ilo povu duu, pole bana ckupenda ufkie ukoThis is jf. Tuna share mtazamo, you peak what you want. Otherwise acha ujuha
Nimepitia pitia contents inaonekana kipo nondo, shukrani mkuu Huntsman
Mkuu nimedownload naona zote tano zinaongelea rsikwa wale ambao wangehitaji fast track katika momentum oscillators/indicators, Video hizo hapo chini
1. Stochastic 2. EMA 3. MA 4. MACD 5.RSI
Mkuu nimedownload naona zote tano zinaongelea rsi
Kitabu kiko page ya ngapi mkuu?Nimepitia pitia contents inaonekana kipo nondo, shukrani mkuu Huntsman
umetuambia ur just begginer, then unataka kuanza na live papo hapo. mmmh.Naombeni kujua The best Broker ambaye anakubalika na wengi maana mm kama begginer in bussiness bado nahitaji mtu ambaye amesha fanya live anaye jua hali alisi ya best broker.. Nataka kufungua live account. Pls help me guys
Akili za kizee hizi, nimetoka kama nilivyoingia.
Akili za kizee hizi, nimetoka kama nilivyoingia.