kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Hii ipo vizur aisee asante ontario
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link hii hapo, maana vingine vinasumbua ku upload. App ya simu ina crashBinafsi Katika pita pita zangu nilikutana na ebooks hizi ambazo ni muhimu katika jinsi ya kutrade forex.
Pakua hapo[emoji116]
Mkuu hapa umeongea vizuri sana na umeongea kweli kabisa ila nadhani lugha uliyotumia sio rafiki kutokana na unyeti wa issue unayotaka kuianzisha.Watu wa Mwanza, Arusha blah blah, mnalia sana, hamuoni aibu kunidekea. Mimi nimesafiri hadi Afrika kusini, nikaishi Pretoria, Johannesburg na Durban kwaajili ya forex. Namaanisha nimetomea Dar mpk huko just for this thing. Mtu yupo hapo Himo nauli elfu 25 anauliza nitamsaidiaje. Jamani tuacheni kudeka, hakuna mtu atakuletea kila kitu hadi kwenye sinia.
Lkn hili pia linanifikirisha kua tukiwa successful tutafungua branches na huko mlipo.
But bosses tuacheni kudeka. Dar na mwanza ni dakika 0 tu. Tena hapa Dar kuna mpk lodge za efu 10, sitaki kusema nilikua natumia kiasi gani kwajili ya meals na accommodation, waliofika SA wanaelewa nn nasema.
....
Nimetoa jina la kitabu watu wasome, lkn kuna mtu bado anasema nikiweke hapa, wakati vipo pdf huko gugo hata MB 10 havifiki. Is this how you guys hustle for success?! Watanzania tunapenda sana slope.
Good things need patience boss wangu, comment kama hizi niliziona zinakuja wakati naandika thread ndio maana nikasema tuwe wavumilivu hadi nitakapotoa thread mpya ya nini kifuate.Mkuu ONTARIO kama nataka kuanza, ni vitu gani nahitaji??
1. Akaunti nitatumia ya benki gani??
2. Hao broker unapendekeza yupi ambaye yuko friendly kwa mazingira yetu ya bongo??
Nilikua nimeanza kupitia videos za youtube kidogo nna ka basic knowledge!! Bado najifunza!
Eeeh kuona tu mahela nimefika fasta. Watu 300 si bado?
Bado mama, changamkia fursa.Eeeh kuona tu mahela nimefika fasta. Watu 300 si bado?
Mkuu unatuchosha tunaotumia simu ...I am in boss
Mkuu kabla sijakujibu swali lolote uliloniuliza, naomba uniwekee hapa ni wapi mimi nilikutukana na kukushambulia kwenye huo uzi wako unaousema.. Nitashukuru sana kama utafanya hivyo boss, na mimi nitajibu maswali yako yote pamoja na vivid evidences ya kwamba ninachokiongea si tu nabashiri au nazusha bali nimefanya hivyo vitu na bado navifanya na nina uelewa mpana sana kwenye Management Accounting..Unatrade tangu 2012?! Basi kuna possibility kubwa unafanya kitu usichokifahamu. Huelewi kbs why you enter and exit a trade, yani miaka mi5 ilibidi uwe mbali mno.
By the way unatumia broker gani mpk unaweza kuibiwa?! Au huyo aliyeibiwa anatumia broker gani?!
Which trading strategy do you use?!
Mkuu niseme wazi, najua unanichukia uliwahi kunikuta kwenyw thread yangu gani sijui, ukanirushia maneno mengi sana (sijui kama ni wewe au nachanganya), lkn niseme hivi, yani kama mpaka leo unapoteza pesa zote kwenye forex na una miaka mi5 wewe bado ni infant trader. Kuna kila kitu, investing.com inakupa updates zoooote unazohitaji kufanya fundamental, kuna tools zaidi ya 100 zinazokuguide, sasa hivi knowledge imekua pana sana, kuna SL hadi na pending orders bado unapoteza pesa. Kaka come to my class and learn naked forex.
Na ukiona biashara haina risk hp duniani basi jua hakuna unachokifanya boss.