I see, thank you
Vipi kuhusu Exim au Diamond Trust bank??Kuna jamaa yuko na acc fnb kanambia yeye anatoa hela in two days.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natumia xm, but nahamia Tickmill kwani huyu anakubali m pesa japo ni kwa safaricom ya Kenya, huyu hana longo longo unachukua mshiko wako anytimePamoja Mkuu, ila naomba unisaidie kitu kimoja, broker unaemtumia, mimi kuna huyu Market.com nataka kumtumia hapa nipe ushauri kidogo
Mimi natumia xm, but nahamia Tickmill kwani huyu anakubali m pesa japo ni kwa safaricom ya Kenya, huyu hana longo longo unachukua mshiko wako anytime
Hawatoi sababu za msingi, lkn hawataki watu wajue biashara hii ni aina ya mbinu ya kukuvunja moyo, wengi wamekumbana na tatizo hili
Watakupa kwa kuchelewesha lkn
Hongera mkuu kama hutojalil tuwekee na screenshoot hapa it tupate motisha mkuu.dah tamuje je forex yaan leo nimecheza hadi nimegonga kamilio moja wandugu,deposit liliweka 500 dollar laverage nimeweka 100:1 volume 0.10 acha nifurahie nafanikio ya demo i wish one day nitaweza make kwenye really live
AhaaaWana high internet banking security(wapo poa) so ukiwa mtu purchase ya mara zaidi ya moja inakua inatakiwa ufanye confirmation kibao au wanablock hii wanazuia wezi wa mitandao... Mi baada ya kunsumbua sana saa hivi CRDB mawatumia kuwekea mzigo wa dollar tu kwa kutumia dollar account. So nadeposit ma kuwithdraw $... Online purchase nawatumia equity wako fasta but ushauri hapa pesa usiweke equity either kwenye e-wallet kama skrill au paypal au unazitoa kila mara na kuhamishia benki nyingine.
IQ Option niliweka $10 wamenigongajeDaaa leo nime withdraw $ zangu IQ Option nime direct kwenye card yangu. Kwaiyo nimeshapoteza Pesa usiniambie. Maana natumia CRBD Bank
Wana high internet banking security(wapo poa) so ukiwa mtu purchase ya mara zaidi ya moja inakua inatakiwa ufanye confirmation kibao au wanablock hii wanazuia wezi wa mitandao... Mi baada ya kunsumbua sana saa hivi CRDB mawatumia kuwekea mzigo wa dollar tu kwa kutumia dollar account. So nadeposit ma kuwithdraw $... Online purchase nawatumia equity wako fasta but ushauri hapa pesa usiweke equity either kwenye e-wallet kama skrill au paypal au unazitoa kila mara na kuhamishia benki nyingine.
Double top and bottom,last kiss,Big belt,big shadow,kangaroo,hizo nafikiri ni kama tools ambazo unazitumia kuisoma price action,yaani ku confirm trend then you apply sell or buy,but that's according how I have understood.Dah kumbe mimi napitwa, basi mimi nimezoea kutrade kwa kutumia Double top&Bottom, Last Kiss, Big Belt, Big Shadow na Kangaroo tail.. Na huwa nagonga profit kama kawa
Fungua fnb... BankABC au equity hao crdb nbc na wakongwe wengine watakupa presha!!
ASANTE@Upepo wa pesa, pia napenda kujua akauni nitayo fungua ni ya local currency au foreign currency, pili utaratibu wa kufungua account ni uleule au kwa biashara hii ni totauti, tatu ningependa kujua kama wewe unatrade real account unatumia benk gani, asanteFungua fnb... BankABC au equity hao crdb nbc na wakongwe wengine watakupa presha!!
IQ Option niliweka $10 wamenigongaje
Okey!ASANTE@Upepo wa pesa, pia napenda kujua akauni nitayo fungua ni ya local currency au foreign currency, pili utaratibu wa kufungua account ni uleule au kwa biashara hii ni totauti, tatu ningependa kujua kama wewe unatrade real account unatumia benk gani, asante
asante kaka, ila mimi nitaweka dola sababu kariokoo kuna best price za kuchange hela kuliko benk rate zao ni kubwa,Okey!
Mimi nilifungua equity(wako simple hawana mambo ya mtendaji wa kijiji wala mwenyekiti, kila kitu fasta)!
Sasa nikitaka kuweka dola mia naangalia je dola moja ni sawa na tsh ngapi?? Then napiga hesabu naweka kiasi nnachopata!!
Kwa kifupi fungua acc ya kawaida weka tsh zako then ukitaka kuweka kwa dola kwa broker wao watabadili huku huko!! Si lazima ufungue acc ya dola au euro!!
Ukifika bank watakupa ushauri zaidi!
hapo ndio unakomaa kwanza andika makosa uliyofanya mpaka ukapigwa za uso na hao iq then jipange upya na strategies mpya utawin market tu..Toka lini mkuu?
Hata mimi hii kitu niliwaza sana!! Maana bank wao wanachange kwa 2303 kwa dola moja (equity bank)! Kiasi flani ni kubwa!asante kaka, ila mimi nitaweka dola sababu kariokoo kuna best price za kuchange hela kuliko benk rate zao ni kubwa,