Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Binafsi Katika pita pita zangu nilikutana na ebooks hizi ambazo ni muhimu katika jinsi ya kutrade forex.
Pakua hapo[emoji116]
 

Attachments

Mkuu hapa umeongea vizuri sana na umeongea kweli kabisa ila nadhani lugha uliyotumia sio rafiki kutokana na unyeti wa issue unayotaka kuianzisha.

Ushauri wangu kwako najua wewe ni mtanzania na unajua hali za watanzania zilivyo,jitahidi kumuomba Mungu akupe hekima kama za Suleiman .Amina
 
Good things need patience boss wangu, comment kama hizi niliziona zinakuja wakati naandika thread ndio maana nikasema tuwe wavumilivu hadi nitakapotoa thread mpya ya nini kifuate.

Mimi ni hustler, najua maana ya 'jua' najua maana ya 'jasho' najua jinsi gani ilivyo ngumu kupata pesa na ninajua jinsi gani inauma kupoteza pesa. Sitaki uingie kwenye forex ukapoteza pesa ulioitolea jasho juani ndani ya dakika kadhaa. Ndio maana nikasema tusubiri kila kiti kiwe tayari. Najua maana ya kupoteza pesa, mimi nimepoteza karibu mil 20 Tsh, sitaki na wewe upoteze pesa ulioisotea kwa shida.

Lkn kama unahisi uko vzr naweza kukupa hizo details unazotaka.
 
Mkuu kabla sijakujibu swali lolote uliloniuliza, naomba uniwekee hapa ni wapi mimi nilikutukana na kukushambulia kwenye huo uzi wako unaousema.. Nitashukuru sana kama utafanya hivyo boss, na mimi nitajibu maswali yako yote pamoja na vivid evidences ya kwamba ninachokiongea si tu nabashiri au nazusha bali nimefanya hivyo vitu na bado navifanya na nina uelewa mpana sana kwenye Management Accounting..

Brokers wengi wa Forex wanakuwa na maneno mazuri sana na motivation kibao kama unavyofanya wewe hapa, lakini ukijitusu kuingia huko na ukiwa huna uelewa wowote unaishia kupoteza pesa bure.. Lakini kitu kingine nilichokinotice kwako, wewe ni Motivator mzuri sana lakini siku zote naona ukiwa unawashambulia watu ambao wako against mawazo yako.. Naona kila ambacho wewe unakiona unataka na wengine wakione hivyo hivyo, hilo sio sawa hata kidogo..

Nangoja uniwekee uliposema nimekutukana na kukushambulia boss..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…