Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
I salute you brother! In life RISKS ARE ALSO OPTIONS
 
bab ulchosem n kwl wapo watu wapo ambao wana idea n pia wapo vizul katka upande wa lugha so kw mm naon mzee hii itakuw fulsa kwko kiupande mwngne
 
Nimekuelewa sana Ontario, let me read that book first.

But pia ningeomba utuoneshe burner au bango utakaloweka kwenye hyo ofisi yako ili iwe rahis kuipata, .be blessed.
 

Well said mkuu!! hapo umenena vyema swala la mchujo kwa njia ya interview naunga mkono 100% kwa sababu hapa nimeona kuna baadhi ya watu hawajishuhulishi kusoma vitabu na kuvielewa wanauliza maswali yanayoashiria kweli huyu mtu hajasoma hata page za mwazoni za kitabu kilichotolewa sasa mtu kama huyu ataweza kufuatilia habari za kiuchumi, kisiasa na matukio yanayoendelea duniani? anyways sitaki kuwavunja moyo wadogo zangu ila nawasisitizia kwamba KUSOMA NA KUELEWA ni muhimu ili uweze kufanya biashara hii kwa faida kubwa. Mkuu ONTARIO mimi naendelea kuchimbua madini ya forex from the recomended books na kwa kweli hii kitu ni tamu ukiielewa and it is very very interesting so please once again COUNT ME IN na nipo tayari kwa interview. My fellow traders na ndugu zangu wengine LET'S KEEP MOVING DEEP AND DEEPER
 
Wacha maneno subiri interview
 
Kaka ONTARIO nimesoma uzi wako vizuri, hongera sana kwa kutokuwa na roho ya ubinafsi. Lakini nina maswali mawili
1. Hao watu 300 wanapatikana vp?
2. Ni vitabu gani tusome ili tuanze kuondoa tongotongo machoni?

Mtafiti muelewa kweli? Baada ya post 2814?
 


Na pesa ikiliwa je!!!?
 
Yaani maneno matamu sana yenye bright future.
Much appreciation ONTARIO BOSS[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kaka ONTARIO
I am so determined into forex trading na naendelea kula kitabu kama kawaida.
Mm kwa sasa Niko bukoba na naona kuna baadhi ya watu wa bukoba wanafuatilia hii kitu (baadhi nawafahamu) na wako motivated.
Ukifika mpaka bukoba itakuwa safi sana
Unasubiriwa kwa hamu sana.

Big up
 
Msiniache kwenye hayo mafunzo ninaendelea kusoma vitabh lakini havipandi kivilee..nazan nikiongezewa na hio training nitakuwa mkufunzi. Niambie ada ni kias gan nijiandae kamili. Plz ontario leave me not behind!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…