Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ndugu zangu mlikofika hadi nawaonea wivu...... mimi wakati naiona hii thread shule ilikua imenikaba koo
Hata sisi tulipokua tunaanza tulikua tunawaone wivu akina bavaria na ontario, ila hatukuishia tu kwenye kuona wivu, tulienda mbele zaidi na kuanza kujifunza wenyewe taratibu kupitia vitabu!!

Hujachelewa anza kusoma...
 
Hata sisi tulipokua tunaanza tulikua tunawaone wivu akina bavaria na ontario, ila hatukuishia tu kwenye kuona wivu, tulienda mbele zaidi na kuanza kujifunza wenyewe taratibu kupitia vitabu!!

Hujachelewa anza kusoma...
nimeshaanza kusoma boss kile kitabu cha Currency trading or dummies.... nimesogea sogea japo hizo technical analysis bado hazijakaa kichwani... hop i will make it maana nina miez miwili ya likizo... na kaka if unaweza kuwa mentor kwangu, i humbly submit my request to you.

na wakati napitia hii thread kurasa baada ya kurasa nimekutana na link ya whatsapp group na nimeshajoin
 
Bora umetoka shule akili bado iko active!!

Kama unatumia PC ongeza na hivi...

 
nitumie namba ya ilo group nijiunge na mimi maana ndo nimeijua tu juzi kati nataka kuingia kwenye hii issue plz
 
Bora umetoka shule akili bado iko active!!

Kama unatumia PC ongeza na hivi...


kaka naomba unitoe tongotongo... inaonekana hii technology ni mpya kwangu... natumia PC ila nimeclick nashangaa havidownload kama nilivyozoea
 
nitumie namba ya ilo group nijiunge na mimi maana ndo nimeijua tu juzi kati nataka kuingia kwenye hii issue plz
nenda page ya 56 kuna link... ingia kwa kutumia simu itakudirect automatically kwenye group. ILA NAHISI LIMESHAJAA maana mi nimekua 254 kati ya 256
 

Aisee currenct trrading for dumies somehow kinaonekana kigumu kwa maana kuna baadhi ya vitu wameongelea juujuu hawajaingia ndani sana.. Ila unaweza kukipaka gease kwa kuchanganya na forex bible. Yaani namaanisha uwe unavizoma vyote kwa pamoja. Muongozo wako uwe CT for dummies, usipoelewa unashika Forex bible same topic/item unasoma utaelewa vizuri.

Then baada ya kumaliza chukua Naked forex, hiki hakijatungwa kwa ajili ya wanaoanza kujifunza, bali kwa waliokwisha jifunza ila wanataka kuongezea knowledge.

Ukimaliza hapo chukua Astro forex, hiki kipo kama summary ya forex bible na CT for dummies. Mpaka hapo utakuwa na mwanga wa hii biashara.

Mimi binafsi ndo njia niliyopitia. Kujifunza.
 
A TRADER IN DARK IS A TRADER IN RED

Another setup for Kangaroo tail already in blues. The kangaroo tail has been formed in both H1 and M30 TF.

I understand that there are economic news around 16:00. Let me waite and see, if it will reverse






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…