Niko Moshi mkuu! my point is, sitaki bank inayozungusha, mara unaweka ela unaanza ambiwa maneno mengi au umetoa ela mpaka kuitoa kwenye account inakua mzunguko mwingine! hayo mambo ndio siyataki!Upo wapi mkuu?
Hata CRDB inafaa tu. Si kuweka na kutoa pesa?
Kuna wenzako kama ishirini hivi wameshaandika ulichoandika wewe, uwe unasoma kwanza post zooote mkuuHii biashara ni ngumu Kuliko wengi mnavyofikiri. Inahitaji elimu ya movement za fedha. Wala Sio siri na kwamba mabenki hayataki watu wajue, ni uongo. Usifanye kama vile utapata utajiri kesho, hasara mfululizo ni jambo la kawaida kwenye forex. Ila kwa wanaoendelea kujifunza hatimaye huweza kupata faida. Uwe tayari kupoteza pesa kabla ya kupiga pesa kama utabahatika. Biashara hii imekaribiana Sana na kamari
Ushauri utaandikwa tu, hutaki unaacha. Usinilimit kutoa mawazo yangu. I have been thereKuna wenzako kama ishirini hivi wameshaandika ulichoandika wewe, uwe unasoma kwanza post zooote mkuu
UpdateMkuu ONTARIO tunasubiri kwa shauku juu ya issue ya kitabu chenye maujanja ya kupiga wanasema mpunga (a million dollar book) "mastering technical analysis for smarter traders" ili tukitua tu mjengoni uwe kama unasukuma mlevi.
Then December as proposed ndani ya SA Airways to Capetown.
Kwa kidogo nilichojifunza naendelea kuscalp yaani nadonoa donoa taratibu kama mchwa but the overall profit is convincing
Hii ni tangu asubuhi mpaka SAA 7 mchana huu
View attachment 523758
Hii biashara ni ngumu Kuliko wengi mnavyofikiri. Inahitaji elimu ya movement za fedha. Wala Sio siri na kwamba mabenki hayataki watu wajue, ni uongo. Usifanye kama vile utapata utajiri kesho, hasara mfululizo ni jambo la kawaida kwenye forex. Ila kwa wanaoendelea kujifunza hatimaye huweza kupata faida. Uwe tayari kupoteza pesa kabla ya kupiga pesa kama utabahatika. Biashara hii imekaribiana Sana na kamari
Nahisi FNB watakuja moshi sooner.Niko Moshi mkuu! my point is, sitaki bank inayozungusha, mara unaweka ela unaanza ambiwa maneno mengi au umetoa ela mpaka kuitoa kwenye account inakua mzunguko mwingine! hayo mambo ndio siyataki!
Very true. Nilichotaka ni kuwatahadharisha watu waingie kwa tahadhari. Nawatakia uendeshaji jet mwema.Hata wachimba Madini hupoteza pesa nyingi kabla ya kupiga pesa. Ukiwa kunguru muoga, ficha bawa lako uone utaruka kwa njia gani!
We KUWA mtazamaji wa jinsi tutakavyo poteza. Ukija stuka usingizini wenzio hapa tuna private jets Kama Za Prof. Thornton.
Asante ila bado sana. napenda kupata maujuzi ya Pro ONTARIO. Mm bado beginner kabisa ila tu najitahindi kucheza na naked forex trading without indicators maana nimejaribu indicators kadhaa lakini naona haziko effective kivile ila PRICE ACTION to me is everything for now.MTOTO WA NGURUMO
Hongera
Asante ila bado sana. napenda kupata maujuzi ya Pro ONTARIO. Mm bado beginner kabisa ila tu najitahindi kucheza na naked forex trading without indicators maana nimejaribu indicators kadhaa lakini naona haziko effective kivile ila PRICE ACTION to me is everything for now.MTOTO WA NGURUMO
Hongera
Very true. Nilichotaka ni kuwatahadharisha watu waingie kwa tahadhari. Nawatakia uendeshaji jet mwema.
mkuu hapa ndipo pahala sahihi pa kuuliza na kufafanuliwa mambo kisawasawa..huko pm naweza nikakosea na hamna mtu atakaenikosoa ila hapa nikikuingisha chaka wadau wananyoosha mambo kwelikweli...Natamani sana ningeielewa hata kwa uchache. Naamini unaweza nisaidia, kama inawezekana nije private
mkuu umepotea sana..au ndio vitabu na demo zimeshika kasi?..[emoji3]Zones hizo hapo, kifupi ni eneo ambalo graph iligoma kuzidi kupanda(green lines) na kushindwa kuzidi kushuka (red lines)
mkuu umepotea sana..au ndio vitabu na demo zimeshika kasi?..[emoji3]
anza kusoma toka mwanzo mkuu kila ulichouliza kimejibiwa kwa ufasaha mi ndo nimemaliza kusoma leo na nimejifunza kitu ila kwa sasa people ziko busy kustudy vitabuVery interesting,ndo mara yangu ya kwanza kusikia neno Forex. Labda tu kwa kunitoa tongotongo inahitaji mtu wa elimu gani na mtaji wa shilling ngap. Na je ukitaka kujua zaidi referrence materials unaweza zipata wapi. Nahitaji ufahamu zaidi kama hutojali nielimishe kidogo! Aksanteni!