Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Aah,nilisahau kumbe suala la scalping niliona kwny moja ya reviews,kuna mtu analalamika hawaruhusu scalping.
 
Wadau, I need to acquire more knowledge abt FOREX, please wapi naweza kupata hivyo vitabu vyakusoma ili nianze kuielewa kiundani zaidi???
 
Reactions: MC7
Wadau, I need to acquire more knowledge abt FOREX, please wapi naweza kupata hivyo vitabu vyakusoma ili nianze kuielewa kiundani zaidi???
ndugu kwny hii thread vitabu vpo vya kutosha jaribu kupitia utavipata
vya kuanzia ontario alisuggest tuanze na currency trading for dummies and naked forex, pitia hii thread utajifunza mengi mno hata kabla hujaanza kusoma.
 
Hawa JP MARKET si wameshitakiwa kwa kosa la udanganyifu kwa wateja wao..?? Wengine wanasema hafai n mwongo mwongo... c mzur wengine wanasema..
Cc Ontario .
 
Hahahaaa umenikumbusha mbali sana asee broo kule prisioner island kwenye KObe wenye miaka zaidi ya 150 ni wakubwa kiasi kwamba unaweza kuwapandia na wala isiwe shida kwao kutembea, kama napaona ivii but sio swala mungu mkubwa nitapafika tena lakin kwanza ngoja ni concertrait kwenye vitabu then i guess tutakuwa wote tuki gonga cheaz on our sucsess...
 
nina imani hivi karibuni nitakuwa nauliza maswali kama haya.."broker yupi mpoa wa kufanya mambo ya transaction chapchap"ama tunavyopenda kusema FASTA FASTA[emoji383]
Hahahah[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] nakuelwa mkuu ngoja mda utaongea
 
Am very interested, my young bro (19) kanifundisha iqoption ndo nakomaa na demo saa hivi nna week bado sijapata hasara wala faida naendelea soma markets na kufanya analysis plus hii thread imenifungua sana. Hawa brokwr IQOption unawaonaje bro naona wa south pia na dunia wanawapenda plus 24 option.
 
kwa kamtaji ka tochi, scalping itanisogeza narefine mbinu nimtokee mzungu mwezi ujao.
hasara roho!
 
Nijuavyo mm IQ Option is a Binary Broker it doesnt deal with FX Trading,So mnatrade Binaries kinda same but kuna utofauti.Forex Trading is big leagues.
Endelea kusoma soma.
 
Hakuna TIN No. TIN Ni abbreviation ya Tax Identification Number. So ukisema TIN No ina maana unarudia number Mara mbili.
Naelewa vizuri, sema ukitaka mbogo akuelewe vizuri unapaswa kumuelekeza hivyo
 
Naelewa vizuri, sema ukitaka mbogo akuelewe vizuri unapaswa kumuelekeza hivyo

Tunatakiwa tubadilike, tutoke kwenye 'barabara ya Nyerere road' Na 'nitaweka mafuta sheli ya puma'
 
Bado naendelea kula nondo wakuu ili kujiweka fit na program Siku si chache basi na Mimi taanza kupata taarifa kwamba broker gani anafanya transaction mapema ila kwanza nondo kwanza alafu mafanikio badae tuendelee kula nondo wakuu
 
Aah,nilisahau kumbe suala la scalping niliona kwny moja ya reviews,kuna mtu analalamika hawaruhusu scalping.
Ok sawa
Tunatakiwa tubadilike, tutoke kwenye 'barabara ya Nyerere road' Na 'nitaweka mafuta sheli ya puma'
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…