Hivi wakiziblock wanazipeleka wapi?
Hivi wakiziblock wanazipeleka wapi?
Mm waliblock,aisee customer care walipata shida,cuz nilikua nalalamika na matusi juu,na hawana jinsi zaidi ya kuwa wapole,huwezi kumrudishia tusi mteja[emoji2]Kuna liaccount lao wanalifunguaga wenyewe wanazipelekaga huko...ukishamalizana nao wanaziamishia kwenye account yako...ni usumbufu tu usio na lazima...yaani ni kama kuoneana wivu tu ila ukiwabana sana watakuambia wanafuata sheria tu sio wao...
Broker ndo waliblock pesa au Bank?Mm waliblock,aisee customer care walipata shida,cuz nilikua nalalamika na matusi juu,na hawana jinsi zaidi ya kuwa wapole,huwezi kumrudishia tusi mteja[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitapenda Msaada kutoka kwako aise siunajua kizuri kula na nduguzo!Huna haja ya kuikimbia hiyo mt4...mimi mwenyewe nilikuwa siielewi mwanzoni ila nimetafuta mtu amejicoach saiz safi tu!
Kwahiyo solution siyo kuikimbia, ni nyepesi sana hiyo ukiijua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana Boss naona wiki umeifunga vizur and good analysis Question , kwa uoande wangu naona naanza kukomaaa hata akili sasa inawaza TRADE TRADE ,,,...... |nawaza jinsi ghani ntakavyo master hizi trading-Wakuu Wiki ndio hiyo inayoyoma
Mana FX tunafunga mahesabu leo muda sio mrefu.
jumamosi na jumapili ni kupumzika na kuendelea na kula msuli
Hebu tuweze kujiassess kidogo
Kabla ya kuijua FX ulukua unatumia vipi muda wako
Kuanzia umeanza jifunza FX unagain ama unapoteza muda kupekua vitabu
Angali wewe kuanzaia wiki imeanza umeingiza nini kichwani kuhusu FX
Angalia ni kiasi gani umekua makini kufuatilia taarifa kuhusu ecomomic issues
Alafu angalia demo yako inasoma negative ama positive
Angalia kama leo umekua makini na kutafura pesa na umeachana na habari za udaku.
Kama wewe bado upo kwenye udaku, Kuishi maisha bora ni maamuzi yako mwenyewe.
May Allah bless all pips eaters
Tumshukuru Mungu kwa kutupa Mhenga mkuu kama ONTARIO
Guys lets absorb knowledge
Okay dats great nimeelewa, sasa kwa mm ninaetaka kuwa mmoja wenu,ninahitaji kuwa na kiasi gani cha pesa km kianziao? Pia hii forex ni program au application na kwa njia ipi? Naweza kuwa nayo kwenye cmu yanguMkuu utanisamehe kama nitakuwa nimekuudhi ila inaelekea dunia inaenda mbele wewe unarudi nyuma...mkuu wangu dunia ya sasa unaweza Kufanya Biashara marekani ukiwa Nankurukuru muradi tu una facilities zinazitakiwa kwenye hyo Biashara..
Forex sio Biashara ya nchi ni Biashara ya kimataifa na mtu yoyote anaweza Kufanya...Kwanza usome uelewe Biashara hii ni kitu gani na unatakiwa kujua nn na nn ili uifanye....yaani uwe nondo hasa Kuhusu forex trading...ukishaelewa kila kitu na kuwa tayari kuingia kwenye hii game..unachotakiwa kuwa nacho ni computer/simu iliyowezeshwa na internet...bando la kutosha....kianzio cha kuingia kwenye hii Biashara...then unaanza kutrade.
Angalizo forex trading is not for everybody kwa hyo kama unaona hii kitu sio saizi yako....mkuu endelea na mambo ingine maana huku kuna kupata na kupoteza pia...kama hujajiandaa kupoteza tafadhali usiingie...na cha muhimu zaidi usiingize pesa ambayo you can't afford to lose..yaani usije ukaanza trade na pesa ya MKOPO au pesa ambayo ikipotea itafanya ushindwe kuendesha maisha yako ya kawaida.
Huko kukatishana tamaa haya ni maisha mzee, ushirikiano ndo kikubwa kweny maisha hakuna anaejua kila kitu duniani, siwezi Kusoma comments 500 kwa kila mtu ana maoni yake kuna anae criticize PiaMkuu wangu soma Uzi kwa Makini uuelewe...kisha soma comments Zote ikiwezekana...katika kusoma huko utaelewa nn cha Kufanya wala hutauliza haya maswai uliyouliza...kama huwezi kusoma Uzi na kuuelewa pamoja na kupitia comments Zote za Uzi huu kwani ndo kuna majibu ya maswali uliyouliza....
Mkuu naomba tu nikushauri forex is not for you...endelea na shughuli unayofanya....achana na hii kitu Kabisa..yaani achana nayo.
Amekujibu hivyo coz iki uimaster vziur forex lazma usome sana vitabu.. So kwa kuanzia ndio kakushauri upitie huu uzi wote utoe tongotongo then utaona kuna vitabu vilivokua recommended so unaweza kuendelea wakati tukisubir darasa la ontarioHuko kukatishana tamaa haya ni maisha mzee, ushirikiano ndo kikubwa kweny maisha hakuna anaejua kila kitu duniani, siwezi Kusoma comments 500 kwa kila mtu ana maoni yake kuna anae criticize Pia
Ww km umejitolea kuelimisha elezea sio unaponda Ndugu
iPhone 6s
Habari yako mkuu!!Mkuu naomba tu nikushauri forex is not for you...endelea na shughuli unayofanya....achana na hii kitu Kabisa..yaani achana nayo.
