A2G
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 283
- 829
unalipia zile za Udemy.?
Muhindi kingereza chake hakisikiki vizuri aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unalipia zile za Udemy.?
Hahahahaaa.Muhindi kingereza chake hakisikiki vizuri aisee.
I salute you brother! In life RISKS ARE ALSO OPTIONSAt least wewe unaongea kama professional ama mtu mwenye uelewa, sio km baadhi ya watu wanatema mashudu hata hawaelewi nini wanasema.
Umetukumbusha tena kitu ambacho nimekizungumza hapa mara kadhaa, kua forex inahitaji dedication sana sana sana.
Nirudi kwenye hoja zako ulizozinumber.
1. Kwanza naomba usipindishe maneno, sielewi kama umekosea ama umekusudia. Hii ni continuous thing ambayo itarun kwa decades za kutosha, unaposema nafungua office ya kutrain wa2 300 bure unakua umenimisquote. Nimesema natoa special offer kwajili ya member 300 kutoka JF, wapate training then nitakua nao benet kuhakikisha wanamake profitable trades. Baada ya hapo programme itaanza rasmi - tutaingiza wanafunzi wa kutosha tu, na sitawapa free trainings. Nitawacharge kitu kidogo ambacho tutaona inafaa kwao na kwetu pia.
Mimi kumleta broker ni kurahisisha mambo. Huwezi ukamtrain mtu hasa mbongo ambae uelewa wake ni mdogo afu kisha unamwambia broker yupo UK au USA. Hapo ni ngumu , mimi kumleta broker ni katika kufanya vitu kiuhalisia, kwa openness na transparency. Naona unazungumzia mambo ya mimi kuwa IB, cjui nani kasema, na hata kama ni hivyo iko wapi shida?!
Pia kama umesoma vzr post yangu nimegusia kdg type ya broker ambae ninadeal nae. Sijui kama uliona hiyo ama hukuelewa.
2. Boss hii point yako ya 2 imekaa kama kuna kitu you want to prove... yani kuna negativities ambazo hazina logic unaraise.
Mtu mwenye akili timamu hawezi akahoji faida ya Office, mtu anakuchallenge kisa unafungua office afu hapo hapo anasema forex inahitaji knowledge kubwa afu kisha anashauri hiyo knowledge itolewe WhatsApp. Tusiwe na roho ya kwanini - wewe umepata knowledge usichukie uonapo mwenzio nae anatolewa usingizini??
Mimi hii si biashara yng ya kwanza. Hata biashara ya kuku, inabidi uingie gharama ya kujenga mabanda na kuandaa kila kitu ndio uanze kufuga kuku. Wewe umepata hiyo elimu kwa njia zako unazozijua wewe, haimaanishi njia zingine ni za kipvmbavu. Yani unanishauri nichukue watu 300 then niwafundishe forex kwa group la WhatsApp na si kufungua office afu niwadirect kwa broker ambae hata hawajui alipo au anaoperate vipi.
Biashara yoyote lazima ugharamie, mimi kupanga office space, kuleta mentors nk ni 1 ya vitu ambavyo nilividraft ili kuhakikisha natengeneza consistent profitable traders na gharama zote nilizipiga. Naweza nisitengeneze pesa leo ama kesho but baada ya mwaka nikiwa nimeestablish mizizi, nina watu TZ wananizungumzia naweza kutengeneza pesa.
If you have any doubts about me, naomba nianze hii kitu ili nikuprove wrong. Nafungua ofisi, natafuta vibali vyote, naleta broker, natrain mamia kwa mamia, nitajitahidi mimi na team yangu tutengeneze traders ambao wataina matunda ya forex, na through the whole process nitatengeneza faida yangu na watu watakua na freedom ya uchumi kuliko leo graduate anagombania remote na mdg wake wa primary.
Mimi kama mimi Ontario nilianza biashara nikiwa bado mdg sana, nilianza na kuku 50 wa broilers, watu walinicheka, wengine wakawa wananidiscourage even my own parents. Leo hii hiyo biashara inakuwa featured Forbes, CNN, BBC World Service, SABC, DW nk. Hata hii nayo siwezi kuishia kati, afe kipa afe beki. Ipo siku watu wote wanaoleta senseless negativities nitawaprove wrong. Nipe miaka miwili tu, yani miezi 24 tu since nikianza.
I will leave a living legacy ya hii biashara kwa hapa TZ - nitakumbukwa si kwa utajiri bali kwa namna nitakavyowafungua watu macho na fikra ktk Global businesses. That alone kwangu ni ushindi mkubwa
Ni Ontario boss.
Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!
Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.
Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.
Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.
Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
Wacha maneno subiri interviewWell said mkuu!! hapo umenena vyema swala la mchujo kwa njia ya interview naunga mkono 100% kwa sababu hapa nimeona kuna baadhi ya watu hawajishuhulishi kusoma vitabu na kuvielewa wanauliza maswali yanayoashiria kweli huyu mtu hajasoma hata page za mwazoni za kitabu kilichotolewa sasa mtu kama huyu ataweza kufuatilia habari za kiuchumi, kisiasa na matukio yanayoendelea duniani? anyways sitaki kuwavunja moyo wadogo zangu ila nawasisitizia kwamba KUSOMA NA KUELEWA ni muhimu ili uweze kufanya biashara hii kwa faida kubwa. Mkuu ONTARIO mimi naendelea kuchimbua madini ya forex from the recomended books na kwa kweli hii kitu ni tamu ukiielewa and it is very very interesting so please once again COUNT ME IN na nipo tayari kwa interview. My fellow traders na ndugu zangu wengine LET'S KEEP MOVING DEEP AND DEEPER
Wacha maneno subiri interview
Kaka ONTARIO nimesoma uzi wako vizuri, hongera sana kwa kutokuwa na roho ya ubinafsi. Lakini nina maswali mawili
1. Hao watu 300 wanapatikana vp?
2. Ni vitabu gani tusome ili tuanze kuondoa tongotongo machoni?
Wapi iyo mkuu???Naanza somo kesho
Nalipia course ili nielewe
Ontario akianza ikitokea nitakuwa nimeelewa.
