KEMUODIO
Member
- Feb 18, 2017
- 94
- 189
nahisi bank zinazo accept forex ni bank za nje maana wanaijua vizuri na wanatrade ila kwa za kibongo ni kwanini wewe mtanzania mwenzangu upate?subiri kwanza kaa pembeni.sisi tutaenda na bank zinazoaccept forex na kwa muda muafaka,sasa hv hakuna kusubiri nenda rudi