KIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,370
- 1,511
Teh teh usiogope Mkuu ata mbuyu ulianza kama mchicha tutafika tu mdogomdogo.Unatutisha boss
Xmass Boy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh usiogope Mkuu ata mbuyu ulianza kama mchicha tutafika tu mdogomdogo.Unatutisha boss
Xmass Boy.
Mwanzo nilikua sielewi jinsi ya kuweka stop loss ila baada ya kupitia astroforex book upande wa pending order nimepata mwanga na pia unaweza kudownload video tutorial kutoka youtube hope utapata mwanga Mwisho nilivyoelewa Stop Loss wakati wa kuuza{sale} unaweka juu na wakati wa kununua{buy} unaweka chini.wakuu kwa mtu aliepo mwanza au musoma nahitaji msaada wa hii kitu nimesoma vitabu vizuri na ninajua abc za forex lakini nashindwa kuitumia demo account kufanya trading yaani jinsi ya ku buy and sell, na jinsi ya kuweka stop loss, leverage nk japo hivi vitu nimevisoma theotetically so naombeni msaada wakuu hasa kama kuna mtu anakaa musoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
thanks ngoja nifanye hivyoMkuu nakushauri download MT4 user guide itakusaidia sana...
mkuu hayo yote mimi nayajua ila tatizo sijui kwa sababu natumia cm? nimedownload app moja inaitw FXCM sasa kwa jinsi ilivyo ni tofauti na jinsi navyoona kwenye youtube the way wanavyoweka stoploss kwa kutumia app ya kwenye laptopMwanzo nilikua sielewi jinsi ya kuweka stop loss ila baada ya kupitia astroforex book upande wa pending order nimepata mwanga na pia unaweza kudownload video tutorial kutoka youtube hope utapata mwanga Mwisho nilivyoelewa Stop Loss wakati wa kuuza{sale} unaweka juu na wakati wa kununua{buy} unaweka chini.
EurUsd short is killing me.Additional US $ 1030 profit this morning with long GBP/USD and AUD/USD options.
The saga continues. Wu-Tang!
Sent from my Kimulimuli
Nawahamasisha wakuu.Unatutisha boss
Xmass Boy.
EurUsd short is killing me.
RSI provided false signal.
The USD is going down. This Hurricane Harvey sealed that at least for the short term.EurUsd short is killing me.
RSI provided false signal.
Nawahamasisha wakuu.
Ujue kila mtu akiwa anaongelea biashara ya Forex bila hata mtu mmoja kuonyesha mafanikio yake hapa, itaonekana kama hadithi za ajabu.
Umeona zaidi ya faida ya $500 ya Jumapili jioni nimeongeza $1030 faida mpya Jumatatu asubuhi saa mbili kamili za huku?
Sasa hivi wiki hii kuanzia Jumapili mpaka Jumatatu asubuhi nishapiga faida ya $1530.
Na hapo bado Jumatatu ina masaa kibao ya kuongeza faida zaidi kama nataka kuendeleza libeneke.
Sikutishi mkuu.
Nakupa changamoto.
Sent from my Kimulimuli
The USD is going down. This Hurricane Harvey sealed that at least for the short term.
Why are you shorting EUR/USD?
I made $500 yesterday going long on EUR/USD
I made $1030 today morning going long on GBP/USD and AUD/USD.
That means all these currencues are rising against the USD.
Are you reading the analysis even in summary?
Check the advisories at www.investing.com before shorting.
Sent from my Kimulimuli
Hamasa nzuri hizi twashukuru.hizi umetengeneza kwa mtaji wa kiasi gani?your trading accountThe USD is going down. This Hurricane Harvey sealed that at least for the short term.
Why are you shorting EUR/USD?
I made $500 yesterday going long on EUR/USD
I made $1030 today morning going long on GBP/USD and AUD/USD.
That means all these currencies are rising against the USD.
I was reading that even the JPY is rising against USD
Are you reading the analysis even in summary?
Check the advisories at www.investing.com before shorting.
Sent from my Kimulimuli
Aisee kweli hii ni changamoto mkuu maana within friday and monday only you have made this amount in tsh ....Nawahamasisha wakuu.
Ujue kila mtu akiwa anaongelea biashara ya Forex bila hata mtu mmoja kuonyesha mafanikio yake hapa, itaonekana kama hadithi za ajabu.
Umeona zaidi ya faida ya $500 ya Jumapili jioni nimeongeza $1030 faida mpya Jumatatu asubuhi saa mbili kamili za huku?
Sasa hivi wiki hii kuanzia Jumapili mpaka Jumatatu asubuhi nishapiga faida ya $1530.
Na hapo bado Jumatatu ina masaa kibao ya kuongeza faida zaidi kama nataka kuendeleza libeneke.
Sikutishi mkuu.
Nakupa changamoto.
Sent from my Kimulimuli
Nilishort ijumaa,The USD is going down. This Hurricane Harvey sealed that at least for the short term.
Why are you shorting EUR/USD?
I made $500 yesterday going long on EUR/USD
I made $1030 today morning going long on GBP/USD and AUD/USD.
That means all these currencies are rising against the USD.
I was reading that even the JPY is rising against USD
Are you reading the analysis even in summary?
Check the advisories at www.investing.com before shorting.
Sent from my Kimulimuli
Ni timing tu. Ukifanya homework yako ukajua nini kinapanda na nini kinashuka na probability ya kipi kuwa juu ya bei gani kwa nuda gani, unaweza kuingia safely na $1,600 at $66 ukatoka na $2,400.Ila Al-watan hayo mambo yako ya NADEX yanahitaji moyo. Hahahaahaaaa. Na inaonekana unaweka lot size ya kufa mtu.
Sure,Those RSI & MACD Co stuffs are not reliable . They should be combined with Price action stuff to get clear picture.
wakuu kwa mtu aliepo mwanza au musoma nahitaji msaada wa hii kitu nimesoma vitabu vizuri na ninajua abc za forex lakini nashindwa kuitumia demo account kufanya trading yaani jinsi ya ku buy and sell, na jinsi ya kuweka stop loss, leverage nk japo hivi vitu nimevisoma theotetically so naombeni msaada wakuu hasa kama kuna mtu anakaa musoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure,
But I have been trading RSI for a while with positive results,
Its time to combine it with something else.
Thanks.Aisee kweli hii ni changamoto mkuu maana within friday and monday only you have made this amount in tsh ....View attachment 576636 I am over motivated for sure
Sent using Jamii Forums mobile app