Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hii biashara ni ngumu Kuliko wengi mnavyofikiri. Inahitaji elimu ya movement za fedha. Wala Sio siri na kwamba mabenki hayataki watu wajue, ni uongo. Usifanye kama vile utapata utajiri kesho, hasara mfululizo ni jambo la kawaida kwenye forex. Ila kwa wanaoendelea kujifunza hatimaye huweza kupata faida. Uwe tayari kupoteza pesa kabla ya kupiga pesa kama utabahatika. Biashara hii imekaribiana Sana na kamari
 
Upo wapi mkuu?
Hata CRDB inafaa tu. Si kuweka na kutoa pesa?
Niko Moshi mkuu! my point is, sitaki bank inayozungusha, mara unaweka ela unaanza ambiwa maneno mengi au umetoa ela mpaka kuitoa kwenye account inakua mzunguko mwingine! hayo mambo ndio siyataki!
 
Hii biashara ni ngumu Kuliko wengi mnavyofikiri. Inahitaji elimu ya movement za fedha. Wala Sio siri na kwamba mabenki hayataki watu wajue, ni uongo. Usifanye kama vile utapata utajiri kesho, hasara mfululizo ni jambo la kawaida kwenye forex. Ila kwa wanaoendelea kujifunza hatimaye huweza kupata faida. Uwe tayari kupoteza pesa kabla ya kupiga pesa kama utabahatika. Biashara hii imekaribiana Sana na kamari
Kuna wenzako kama ishirini hivi wameshaandika ulichoandika wewe, uwe unasoma kwanza post zooote mkuu
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Ushauri utaandikwa tu, hutaki unaacha. Usinilimit kutoa mawazo yangu. I have been there
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu ONTARIO tunasubiri kwa shauku juu ya issue ya kitabu chenye maujanja ya kupiga wanasema mpunga (a million dollar book) "mastering technical analysis for smarter traders" ili tukitua tu mjengoni uwe kama unasukuma mlevi.

Then December as proposed ndani ya SA Airways to Capetown.

Kwa kidogo nilichojifunza naendelea kuscalp yaani nadonoa donoa taratibu kama mchwa but the overall profit is convincing

Hii ni tangu asubuhi mpaka SAA 7 mchana huu
View attachment 523758
Update
Nimefanikiwa kuipandisha mdogo mdogo mpaka kufikia Kama USD 300+
Screenshot_20170614-162056.png
 
Hii biashara ni ngumu Kuliko wengi mnavyofikiri. Inahitaji elimu ya movement za fedha. Wala Sio siri na kwamba mabenki hayataki watu wajue, ni uongo. Usifanye kama vile utapata utajiri kesho, hasara mfululizo ni jambo la kawaida kwenye forex. Ila kwa wanaoendelea kujifunza hatimaye huweza kupata faida. Uwe tayari kupoteza pesa kabla ya kupiga pesa kama utabahatika. Biashara hii imekaribiana Sana na kamari

Hata wachimba Madini hupoteza pesa nyingi kabla ya kupiga pesa. Ukiwa kunguru muoga, ficha bawa lako uone utaruka kwa njia gani!
We KUWA mtazamaji wa jinsi tutakavyo poteza. Ukija stuka usingizini wenzio hapa tuna private jets Kama Za Prof. Thornton.
 
Niko Moshi mkuu! my point is, sitaki bank inayozungusha, mara unaweka ela unaanza ambiwa maneno mengi au umetoa ela mpaka kuitoa kwenye account inakua mzunguko mwingine! hayo mambo ndio siyataki!
Nahisi FNB watakuja moshi sooner.
Ila wapo Arusha..
 
Kwa wale waliofungua real account
Proof of residence mmetumia ipi maana mi natumia statement ya crdb ila haioneshi niko wapi zaidi inataka jina
 
Hata wachimba Madini hupoteza pesa nyingi kabla ya kupiga pesa. Ukiwa kunguru muoga, ficha bawa lako uone utaruka kwa njia gani!
We KUWA mtazamaji wa jinsi tutakavyo poteza. Ukija stuka usingizini wenzio hapa tuna private jets Kama Za Prof. Thornton.
Very true. Nilichotaka ni kuwatahadharisha watu waingie kwa tahadhari. Nawatakia uendeshaji jet mwema.
 
MTOTO WA NGURUMO
Hongera
Asante ila bado sana. napenda kupata maujuzi ya Pro ONTARIO. Mm bado beginner kabisa ila tu najitahindi kucheza na naked forex trading without indicators maana nimejaribu indicators kadhaa lakini naona haziko effective kivile ila PRICE ACTION to me is everything for now.
It might not be as good as ONTARIO's strategies but for now I see kiasi Fulani uko poa.
 
MTOTO WA NGURUMO
Hongera
Asante ila bado sana. napenda kupata maujuzi ya Pro ONTARIO. Mm bado beginner kabisa ila tu najitahindi kucheza na naked forex trading without indicators maana nimejaribu indicators kadhaa lakini naona haziko effective kivile ila PRICE ACTION to me is everything for now.
It might not be as good as ONTARIO's strategies but for now I see kiasi Fulani iko poa.
 
Very true. Nilichotaka ni kuwatahadharisha watu waingie kwa tahadhari. Nawatakia uendeshaji jet mwema.

Kila jambo lina tahadhari, hata kula tunakula kwa nidhamu Na tahadhari tusipaliwe au chakula kupita njia ya hewa. So, tuko tayari kwa yote. Karibu, tukupe ride japo once a year!
 
Natamani sana ningeielewa hata kwa uchache. Naamini unaweza nisaidia, kama inawezekana nije private
mkuu hapa ndipo pahala sahihi pa kuuliza na kufafanuliwa mambo kisawasawa..huko pm naweza nikakosea na hamna mtu atakaenikosoa ila hapa nikikuingisha chaka wadau wananyoosha mambo kwelikweli...

=================================

scalping,Ontario anaiita skimming ni strategy ya kutrade ambapo unafungua positions kwa muda mfupi sana kisha unaclose positions..mfano,umefanya technical analysis yako ukaona ambavyo charts zinabehave hivyo ukaamua ku time ambapo soko linapanda au kushuka na hapo ukafungua position kutegemea na trend..baada ya kufika sehemu ambapo unahisi hapo ndipo soko linabadilisha trend unaexit kwa faida yoyote uliyotengeza kwa muda huo.....kisha,unakula timing yako tena,unaingia sokoni unavuna faida unasepa,hivo hivo..kifupi,ni trading inayochukua muda mdogo sana...

usisahau ukifanya timing yako visivyo utaingia hasara ya uhakika

NOTE: katika scalping ni advisable kutumia stake ndogo ya margin yako...
 
Zones hizo hapo, kifupi ni eneo ambalo graph iligoma kuzidi kupanda(green lines) na kushindwa kuzidi kushuka (red lines)

4fc130d31c8bebb3407f0dee6262fe60.jpg
mkuu umepotea sana..au ndio vitabu na demo zimeshika kasi?..[emoji3]
 
Very interesting,ndo mara yangu ya kwanza kusikia neno Forex. Labda tu kwa kunitoa tongotongo inahitaji mtu wa elimu gani na mtaji wa shilling ngap. Na je ukitaka kujua zaidi referrence materials unaweza zipata wapi. Nahitaji ufahamu zaidi kama hutojali nielimishe kidogo! Aksanteni!
 
anza kusoma toka mwanzo mkuu kila ulichouliza kimejibiwa kwa ufasaha mi ndo nimemaliza kusoma leo na nimejifunza kitu ila kwa sasa people ziko busy kustudy vitabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom