[emoji2] [emoji2] [emoji2] utajua mwenyewee...ila limekuchomaaa..Hahahahaa! Kwani Ontaria Mungu wako mpaka umuone wa maana sana kunijibu mimi? Umeshakuwa brainwashed na blind. Huoni wala kusikia hata kama Ontario is not perfect, utasema yuko perfect. Wacha ushamba na udhaifu wa akili wewe!
be blessed!!!!Hahaha
Hapa naona unatukomaza kisaikolojia mana hata kwenye training za FX tunatakiwa tuwe na instinct na psychology knowledge nzuri sana.
Sikushangai saana mana wapiga kelele kama wewe wapo wengi na tumewazoea.
Kama unaona watu wanatapeliwa, Kuwa MWANAUME waonyeshe njia sahihi ya kufanya ili watu watoke kimaisha sio kuja na hoja zisizojenga badala tu ni kubomoa.
Simama anzisha Uzi wako onyesha watu hzo property ulizonazo kwa namna gani watu wengine usiowajua wenye dreams na vision kubwa wanaweza kuzitumia na kubadili maisha yao. Sio kutumia Uzi wa watu wanaotaka kujaribu kugusa maisha ya watu. S. Africa forex inawatoa vijana big time hata wasiokua na elimu.
ONYESHA NJIA ACHA KELELE MINGI
**Ila Traders wote mtumieni huyu jamaa kama sehemu ya kukomaa Kisaikolojia kwenye FX mana hata soko nalo lipo kwa namna hyo sometime [emoji4] [emoji4] [emoji4] ***
Kwa kuongezea tu... japo atakua na hicho kitabu ila si mbaya akapata na soft copy....Hapa bingwa ndo unapofeli...Refer my post couple of days back, jinsi ya ku handle psychologically na jamaa kama mberoya ni kukaa kimya tu, very simple. It's a perfect diplomatic strategy in conquering kinda situation. Kumjibu your showing weakness and it will cost you. Ukiona unashindwa kabisa bora uwaachie audience. Keep it low profile mzee, kula buyu kula box.
Sun-zi anakwambia ukimuona enemy anakufata kwa upole basi ni dhahiri atakushinda but ukimuona anakuja kwa matusi mixa maneno mengi ni dhahiri ata surender. Tafuta kitabu kinaitwa Art Of War kitakusaidia into making yur decisions. Wapo wanaokuitaji humu wajifunze kwa style yao na wapo wasiokutaka.
Pia refer maneno ya rais wako magufuli, anakwambia a great leader lazma aface criticism.
Pambana mzee. Kuwa Wolf Of BongoLand si mchezo. All the best
hapo umenena ndugu,Wakuu Amani na iwe kwenu,
Pongezi kwa wakuu wote ambao mmekuwa mkishare nasi the inner side ya hii kitu na wote
ambao hii kitu imeanza kuimpact maisha yenu….!
Kwa mbali naona pia kuna baadhi ya wakuu wamejivijisha vazi la kutukatisha tamaa… Tufanyeje sasa..?
Tusiwabeze maana wanakamilisha mchanganyiko wa maisha… So nikuchukuliana nalo na kusonga mbele..!!
Kama kweli you have choosen this course..!! Fanya kweli maana kuna maisha ktk FOREX…!!
Gharama za muda, pesa(vocha), jitihada tunazoingia zisije kuwa sawa na bure…! Kwa sababu hiyo ustaarabu ni
muhimu katika maandalizi kwa kuendelea kusoma btn the lines (simba mwenda pole things) ili tuwe GURUS…
Maana, HATUCHELEWI KOKOTE NA HAKUNA TUNAKOWAHI…!
Ili kesho gharama tunazoingia zituturn into a WINNING machine not a LOOSING machine...!!
Pamoja katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku kupitia fursa adhimu ya FOREX..
Uko sawa, kuna rafiki yangu mmoja wa jf niliwai mwambia hapo awali kuwa "YOU CAN'T EXPECT THE WORLD WITHOUT SUCH PEOPLE".Wakuu Amani na iwe kwenu,
Pongezi kwa wakuu wote ambao mmekuwa mkishare nasi the inner side ya hii kitu na wote
ambao hii kitu imeanza kuimpact maisha yenu….!
Kwa mbali naona pia kuna baadhi ya wakuu wamejivijisha vazi la kutukatisha tamaa… Tufanyeje sasa..?
Tusiwabeze maana wanakamilisha mchanganyiko wa maisha… So nikuchukuliana nalo na kusonga mbele..!!
Kama kweli you have choosen this course..!! Fanya kweli maana kuna maisha ktk FOREX…!!
Gharama za muda, pesa(vocha), jitihada tunazoingia zisije kuwa sawa na bure…! Kwa sababu hiyo ustaarabu ni
muhimu katika maandalizi kwa kuendelea kusoma btn the lines (simba mwenda pole things) ili tuwe GURUS…
Maana, HATUCHELEWI KOKOTE NA HAKUNA TUNAKOWAHI…!
Ili kesho gharama tunazoingia zituturn into a WINNING machine not a LOOSING machine...!!
Pamoja katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku kupitia fursa adhimu ya FOREX..
Wewe wacha hizo husilete dhihaki. Kumbuka forex trading siyo free lunch! Una ma-hope kibao lakini hujui round the corner kuna shimo la moto aka jehanamu!hapo umenena ndugu,
cha msing kama mtu kashaamua kusuka na asuke kwa bidiii, huyu anae onesha kukatisha tamaa, cha msingi hapo ni kumpuuza tu mwisho wa siku nae atajipuuzaa,
teh teh tehh
Jipeni hope tu na njaa zenu, Magufuli kakaza kamba mnahaha kama sungura.[emoji23] [emoji23]Uko sawa, kuna rafiki yangu mmoja wa jf niliwai mwambia hapo awali kuwa "YOU CAN'T EXPECT THE WORLD WITHOUT SUCH PEOPLE".
This is definitely right mkuu..!Uko sawa, kuna rafiki yangu mmoja wa jf niliwai mwambia hapo awali kuwa "YOU CAN'T EXPECT THE WORLD WITHOUT SUCH PEOPLE".
Don't argue with foolish guys they will drag you to their level and beat you by experience
Wewe bata utarudi hapa kuomba msamaha, afu kutuita watu wezi mama yako ndio mwizi na baba yako ndio tapeli, fala wewe... Acha tuanze, we all know forex is not an easy game, but we will get it done. Acha tuanze, results will speak not words. I spend few hours kuingiza pesa unayoingiza kwa mwaka. Convert $1,800 to Tsh rate ni 2235. Tulikubaliana tupeane muda, batch ya kwanza ikianza naomba unipe miezi mitatu...
Sawa bank tellerJipeni hope tu na njaa zenu, Magufuli kakaza kamba mnahaha kama sungura.[emoji23] [emoji23]