Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Daaaah hngera bro, yan umezidi kunitia hamasa ya kua somebody in the future coz kias kama tunalingana umri and i'm waiting to be employed after my bachelor...
Salute boss
 
Mkuu Ontirio wewe ni mtu wa aina gani, nimekutana na watu wengi sana wa tofauti but wewe umepitiliza kaka. Najua ungeweza tu kukaa chumbani na kupiga utajiri mkubwa sana, lakini umeona bora ushee na kila mtu.si kila mtu anaweza kufny hivyo kaka. Mungu akutie nguvu, akuongoze, akuzidishie pale unapotoa, akupe marafiki zaidi, zaidi ya yote tupo pa1 sana. Nasubiria classes za kulipia... nitaandaa $500 kama mtaji na $300 kama fees.... [emoji111] [emoji111] [emoji106] [emoji106]
 
Mkuu nipo na demo account ila bado sielewi jinsi ya kuset viwango vidogo...nipe maujanja ni kweli hayo madola mengi hayana uhalisia kabisa!!
Ukiwa unafungua account kuna sehem ya mwanzon kabisa pale unapoweka jina...kwa chin kuna sehem ya kiwango unachotaka kuset!! Sasa hapo hapo chagua cha chin kabisa!! Account ya pesa nying ni nzuri ila kama unataka kuanza na 1mil dola[emoji23][emoji23][emoji23]...kama no mwenzang na mie tuanze na hizi za pesa ndogo ndio utapa uhalisia kidogo!!

Fungua account mpya ndio utaweza kuset!!


Karibu mkuu!
 
Hakika kitabu hiki ni kitamu, kinakupa hamu ya kuendelea kujisomea. Lugha iliyotumika ni nyepesi
 
Ukishindana na mpumbavu na wewe unakua mpumbavu vilevile kama yeye no matter how far you are, ignore mambo ya kipumbavu na usitegemee kusifiwa tu hata kama upo perfect..

Dunia ndio ilivyo
 
Unacheza rafu!!!.....umejipigia mno promo!!! [emoji1] [emoji125] [emoji125]
 
the very first day i saw this thread i totally believed in it..honestly speaking,i saw some light in it..and i have been working so hard coz i believe this is the chance the Lord has made..not just me but most of us..this Gentleman,Ontario,is a true defination of kindness...not everyone will reveal their financial sources to everyone...but this young man has really proved them wrong...i believe in you Ontario...i believe that you are the instrument of change in our societies..and my Hope is that,WE SHALL ALL GET THERE..wasemao na waseme..kelele za chura hizooo...tutazidi kusonga mbele..Napenda kuuita mwendo wetu Mwendo wa vipara...hahaa...Ontario mkuu,tukaze buti ili kesho waliosimanga leo wavae majezi ya aibuu....let us work hard...everybody who got inspired by this..let us keep the pace..lets keep moving...siku ya siku watatushangaa tukiingia kwa ndege tukiongozwa na mkuu Bavaria kuelekea SA..hahaaa...

waache hao mkuu..lets concentrate on our main interests...
 

[emoji123] Yes, I can.
 
Reactions: MC7
Unacheza rafu!!!.....umejipigia mno promo!!! [emoji1] [emoji125] [emoji125]

Promo muhimu mkuu lakini ye alisema vigezo vitatumika siimanishi nipate nafasi ya upendeleo bali kwa vigezo vile vitakavyotumika kama nitakosa sio mbaya pia, samahani lakini kama nimekukwaza ila ni namna tu ya kuonyesha uhitaji wa kuhudhuria mafunzo pamoja na kumpa moyo mdogo wetu ONTARIO asivunjike moyo mkuu.
 
Ukishindana na mpumbavu na wewe unakua mpumbavu vilevile kama yeye no matter how far you are, ignore mambo ya kipumbavu na usitegemee kusifiwa tu hata kama upo perfect..

Dunia ndio ilivyo
vipi mkuu...siku nyingi sijaskia kutoka kwako baba..
 
Umesomeka vyema kabisa.

Ni wacheche wenye huu moyo wa kutoa bure.
 
Usimaind brother.....amani amani[emoji111]
 
What Makes Forex Exceptional?
HIGH LIQUIDITY
Forex is the biggest financial market in the world with a trading volume of over $4 trillion a day. This makes it 53 times bigger than the New York Stock Exchange’s daily trading volume. In such a liquid market, you have instant access to money as you can sell your investment quickly and at fair market price.
Forex Advantages | Intraday Trading
 
Kwanini msimdisclose huyo mwanga tumjue?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…