Okay dats great nimeelewa, sasa kwa mm ninaetaka kuwa mmoja wenu,ninahitaji kuwa na kiasi gani cha pesa km kianziao?
iPhone 6s
Pia hii forex ni program au application na kwa njia ipi? Naweza kuwa nayo kwenye cmu yangu
Kiuhalisa sijaona kama kuna uhusiano wa jibu lake na kumwambia mtu asome vitabu ili aijue forex!Amekujibu hivyo coz iki uimaster vziur forex lazma usome sana vitabu..
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
So kwa kuanzia ndio kakushauri upitie huu uzi wote utoe tongotongo then utaona kuna vitabu vilivokua recommended so unaweza kuendelea wakati tukisubir darasa la ontario
Mkuu! Ahsante safiHabari yako mkuu!!
With all due respect ... naona kama hujamfanyia fair muuliza swali!!
Mimi nadhani humu wengi wetu tunajifunza, sasa kwa maneno makali kama haya unadhani kama jamaa alikua na nia ya kuanza kujifunza ataendelea kweli?? Kumbuka hata wewe kuna kipindi ulikua hujui kama yeye, je na wewe watu wangekujibu kama ulivyomjibu jamaa ungefika hapo??
Kumwambia forex is not for you ni kama umem-judge kitu ambacho kwa namna moja au nyingine sio cha kiprofeshno na ni cha kumvunja moyo!! Huoni kama utakua umempoteza George Soros wa kesho?
Katika safari ya forex kuna kipindi itafika utakua mentor wa wengine, je kwa comment kama hizo utaweza kuwajenga forex traders wapya kweli mkuu?
Anyways kwa nnavyoona wewe ndiye "forex is not for you" maana kwa tunavyojua moja kati ya sababu za ku-win katika forex ni kuwa fit psychologically, sasa ndugu yangu kwa comment yako huoni kama umefeli katika aspect ya psychology??
Nadhani ni vyema tuka fika mahali tukabadilika, na kidogo tulicho nacho tusaidie wenzetu ili nao wafike tulipo!!
Sorry kama nitakua nimekukwaza, ni katika harakati kujengana!!
Tuko pamoja!!
Ahsante Mkuu! Ubarikiwe SanaMkuu!
Kiwango cha pesa inategemea broker na broker, wengine wanahitaji minimum 5USD, wengine 30usd wengine 50usd mpaka 100usd na zaidi!!
Lakini, Kabla hujaanza kuwaza kiwango cha fedha nakushauri atleast upitie vitabu ili uwe na basics za forex trading, hata sio ngumu kuielewa kama utaweza nia na juhudi!!
Okey, japo kwenye forex tunatumia applications kutrade ila forex sio program wala application, forex ni biashara kama biashara nyingine mfano mtu anaposema biashara ya magari au biashara ya nyanya and the alike.... sasa forex kwa lugha nyepesi ni biashara ya fedha za kigeni. Yaani unauza na kununua fedha za kigeni kama euro, pound, dola ili kupata faida (sometimes kuna hasara pia)!!
Biashara ya forex unaweza kuifanyia kwenye simu au kompyuta baada ya kujisajili kwa broker!!
Once again, usikimbilie kuweka pesa, jitahidi utafute vitabu viko humu (ukikosa sema upewe) download uanze kusoma taratibu!!ukisoma kama wiki moja utakua umepata mwanga kuhusu forex trade!! nenda youtube andika "forex trade" angalia videos pia zitakupa mwanga kuhusu forex!!
Kila la heri na karibu sana mkuu!!
Habari yako mkuu!!
With all due respect ... naona kama hujamfanyia fair muuliza swali!!
Mimi nadhani humu wengi wetu tunajifunza, sasa kwa maneno makali kama haya unadhani kama jamaa alikua na nia ya kuanza kujifunza ataendelea kweli?? Kumbuka hata wewe kuna kipindi ulikua hujui kama yeye, je na wewe watu wangekujibu kama ulivyomjibu jamaa ungefika hapo??
Kumwambia forex is not for you ni kama umem-judge kitu ambacho kwa namna moja au nyingine sio cha kiprofeshno na ni cha kumvunja moyo!! Huoni kama utakua umempoteza George Soros wa kesho?
Katika safari ya forex kuna kipindi itafika utakua mentor wa wengine, je kwa comment kama hizo utaweza kuwajenga forex traders wapya kweli mkuu?
Anyways kwa nnavyoona wewe ndiye "forex is not for you" maana kwa tunavyojua moja kati ya sababu za ku-win katika forex ni kuwa fit psychologically, sasa ndugu yangu kwa comment yako huoni kama umefeli katika aspect ya psychology??
Nadhani ni vyema tuka fika mahali tukabadilika, na kidogo tulicho nacho tusaidie wenzetu ili nao wafike tulipo!!
Sorry kama nitakua nimekukwaza, ni katika harakati kujengana!!
Tuko pamoja!!
Huko kukatishana tamaa haya ni maisha mzee, ushirikiano ndo kikubwa kweny maisha hakuna anaejua kila kitu duniani, siwezi Kusoma comments 500 kwa kila mtu ana maoni yake kuna anae criticize Pia
Ww km umejitolea kuelimisha elezea sio unaponda Ndugu
iPhone 6s
You can PM meGuyz, I need training into the forex thing as soon as possible. Anyone I should consult?
Nawasilisha
You're welcome!Ahsante Mkuu! Ubarikiwe Sana
iPhone 6s