Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nikiwa naendelea kupitiaa vitabu...
Word to word huku Naomba mkuu ONTARIO akamilishe taratibu...

I'm waiting for NEWS....
A big bang,
a dream for everyone participating on this thread

Atuambiee.. Here we go!!!!! Training inaanza siku fulani.

For me,itakuwa ni kitu kikubwa sanaa.
I can call it A BEAUTIFUL BEGIN..
 
Mkuu Antario, Bavaria with no alcohol na wadau wote wa forex kiujumla hope mko salama. Katika pitia pitia yangu chapter three kwny kitabu cha dummies nimekutana na subtopic moja inaitwa bank to bank and beyond. Subtopic hii nimekutana na kitu nikawa curious kidogo kukifahamu kiundani. Kinahusu currency trading services ambazo mabenki yanazitoa kwa customers ambacho sijaelewaelewa ni je mabenki hua yanatrade kwa niaba ya corparations , government agencies and wealth private individuals au ni services zipi za currency trading mabenki yanaprovide kwa hawa jamaa?
 
Mkuu ONTARIO tunaendelea kusubiri updates.. Leo ni tarehe 15
I pray ufanikiwe mapema maana i know kufanikiwa kwako zaid ndio njia yetu na sisi kupata benefits.
 
Am really interested in this business and thanks alot for the knowledge but I really wish one day the knowledge u have give me to help me toward goals.thanks alot
 
Naombeni kujua The best Broker ambaye anakubalika na wengi maana mm kama begginer in bussiness bado nahitaji mtu ambaye amesha fanya live anaye jua hali alisi ya best broker.. Nataka kufungua live account. Pls help me guys
 
Naombeni kujua The best Broker ambaye anakubalika na wengi maana mm kama begginer in bussiness bado nahitaji mtu ambaye amesha fanya live anaye jua hali alisi ya best broker.. Nataka kufungua live account. Pls help me guys
umetuambia ur just begginer, then unataka kuanza na live papo hapo. mmmh.
then pia ungekua umepitia uzi wote hayo maswali yako yangepata majibu mbona mkuu
 
Yaaan kazini KAZI hazifanyiki,natumia Muda mwingi kusoma FOREX,nimekuwa na hamu kubwa sana ya kujua hii biashara,.
 
Akili za kizee hizi, nimetoka kama nilivyoingia.


Hata mm nilitoka kama nikivyoingia ila nikarudi nikasoma tena Uzi na comments kadhaa...nikaanza kupata mwanga...nimeanza kusoma Currency trading for dummies napata mwanga zaidi.


Komaa Mkuu soma soma soma...unajua sisi ambao hatukusoma masomo ya Biashara itakuwa ngumu sana kugrasp mapema hii ishu ila ukikomaa kinaeleweka mbonaaaa.
 
Screenshot_2017-06-15-09-37-25.png
Screenshot_2017-06-15-10-21-44.png
Screenshot_2017-06-15-10-22-21.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom