha kawaida kwa mtu aliesona na kuelewa vizuri
Pia katika hiki tamaa haihitajiki kabisa kwakweli Nili trade hadi kufika $2000 lakini gafla sijui ilifanyaje nikajikuta nime close order kwa hasara kubwa
Na mwisho natoa heshima kwa Mkuu Ontario na wazee wa kazi wngine kwanza kwa kutufunbua macho na pia ushauri unaowekwa humu ukiufata tu unaweza kuanza Ku trade hadi kwenye demo alafu mentor akija kazi inakua nyepesi kama kumsukuma mlevi vile
NB nimepata faida kwenye demo hadi nikataka iwe real account
[emoji3] [emoji2] [emoji1]
Mkuu Ontario tunahitaji mentorship mana bila hiyo unaweza kuhisi unapiga faida kumbe ww ndio mtoa faida kwa wenzio
Pia shukrani za zati kwako Mkuu ngoja tuendelee kula nondo tukiingia darasani ni action tu
hebu tuzidi kujituma katika hili suala..ninavyopiga mifaida katika demo account nina uhakika hii kitu itakuwa my main source of incomeDuuh hiyo $899 ni sawa na 2,005,000TSH.Kwa hiyo Mlinzi anayepokea sh150,000 kwa mwezi,itambidi afanye kazi kwa mwaka mzima na mwezi mmoja ili aweze kufikia pesa hiyo uliyoipata kwa dk chache tu.Duh! kweli maisha umeyapatia Mzeebaba.
Mhe. habari za jioni hii!, leo nina haya maswali madogo ili j.2 au 3 nianza ku practice kikamilifu.
1. Je niki open position kwa bei flani wakati gani ni sahihi ku close position, mf nipo long en bei ikapanda toka ile niliyotumia ku open position, itanipasa kusubiri ile expiry optn au naweza tu close pale tu bei inapokuwa imepanda?
2. Na close vipi hizi position?
3. Nina buy say EUR/USD kuna kiasi kinaungua toka kwny quote currency kwnd base currency, so unapo close trade t mnc
kile kiasi kilichopo kwny base currency kinajirudisha kwny counter au kinarudishwa vipi?
4. Hizi lots/ volume mf. 0.01, 1.00, 0.03 n.k how do we convert 'em into whole number, mf iwe 10000, 300 etc.
Si kila mtu anapita hapa jf hivyo wapo watakaotumia huo mwanya kuliza watuIla maelezo yake kwa mtu makini, maelezo yanajitosheleza, Tatizo watu wanaharaka sana, wanaona wamecheleeewa.
Hivi demo uliipataje?hebu tuzidi kujituma katika hili suala..ninavyopiga mifaida katika demo account nina uhakika hii kitu itakuwa my main source of income
demo unaipata kwa broker yeyote wa forex trading..Hivi demo uliipataje?
soma kwanza vitabuNimeusoma huu uzi ni nini kinahitajika kukamilisha hii biashara?
kama kweli umeusoma uzi swali lako tayari unayo majibu..Nimeusoma huu uzi ni nini kinahitajika kukamilisha hii biashara?
Hiyo ID yako daah!! mwambie asije leta figisu huku kwenye forex!Asee usiniache nyuma...hata kwa dola 500 nitaanza
Ya benki yoyoe inayotumia master card au visa! wanapendekeza FNB!!Msaada
Traders naombeni msaada ni account ya bank gani hapa tz naweza kuitumia kwa kudeposit pesa kwenye account ya forex. Na iwe in currency ipi USD au tshs inafaa pia, na inatakiwa iwe activated ile online banking????
Thanks traders.
mkuu hii kusambaa kama betting ni ngumu kidg maana inahitaji msuli ukaze, uelewe ndo utusueNatamani siku moja Forex isambae mitaani kama betting ilivyo.
Vijana wanajitengenezea legit cash through forex.
Yale mambo ya kuwaza ajira, allowance za safari sijui per diem hazipo tena.
Utakuwa unawaza ujenge nyumba nzuri wapi, au ununue gari la aina gani..
Hela ya mafuta huwazi, trade ya masaa mawili unapata hela ya mafuta ya mwezi mzima..
kinachohitajika ili kuanza ni uelewa wako kuhusu FOREX, soma soma soma!!!!Nimeusoma huu uzi ni nini kinahitajika kukamilisha hii biashara?