Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Pia kabla ya kuingia online hii imekaaje kwenda pale kariakoo kununua dola alafu kwenda kuiuza huwezi kuanza hivyo?
 
Pia kabla ya kuingia online hii imekaaje kwenda pale kariakoo kununua dola alafu kwenda kuiuza huwezi kuanza hivyo?

Unaweza Ila utakuwa una deal na exchange kati ya USD na TZS peke yake (tunaita pair ya USD/TZS), lakini kwenye real time online forex una pair nyingi ambazo unaweza kuuza/kununua kwa wakati mmoja hivyo una maximize profit.

Ukinunua dola kariakoo ukauze tegeta ni faida ndogo sana utapata ukilinganisha na mtaji utakao uweka lakini pia hiyo faida pengine itaishia kwenye kulipia nauli ya kutoka karikoo kwenda tegeta. Wakati online forex huhitaji nauli, unagonga profit ukiwa umekaa kwenye kochi lako
 
Pia kabla ya kuingia online hii imekaaje kwenda pale kariakoo kununua dola alafu kwenda kuiuza huwezi kuanza hivyo?
Thats another form of forex...lakini kwanini ukomplicate mambo?? Yani umepewa pikipiki upande mlima wewe unataka baiskeli??

Kwa case yako unaweza nunua dola ukakaa nazo ukingoja pesa ya tz ishuke thamani dhidi ya dola mfano...ukinunua dola leo kwa 2200 kesho ikifika 2300 uuze!! Hii inaitwa holding strategy!! Sasa hapa utangoja sana mpaka dola ipamde na wenda ikashuka ukiwa unangoja!

All in all forex ya online ndio a new sheriff in town mi amigo!!

¡Muchas gracias!
 
Mkuu me bwana nimejaribu kuicheki hii kitu nimeielewa ila tatizo linakuja kwenye hizi mambo za pesa jinsi ya kuweka na jinsi ya kutoa ndo zinamipiga chenga. Nimetumia demo account kula zoezi n baadhi ya technics nimizielewa nadhan sasa ni muda wa kuvaa jezi halisi ilo akili izidi kukaa sawa. Msaada wangu ni hapo tu hz logistics nzima za plmzumguko wa pesa kwenye kuweka na kutoa. Hope nitapata msaada wako. Asante
Nimefikia hapa nimekwama nimekutana link kibao cjui ipi ni rahisi kutumia
 
Mkuu asante kwa kutufumbua macho na kututoa matongotongo ,ingekuwa ni vema na haki ukalist vile vitabu vya mwanzo ukashare majina kwenye uzi huu,ingawa vingine nimeviona hapo mezani! unachelwa mkuu dunia iko fasta,
tuanze chungulia
-https://www.xm.com/register/account/demo_success?lang=en

-https://www.mql5.com/?utm_campaign=WebInstaller&utm_medium=special&utm_source=installer&utm_link=4f524ea894a8b4983c66f82fc0aa9c94&utm_codepage=1033&utm_gid=8880820277071774679&utm_uniq=9CDB2E32-D1D1-T-170610

-http://richpips.com/forex/forex-indicators/

TUANZE KUSOMA NA KUULIZA MASWALI
 
Thanks boss, hapo nimeelewa vizuri sana.
 
Kuwa na visacard inatosha kufanya manunuzi kwny mtandao? Au kuna process zingine za kufuata?
 
Nimevutiwa na huu uzi. Naomba kama kuna kundi la whatsapp kwa ajili ya mafunzo, naomba kuwekwa. Pia nahitaji kujua wapi naweza kununua hivyo vitabu kwa mafunzo zaidi na kupata knowledge.

0715-240140
 

Mkuu kwa metatrade 4 demo standard size ni ngapi
 
Nimekupata vilivyo braza kaka..
 
Mkuu hata mie natumia FXCM na nliulizaa sikupata jibu....
Nadhan BENNICK ametolea ufafanuz vizuri tuu, ila sio mbayua uka dowload Metatrader4-5, sio mbaya ukawa na option tofaut tofauti..
 
Hellouw naweza kua added katika grup la watsap plz 0788210045
A new member in jf but nmekua mfatiliaji wa jf as a guest mda kidogo and nko interested and motivated in this
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…