Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hivi wakiziblock wanazipeleka wapi?

Kuna liaccount lao wanalifunguaga wenyewe wanazipelekaga huko...ukishamalizana nao wanaziamishia kwenye account yako...ni usumbufu tu usio na lazima...yaani ni kama kuoneana wivu tu ila ukiwabana sana watakuambia wanafuata sheria tu sio wao...
 
Mm waliblock,aisee customer care walipata shida,cuz nilikua nalalamika na matusi juu,na hawana jinsi zaidi ya kuwa wapole,huwezi kumrudishia tusi mteja[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Wiki ndio hiyo inayoyoma
Mana FX tunafunga mahesabu leo muda sio mrefu.
jumamosi na jumapili ni kupumzika na kuendelea na kula msuli

Hebu tuweze kujiassess kidogo
Kabla ya kuijua FX ulukua unatumia vipi muda wako
Kuanzia umeanza jifunza FX unagain ama unapoteza muda kupekua vitabu
Angali wewe kuanzaia wiki imeanza umeingiza nini kichwani kuhusu FX
Angalia ni kiasi gani umekua makini kufuatilia taarifa kuhusu ecomomic issues
Alafu angalia demo yako inasoma negative ama positive
Angalia kama leo umekua makini na kutafura pesa na umeachana na habari za udaku.
Kama wewe bado upo kwenye udaku, Kuishi maisha bora ni maamuzi yako mwenyewe.
May Allah bless all pips eaters

Tumshukuru Mungu kwa kutupa Mhenga mkuu kama ONTARIO

Guys lets absorb knowledge
Safi sana Boss naona wiki umeifunga vizur and good analysis Question , kwa uoande wangu naona naanza kukomaaa hata akili sasa inawaza TRADE TRADE ,,,...... |nawaza jinsi ghani ntakavyo master hizi trading-

Mwendo wa kupekua vitabu
 
Mkuu utanisamehe kama nitakuwa nimekuudhi ila inaelekea dunia inaenda mbele wewe unarudi nyuma...mkuu wangu dunia ya sasa unaweza Kufanya Biashara marekani ukiwa Nankurukuru muradi tu una facilities zinazitakiwa kwenye hyo Biashara..

Forex sio Biashara ya nchi ni Biashara ya kimataifa na mtu yoyote anaweza Kufanya...Kwanza usome uelewe Biashara hii ni kitu gani na unatakiwa kujua nn na nn ili uifanye....yaani uwe nondo hasa Kuhusu forex trading...ukishaelewa kila kitu na kuwa tayari kuingia kwenye hii game..unachotakiwa kuwa nacho ni computer/simu iliyowezeshwa na internet...bando la kutosha....kianzio cha kuingia kwenye hii Biashara...then unaanza kutrade.

Angalizo forex trading is not for everybody kwa hyo kama unaona hii kitu sio saizi yako....mkuu endelea na mambo ingine maana huku kuna kupata na kupoteza pia...kama hujajiandaa kupoteza tafadhali usiingie...na cha muhimu zaidi usiingize pesa ambayo you can't afford to lose..yaani usije ukaanza trade na pesa ya MKOPO au pesa ambayo ikipotea itafanya ushindwe kuendesha maisha yako ya kawaida.
Okay dats great nimeelewa, sasa kwa mm ninaetaka kuwa mmoja wenu,ninahitaji kuwa na kiasi gani cha pesa km kianziao? Pia hii forex ni program au application na kwa njia ipi? Naweza kuwa nayo kwenye cmu yangu

iPhone 6s
 
Mkuu wangu soma Uzi kwa Makini uuelewe...kisha soma comments Zote ikiwezekana...katika kusoma huko utaelewa nn cha Kufanya wala hutauliza haya maswai uliyouliza...kama huwezi kusoma Uzi na kuuelewa pamoja na kupitia comments Zote za Uzi huu kwani ndo kuna majibu ya maswali uliyouliza....

Mkuu naomba tu nikushauri forex is not for you...endelea na shughuli unayofanya....achana na hii kitu Kabisa..yaani achana nayo.
Huko kukatishana tamaa haya ni maisha mzee, ushirikiano ndo kikubwa kweny maisha hakuna anaejua kila kitu duniani, siwezi Kusoma comments 500 kwa kila mtu ana maoni yake kuna anae criticize Pia
Ww km umejitolea kuelimisha elezea sio unaponda Ndugu

Amekujibu hivyo coz iki uimaster vziur forex lazma usome sana vitabu.. So kwa kuanzia ndio kakushauri upitie huu uzi wote utoe tongotongo then utaona kuna vitabu vilivokua recommended so unaweza kuendelea wakati tukisubir darasa la ontario

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba tu nikushauri forex is not for you...endelea na shughuli unayofanya....achana na hii kitu Kabisa..yaani achana nayo.
Habari yako mkuu!!

