Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Ontario alisisitiza concentration ambayo alilazimika KUWA nayo kuanzia kwenye kusoma vitabu. Haswa baada ya kupitia haraka ili aanze ku practice chini ya usimamizi wa mentor wake. Lkn maswali yalipompiga ilibidi akubali ku concentrate. Apply the same you will not get loss.
 
Banks are limiting their customer to high risk endevours. Its not in their interest or yours to lose a lot of money in a few seconds.

The Treasury departments in banks are armed with knowledgeable people who knows what they are doing when it comes to high risk trades, and even them make huge loses sometimes.
Read about this chap Kweku Adoboli: www.bbc.com/news/uk-20338042
he losty several billions in high risk trades for UBS in the UK and had to resort on fraudulant methods to control losses.

I will not advice any sane person to use his salary income on these kinds of trades, if they do not have advanced finance skills, You are guaranteed to waste money.

The only person who will win is your broker: in this case the guy in this thread opening a brokerage in TZ.,why? because he makes a cut for every position you open, whether you win or lose.

Obviosuly like, Gambling, LOTO,Bettting, drug business.., you can easily be attracted by the sucess stories of few individuals.
BUT always remember.., THE HOUSE ALWAYS WINS.
 
Umeongea point kabisa mkuu! Hata mimi nilihisi hicho kitu....margin point! Ila ndio kujifunza mkuu!!

Demo accounts ni za muhimu sana tena lwa wanaonza! Lakini kwa ushauri ni kwamba hata kama unatumia demo acc. Usiset kiwango cha pesa kikubwa!

We kiasi kidogo utapata uhalisia wa trading!! Kwa experience niliyopata kuset ela nying mfano dola mil moja si nzuri sanaa maana haikupi uhalisia!! Unless uwe unataka kuanza na mapesa mengi [emoji23][emoji23]!!
 
Nimekupata mkuu ila in real world scenario kusoma tu haiyoshi! Hata mimi nilisoma kwamba natakiwa ku concentate ila inafika point unajikuta off the line...inatokea!!

Pamoja na kusoma, practices ni muhimu !
 

Hongera sana... hongera mzee kwa kuonja tamu na chungu ya soko.

Kilichokukuta ndio hali halisi ya soko... umekuza $30 mpk $45 ndani ya muda mfupi, lkn pia ndani ya muda mfupi ukaunguza account yote. That's learning not losing. Nilichoma account ya kama $12,000 yani mwili ulikufa ganzi wote, nikawa Nasikia tumboni kama kuna chura wanaruka ruka, but sijawahi kujilaumu hadi leo. Imenipa discipline kubwa sana na umakini. Leo mtu anaeza kunishangaa natembea na lot ya 0.02 lkn nina maana yangu - the goal is to make profits with minimum chances of losing big numbers.

Hapa nilipo nina trades 60 za sell USDJPY lkn lot size ya 0.01... lkn tayari nipo na profit ya 737. That's being pro, faida si kubwa sana lkn probability ya hasara ni ndogo saaana.

Pole pole utakua pro, know the principles, read more than you trade, trust your analysis, have the right mentor - then you are good to go. Cheers!! Forex is about knowledge not fvcking with probabilities.
 
Kweli boss boss! Leo ndio nimepata nguvu ya kuingia JF!! Tena bahati nzuri nimekutana na kitabu kipya humu humu!!

Tuendelee kujifunza!

Mkuu mbona Kama inaonekana umeunguza zaidi ya Euro 25 za bure ulizopewa [emoji23][emoji23], natania mkuu

Ila ningekuwa wewe ni Mimi ningefurahi sana, the fact that at some point you did make profit is amazing. Mimi nakushauri endelea na real trade maana sababu zilizo kufanya uunguze account sio lack of knowledge Ila ni vitu vidogo vidogo ambavyo ukifanyia kazi utakuwa vizuri

Hongera kwa hatua hiyo, wengine bado tunajificha nyuma ya mishumaa ya demo tukijipa moyo [emoji23]
 
Mkuu me nakupa hongera kwa kuthubutu.. Mpaka hapo amini una nafasi kubwa sana ya mafanikio.. Xo keep it up..
 
Nimekupata mkuu ila in real world scenario kusoma tu haiyoshi! Hata mimi nilisoma kwamba natakiwa ku concentate ila inafika point unajikuta off the line...inatokea!!

Pamoja na kusoma, practices ni muhimu !

Very true Lodrick, but practice with a high degree of concentration. Ukijizoeza ku concentrate wkt wa kujifunza utakuwa umejenga msingi mzuri hata wakati wa ku perform live trading. That's most important!
 
Nilianza kupotea nilipoona faida na nilipotea kabisa nilipota loss ya kwanza! Badala ya kutulia na kutafakari nikaendelea kutrade hili nalo ni kosa lingine nilofanya ndani muda mfupi!!

Nimejifunza sana mkuu! Uliyasema ni kweli kabisa, infact nimeshajua nilipokosea! As i said, narudi mezan kusoma tena (kuna kitabu kipo kipya kimewekwa hapa jukwaani)!