Nitamtumia yeye kama mentor
Nakisoma mdogo mdoooogo kinanipa vitu flani iviiii vya mbali sanaCurrency trading for dummies, second edition. Nenda post namba 441 utakikuta.
Naona watu wamepata hamasa ya hatari. Hivi ni Mimi ndio sielewi au wadau humu ndani ndio wamepata mihemko? Watu wapo busy kuangalia profits wanasahau kuwa mwenye uzi alisoma vitabu 6 Tena kwa kuelewa mstari kwa mstari huku akiwa na mtu wa kumpa miongozo. Hii kitu sio ya kulala na kuamka tajiri, msiwe na matumaini makubwa hivyo mtakuja kupata presha bure
Nina hakika katika hao watu 300 ni watu wasiozidi watano tu ndio watakuja kuwa traders wazuri maana sio kwa mihemko hii
Ningekuwa Mimi ndio nyie ningejipa Mwaka wote huu kwa ajili ya kujifunza lakini pia ningesoma sana stori za watu walio filisika kwenye hii biashara.
MUWE WAVUMILIVU msiweushwe na mafanikio ya Ontario. You have been warned. Mbaya zaidi Wabongo sisi wavivu kusoma vitabu, watu mtakuja kulia humu mseme Ontario tapeli.
Nakushauri ndugu Ontario ukianza kufundisha watu kwa kuwalipisha ada uweke kifungu kwenye joining form kwamba training does guarantee success in Forex trading, trade at your own risk [emoji23]
NB: hongera kijana Ontario, utafanikiwa kwa nia yako ya kusaidia wengine. Mimi nitaingia mkataba na wale ambao watakuwa cream/vichwa kwenye Darasa lako la watu 300, nawapa hela ya kuanzia warudishe kwa riba [emoji1]
Yaani maneno matamu sana yenye bright future.Ni Ontario boss.
Watu wazembe kama wewe mtakuja kunisumbua darasani na kunichafulia jina. Uzi una post 2600 unashindwa kusoma, utaweza kumaliza page 660 ya Bible of a trader?!
Nilishatoka kwenye 300, nipo kwenye 150.
Kila mwenye nia ya kujifunza na kubadili knowledge into reality ndio watakaopata fursa ya kunijoin. Sitaki kuwa kama syllabus za Kibongo mtu anasoma miaka 17-20 lkn akitoka shule hajui nini kinafata. I want real traders - na real traders mpk sasa atakua anajua ABC kuhusu forex. Hakuna nafasi nitakazotoa kama sanda kalawe - watoto wenye akili za kiInstagram hii kitu haitawahusu, I need serious people who know what life means.
Pili haya mafunzo hayatakuwa ya batch 1, nitakua sijafanya kitu - sawa na kusema nitakua nimetengeza tu gap kati ya have and have not. Hiki kitu ni continuous, baada ya batch ya kwanza itakuja ya 2, ya 3, ya 4... mpaka tunafika batch 10 hivi by mwisho wa mwaka - lkn hawa itabidi wachangie ela ya AC na umeme.
Na kama alivyopendekeza ndugu yangu Bavaria, wanafunzi wa batch za mwanzo mwanzo nataka tuanze as soon as possible ili hadi kufika Dec tupange trip ya kwenda Capetown au Durban, yani tunabook SA Airways yote, tunaenda vacation kujipongeza (I'm only happy when the whole team is winning). Tukifika hatua hiyo nahisi watu wataelewa nini namaanisha. Kuanzia mwakani sasa kila kichwa kitakua kinalipia ada kama ya CPA au school of law. Ndipo tutakapoweza kufungua branch Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma nk.
Kaka ONTARIOWatu wa Zenji tupo pamoja sana...
Unajua Zenji ni kama my 3rd home, nikihitaji ku_relax na kumeditate hua nakuja Zenji sehemu 1 inaitwa Prison Island, nililipa kama 40,000 kutoka stone town kwa private boat kama dakika 25 hivi. Huko ni patamu sana sana kurelax, ni kama miami fulani hivi.
Kama Zenji mkijikusanya mkafika at least 50 naweza kupanga na mentors wangu tuje weekend 1 kupiga story nanyi hapo Prison island. Siku 2 haziwezi kutosha kwa training hasa ukizingatia ni weekend, coz hua market imefungwa. Mkiweza kujimobilize zaidi tunaweza kuja kupiga kambi ya wiki 1 huko.
Baadae kdg labda in Aug tutaanza kuzunguka kwenye mikoa ya Mbali mbali km mwamko utakua mzr. Mfn Bukoba, tunaeza kuongea na uongozi wa shule km Rugambwa au Ihungo tufanye evening classes na watu wa B.K, lkn itategemea nitakua ninaweza kuwalipa mentors wangapi... Najua ndani ya Hii project naweza kupata wanafunzi makini na wenye motisha ya kusaidia watu, tuwe tunazunguka kuwafikia wanaume wa mikoani.