With all due respect ... naona kama hujamfanyia fair muuliza swali!!

Mimi nadhani humu wengi wetu tunajifunza, sasa kwa maneno makali kama haya unadhani kama jamaa alikua na nia ya kuanza kujifunza ataendelea kweli?? Kumbuka hata wewe kuna kipindi ulikua hujui kama yeye, je na wewe watu wangekujibu kama ulivyomjibu jamaa ungefika hapo??

Kumwambia forex is not for you ni kama umem-judge kitu ambacho kwa namna moja au nyingine sio cha kiprofeshno na ni cha kumvunja moyo!! Huoni kama utakua umempoteza George Soros wa kesho?

Katika safari ya forex kuna kipindi itafika utakua mentor wa wengine, je kwa comment kama hizo utaweza kuwajenga forex traders wapya kweli mkuu?

Anyways kwa nnavyoona wewe ndiye "forex is not for you" maana kwa tunavyojua moja kati ya sababu za ku-win katika forex ni kuwa fit psychologically, sasa ndugu yangu kwa comment yako huoni kama umefeli katika aspect ya psychology??

Nadhani ni vyema tuka fika mahali tukabadilika, na kidogo tulicho nacho tusaidie wenzetu ili nao wafike tulipo!!

Sorry kama nitakua nimekukwaza, ni katika harakati kujengana!!

Tuko pamoja!!
 
Okay dats great nimeelewa, sasa kwa mm ninaetaka kuwa mmoja wenu,ninahitaji kuwa na kiasi gani cha pesa km kianziao?

iPhone 6s

Mkuu!

Kiwango cha pesa inategemea broker na broker, wengine wanahitaji minimum 5USD, wengine 30usd wengine 50usd mpaka 100usd na zaidi!!

Lakini, Kabla hujaanza kuwaza kiwango cha fedha nakushauri atleast upitie vitabu ili uwe na basics za forex trading, hata sio ngumu kuielewa kama utaweza nia na juhudi!!

Pia hii forex ni program au application na kwa njia ipi? Naweza kuwa nayo kwenye cmu yangu

Okey, japo kwenye forex tunatumia applications kutrade ila forex sio program wala application, forex ni biashara kama biashara nyingine mfano mtu anaposema biashara ya magari au biashara ya nyanya and the alike.... sasa forex kwa lugha nyepesi ni biashara ya fedha za kigeni. Yaani unauza na kununua fedha za kigeni kama euro, pound, dola ili kupata faida (sometimes kuna hasara pia)!!

Biashara ya forex unaweza kuifanyia kwenye simu au kompyuta baada ya kujisajili kwa broker!!

Once again, usikimbilie kuweka pesa, jitahidi utafute vitabu viko humu (ukikosa sema upewe) download uanze kusoma taratibu!!ukisoma kama wiki moja utakua umepata mwanga kuhusu forex trade!! nenda youtube andika "forex trade" angalia videos pia zitakupa mwanga kuhusu forex!!

Kila la heri na karibu sana mkuu!!
 
Amekujibu hivyo coz iki uimaster vziur forex lazma usome sana vitabu..

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Kiuhalisa sijaona kama kuna uhusiano wa jibu lake na kumwambia mtu asome vitabu ili aijue forex!

So kwa kuanzia ndio kakushauri upitie huu uzi wote utoe tongotongo then utaona kuna vitabu vilivokua recommended so unaweza kuendelea wakati tukisubir darasa la ontario

Kwenye uzi wote huu kuna koments/posts zaidi ya 5000 je anaweza soma zote? okey tu assume anaweza, nadhani kama ungempa vitabu akatumia muda wa kusoma koments (zikiwemo za mberoya na wenzake) kwenye kusoma vitabu huoni kama angefika mbali?

Kusoma uzi wote inaweza kuwa ni vyema ila nadhani kuwa wakarimu kwa wageni wa forex ni muhimu/vyema zaidi!!

Pamoja mkuu!!
 
Habari yako mkuu!!

With all due respect ... naona kama hujamfanyia fair muuliza swali!!