Nitarudi ku trade soon nikipona maumivu kabisa [emoji23][emoji23]!!

Tuko pamoja mkuu!!
 
Mkuu mbona Kama inaonekana umeunguza zaidi ya Euro 25 za bure ulizopewa [emoji23][emoji23], natania mkuu

Hahaha kama uko sahihi vile! Ila si kitu unaweka wazi vingine naficha kwa usalama wa wengine...hasa tunaojifunza!! Kwa upande mwingine kilichoniuma sio kupoteza tu ila ni kupoteza faida ndani ya mda mdogo sana!!

Okey! Kiukweli nitarudi tena ku trade...ila acha nikae mezan kwanza nijifunze wapi nilikosea na pia ni analyse kosa moja baada ya lingine!! ili next time nisikosee tena!!

Demo acc is good ila kwa ushauri jaribu kiset demo acc. yenye pesa kidogo ndio utapata uhalisia!!
 
Mkuu me nakupa hongera kwa kuthubutu.. Mpaka hapo amini una nafasi kubwa sana ya mafanikio.. Xo keep it up..
Nashukuru sana mkuu!

Nimeandika makosa yangu kwenye karatas nataka nitumie mda kuya analyse moja baada ya lingine!!

Pia tuendelee kusoma hasa kitab kipya alichotoa jamaa!! Taratibu tutafika arifu!
 
Mkuu unajua kumsoma mtuu.. Hiaiwezekani Euro 25 za ofa zikamuuma kiasi hicho.. Ila ndio kujifunza Hii ishu haihitaji papara wala tamaa ishu ni muhimu nikuridhika demo imenifundisha mambo mengi sana
 
Reactions: A2G
Mkuu unajua kumsoma mtuu.. Hiaiwezekani Euro 25 za ofa zikamuuma kiasi hicho.. Ila ndio kujifunza Hii ishu haihitaji papara wala tamaa ishu ni muhimu nikuridhika demo imenifundisha mambo mengi sana

Duuuh haya mkuu!!

Mi naomba tuendelee kujifunza na zaidi ya yote tujifunze kutokana na makosa hasa ya wengine!!
 


Hahaaahaaa, Kaka hii mbinu kama ingekuwa katika mpira tungesema umepaki basi. Kama Mourinho vile, Haijalishi unachukuaje kombe, ila cha muhimu ni kwamba kombe liingie kabatini.

Hehehehheheheheee
 
Daaah nazidi kupata morali aisee hebu ngoja nikomae na hiki kitabu kwanza

Ila nilichogundua hiki kitabu kimeweka wazi mambo ya msingi sana yani hakujifichi na katika yote kimetumi lugha nyepesi sana kutoa ufafanuzi

Ukisoma naked forex na hiki basi unapata knowledge ya kutosha unatamani hata uanze Ku trade live ila kwanza tumalize theory

Ushauri mwingine kwa wote ni vizuri kuzipunguza zile namba za pesa kwenye demo angalau hata kufikia $200 ili Uwe unacheza na uhalisia kidogo man katika hali halisi hakuna anaeweza Ku trade na $10000000

Cha mwisho kwa sisi ambao tuna haraka ya mafanikio naomba tumalizr kwanza hiki kitabu cha mwisho alafu demo ifanye kazi ya ziada and then nitaku free to goo
 


Kuna Hawa jamaa wanaitwa lite forex nilifungua demo account kwao. Leo nimekutana Na hii forecast Yao ya kuanzia Leo mpaka tarehe 23/06 Lkn kweli nimeona Kama sielewi vyema. Ontario, Bavaria Na wengine wanao elewa zaidi mnaweza kutufafanulia?
Naomba kuwasilisha.
 
Hii biashara Si ya kukurupuka. Invest in books kwanza kabla ya kukimbilia kutrade.mimi najipa miezi 3 kwanza! Then miezi 3 kwenye demo. Kisha hapa nitaangalia Kama nifungue real account au VIP! Boss Ontario naomba kujua unatumia broker gani? South Africa? Lot size umeset ngap? Kinacho burn account Ni pipps kubwa au Lot size kubwa? Broker demo account ipi nzuri kwa bigginer? Kama broker ndio anayetoa rates bid/offer je Ana asilimia ngap ya wewe kupoteza biashara au kupata? Je Kama Si mwaminifu je Si rahisi kukutia hasara akicheza Na hizo figure? Je ulipotoa ela kwenye account ulituma moja Kwa moja au lazima zipitie sehemu ingine like pay pal, au Spt, to bank account. Ulisema ulivyotaka Toa mzigo mkubwa walikusumbua je kuanzia dola ngap hawasumbui kuanzia dola ngap wanasumbua?
 
KAKA we unamawazo kama mimi, ONTARIO kaleta ideal watu badala ya kujiongeza wanafikiria wote kupata darasa, real fighter kwa idea hii ameshafanikiwa nusu ya safari yake, mimi kama sitopata nafasi kwa kwenye hiyo training sitorud nyuma, nitacomaa mpaka nitatoka, msimamo wangu ndo huo. if they can do you can do.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…