Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mwanzo nilikua sielewi jinsi ya kuweka stop loss ila baada ya kupitia astroforex book upande wa pending order nimepata mwanga na pia unaweza kudownload video tutorial kutoka youtube hope utapata mwanga Mwisho nilivyoelewa Stop Loss wakati wa kuuza{sale} unaweka juu na wakati wa kununua{buy} unaweka chini.
 
mkuu hayo yote mimi nayajua ila tatizo sijui kwa sababu natumia cm? nimedownload app moja inaitw FXCM sasa kwa jinsi ilivyo ni tofauti na jinsi navyoona kwenye youtube the way wanavyoweka stoploss kwa kutumia app ya kwenye laptop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Additional US $ 1030 profit this morning with long GBP/USD and AUD/USD options.

The saga continues. Wu-Tang!

Sent from my Kimulimuli
 
Additional US $ 1030 profit this morning with long GBP/USD and AUD/USD options.

The saga continues. Wu-Tang!

Sent from my Kimulimuli
EurUsd short is killing me.
RSI provided false signal.
 
Unatutisha boss

Xmass Boy.
Nawahamasisha wakuu.

Ujue kila mtu akiwa anaongelea biashara ya Forex bila hata mtu mmoja kuonyesha mafanikio yake hapa, itaonekana kama hadithi za ajabu.

Umeona zaidi ya faida ya $500 ya Jumapili jioni nimeongeza $1030 faida mpya Jumatatu asubuhi saa mbili kamili za huku?

Sasa hivi wiki hii kuanzia Jumapili mpaka Jumatatu asubuhi nishapiga faida ya $1530.

Na hapo bado Jumatatu ina masaa kibao ya kuongeza faida zaidi kama nataka kuendeleza libeneke.

Sikutishi mkuu.

Nakupa changamoto.

Sent from my Kimulimuli
 
EurUsd short is killing me.
RSI provided false signal.
The USD is going down. This Hurricane Harvey sealed that at least for the short term.

Why are you shorting EUR/USD?

I made $500 yesterday going long on EUR/USD

I made $1030 today morning going long on GBP/USD and AUD/USD.

That means all these currencies are rising against the USD.

I was reading that even the JPY is rising against USD

Are you reading the analysis even in summary?

Check the advisories at www.investing.com before shorting.

Sent from my Kimulimuli
 


Boss hata kanisani na katika mambo ya kidini watu huimarika zaidi kiroho kotokana na ushuhuda. So stuffs like yours are highly needed in this battle. Keep em popping
 

Mimi nipo na position ya gold hapa nimeinunua leo asubuhi, so far naona blue hapa. Now naona price inatrend around 1299.
 
Ila Al-watan hayo mambo yako ya NADEX yanahitaji moyo. Hahahaahaaaa. Na inaonekana unaweka lot size ya kufa mtu.
 
Hamasa nzuri hizi twashukuru.hizi umetengeneza kwa mtaji wa kiasi gani?your trading account

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kweli hii ni changamoto mkuu maana within friday and monday only you have made this amount in tsh .... I am over motivated for sure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishort ijumaa,
Ilikua overbought na RSI iligonga 70
Nikaona inaleta downtrend.
Kisha nikasell but its going down now.
 
Ila Al-watan hayo mambo yako ya NADEX yanahitaji moyo. Hahahaahaaaa. Na inaonekana unaweka lot size ya kufa mtu.
Ni timing tu. Ukifanya homework yako ukajua nini kinapanda na nini kinashuka na probability ya kipi kuwa juu ya bei gani kwa nuda gani, unaweza kuingia safely na $1,600 at $66 ukatoka na $2,400.

Thats a quick $800 risking $1,600 in a rising position.

Now, I must admit, I have had to reverse positions/ employ stop loss measures a few times, but after a few times one develops a sense of when to get in and out.

Hii kitu ikikubali raha sana. Unaona portfolio inapanda consistently.

Tatizo ukianza kunyolewa sasa.



Sent from my Kimulimuli
 
Those RSI & MACD Co stuffs are not reliable . They should be combined with Price action stuff to get clear picture.
Sure,
But I have been trading RSI for a while with positive results,
Its time to combine it with something else.
 

Pitia vizuri huo ukurasa wa facebook wa Wakenya, kuna demo za kutosha Mkuu. Usinisahau kwenye Ufalme wa Ukwasi wako!!
 
Aisee kweli hii ni changamoto mkuu maana within friday and monday only you have made this amount in tsh ....View attachment 576636 I am over motivated for sure

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks.
Nafikiri unaongelea Sunday na Monday. Za Friday ziko nyuma katika thread hujaziweka nafikiri.

Hesabu yenyewe (hizi ni profit tu kwa siku, kama nilivyopost awali)

Friday$ 3,800
Sunday $500
Monday $1030

Ukitaka kujumlisha kuanzia Friday mpaka sasa hiyoni profit ya US $5,330.

Na leo huku ndiyo kwanza siku inaanza, nataka kupumzika live kidogo niangalie mchezo kwenye demo, kama unavutia narudi live.

Risk Management ni muhimu sana. The most vulnerable time is when you are winning, because it is very easy to feel like you know it all and you are invincible.

You are not. The market is an indomitable animal. One can only strategize to minimize risk, not eliminate it.

Sent from my Kimulimuli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…