Mimi nadhani humu wengi wetu tunajifunza, sasa kwa maneno makali kama haya unadhani kama jamaa alikua na nia ya kuanza kujifunza ataendelea kweli?? Kumbuka hata wewe kuna kipindi ulikua hujui kama yeye, je na wewe watu wangekujibu kama ulivyomjibu jamaa ungefika hapo??

Kumwambia forex is not for you ni kama umem-judge kitu ambacho kwa namna moja au nyingine sio cha kiprofeshno na ni cha kumvunja moyo!! Huoni kama utakua umempoteza George Soros wa kesho?

Katika safari ya forex kuna kipindi itafika utakua mentor wa wengine, je kwa comment kama hizo utaweza kuwajenga forex traders wapya kweli mkuu?

Anyways kwa nnavyoona wewe ndiye "forex is not for you" maana kwa tunavyojua moja kati ya sababu za ku-win katika forex ni kuwa fit psychologically, sasa ndugu yangu kwa comment yako huoni kama umefeli katika aspect ya psychology??

Nadhani ni vyema tuka fika mahali tukabadilika, na kidogo tulicho nacho tusaidie wenzetu ili nao wafike tulipo!!

Sorry kama nitakua nimekukwaza, ni katika harakati kujengana!!

Tuko pamoja!!
Mkuu! Ahsante safi
Watu km ww mnahitajika kujenga taifa letu

iPhone 6s
 
Mkuu!

Kiwango cha pesa inategemea broker na broker, wengine wanahitaji minimum 5USD, wengine 30usd wengine 50usd mpaka 100usd na zaidi!!

Lakini, Kabla hujaanza kuwaza kiwango cha fedha nakushauri atleast upitie vitabu ili uwe na basics za forex trading, hata sio ngumu kuielewa kama utaweza nia na juhudi!!

Okey, japo kwenye forex tunatumia applications kutrade ila forex sio program wala application, forex ni biashara kama biashara nyingine mfano mtu anaposema biashara ya magari au biashara ya nyanya and the alike.... sasa forex kwa lugha nyepesi ni biashara ya fedha za kigeni. Yaani unauza na kununua fedha za kigeni kama euro, pound, dola ili kupata faida (sometimes kuna hasara pia)!!

Biashara ya forex unaweza kuifanyia kwenye simu au kompyuta baada ya kujisajili kwa broker!!

Once again, usikimbilie kuweka pesa, jitahidi utafute vitabu viko humu (ukikosa sema upewe) download uanze kusoma taratibu!!ukisoma kama wiki moja utakua umepata mwanga kuhusu forex trade!! nenda youtube andika "forex trade" angalia videos pia zitakupa mwanga kuhusu forex!!

Kila la heri na karibu sana mkuu!!
Ahsante Mkuu! Ubarikiwe Sana

iPhone 6s
 
Habari yako mkuu!!

With all due respect ... naona kama hujamfanyia fair muuliza swali!!

Mimi nadhani humu wengi wetu tunajifunza, sasa kwa maneno makali kama haya unadhani kama jamaa alikua na nia ya kuanza kujifunza ataendelea kweli?? Kumbuka hata wewe kuna kipindi ulikua hujui kama yeye, je na wewe watu wangekujibu kama ulivyomjibu jamaa ungefika hapo??

Kumwambia forex is not for you ni kama umem-judge kitu ambacho kwa namna moja au nyingine sio cha kiprofeshno na ni cha kumvunja moyo!! Huoni kama utakua umempoteza George Soros wa kesho?

Katika safari ya forex kuna kipindi itafika utakua mentor wa wengine, je kwa comment kama hizo utaweza kuwajenga forex traders wapya kweli mkuu?

Anyways kwa nnavyoona wewe ndiye "forex is not for you" maana kwa tunavyojua moja kati ya sababu za ku-win katika forex ni kuwa fit psychologically, sasa ndugu yangu kwa comment yako huoni kama umefeli katika aspect ya psychology??

Nadhani ni vyema tuka fika mahali tukabadilika, na kidogo tulicho nacho tusaidie wenzetu ili nao wafike tulipo!!

Sorry kama nitakua nimekukwaza, ni katika harakati kujengana!!

Tuko pamoja!!

Mkuu wala hujanikwaza Kabisa ila inawezekana hukunielewa nilipomwambia jamaa forex is not for you.

