Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
Aah,nilisahau kumbe suala la scalping niliona kwny moja ya reviews,kuna mtu analalamika hawaruhusu scalping.Samahani mkuu Kabanga...
Umeshawahi kutrade with JPmarkes?
Ama ni kwamba umesahau maana ya scalping? Ngoja nikukumbushe - scalping ama skimming ni strategy ya kufungua positions kisha unazihold kwa muda mfupi, sana sana dakika 5,10, 15 au nusu saa, then ukipata faida unatoka kwa market... tofauti na day trading ambapo unaeza fungua position ukakaa nazo hata masaa 8 au 10 huko. Afu scalping unakua unafanya mara nyingi nyingi ndani ya siku.
Unaposema JPM hawaruhusu scalping basi labda ni miaka ya nyuma sana, maana hii ndio mbinu yangu. Screen shots nyingi nilizoweka hapa nilikua ninascalp saa zingine 1 hour, 2 hours inategemea na soko lipoje. So, ili kupunguza confusion hapa hasa kwa newbies, ni vzr tuwe tunatoa our own live experience, sio kusoma vitu vilivyopo google.
![]()
Hizi trades zinarun na ninafanya scalping, nazifunga nikigonga $800+, ni Live JP Markets
Samahani mkuu Kabanga...