Nimemwambie hvo sababu kama kweli kasema thread vizuri na kuielewa sidhani kama angeuliza maswali kama aliyouliza. Zaidi ya yote nimemwambia apitie Uzi vzuri auelewe na ikiwezekana asome comments zote na majibu ya masawali yake atayapata huko....nilimaanisha kama anaona uvivu kusoma Uzi kwa utulivu na kuuelewa na baada ya hapo kupitia comments Zote basi sidhani kama ataweza kuwa na moyo wa kusoma mavitabu pendekezwa...ndo maana nikasema hvo mkuu wangu.

Mentor Wetu ontario alishawai kusema huku kama mtu unashindwa kusoma Uzi wote na kupitia comments Zote Je unaweza kusoma forex bible yenye pages zaidi ya mia tano.???

Mkuu mm bado ni Mwanafunzi wala sijakomaa kiasi hicho na si mchoyo Kabisa...nimeshawashirikisha watu kibao kwenye hii ishu ingaweje wengine wananiambia utapeli nataka kuwatapeli naamua kuachana nao.

Ila tuache kudekeana hamna hii mkuu wangua...hata watoto wako ukiwa unawatafunia kila kitu wakija kuwa watu wazima watashindwa kuendesha maisha yao kama wao...

Uzi wa Ontario ummeleza vzuri Kabisa na nilivyomsoma huyu bwana Elimu yake sio ya kiwango cha kushinda kuielewa Uzi sema inawezekana alisoma kwa pupa...ndo maana nikamwambia asome tena Uzi kwa Makini auelewe..

Sasa mkuu unadhani ningekuwa nimefaulu kwenye aspect ya psychology endapo ningemwambia mkuu hapo kuwa anachitakiwa ni kudownload MT4 kwa simu yake au PC...then atafute broker adeposit $1000 and bla bla bla bla..... kisha aanze kutrade wakati anauliza kama forex ni program au app??....Kama ndo kufeli kwa kumweleza asome aelewe basi acha niwe nimefeli mkuu wangu...kwa hilo utanisamehe ila sikuwa na njia nyingine ya kumsaidia zaidi ya kumwambia asome asome asome...hata vitabu vinatuhasa hivyo.

Mkuu tuko pamoja sana sema tu labda tafsiri ya nilichokiandika ndo imekuwa shida...ngoja nidelete hyo comments maana inaweza ikawakwaza wengine pia..

Pamoja sana mkuu.
 
Huko kukatishana tamaa haya ni maisha mzee, ushirikiano ndo kikubwa kweny maisha hakuna anaejua kila kitu duniani, siwezi Kusoma comments 500 kwa kila mtu ana maoni yake kuna anae criticize Pia
Ww km umejitolea kuelimisha elezea sio unaponda Ndugu

iPhone 6s

Sijakukatisha tamaa mkuu wangu sema tafsiri ndio imekuwa shida...nikichomaanisha ni kwamba kama unashindwa kusoma Uzi kwa Makini na kuuelewa unaweza kweli kusoma mabitabu zaidi ya matano kwa kuanzia ili uelewe forex trade ni nn..

Mkuu wangu usipende sana kutafuniwa kila kitu wakati mwingine kukomaa wewe kama wewe itakuwa vzuri zaidi.

Kama kweli ulisoma Uzi kwa Makini sidhani kama ungeweza kuuliza kama forex ni program au app sidhani...inaelekea ulisoma Uzi kwa pupa ndo maana nikakushauri usome tena kwa Makini na utulivu.

Naomba nikushauri mkuu wangu hzo comments unaona ni nyingi sana ila ukiweza kusisoma zitakupa maujanja vibaya mno kwenye hii ishu...niamini kwa hilo...kwa mfano ontario amekuwa anaupdate Kuhusu maendeleo Kuhusu hii ishu Mara kwa mara ..sasa kama usiposoma comments kuna vtu utakosa mkuu..we soma zile unazoona hazina maana achana nazo zile unazoona zina maana na zinaweza kukusaidia unaweza hata zikopi na kuzitunza sehemu ambayo ukiziitaji kama reference utazipata kwa urahisi.

Zaidi ya yote naomba unisamehe mkuu wangu kama umenielewa vibaya ila ilikuwa ni katika kukufanya uwe ngangari uache uvivu wa kusoma mkuu wangu....samahani sana.

Mkuu ONTARIO alishatuambia tuache kudeka...sasa na nn nimeona nikufanye uache kudeka ila tafsiri imekuwa shida.

Nisamehe mkuu.
 
Guyz, I need training into the forex thing as soon as possible. Anyone I should consult?
Nawasilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom