Kama huna uwezo wa kusoma analysis ujue kwa mfano katika muda fulani bei ya hela fulani utakuwa wapi, huwezi kufanya binary. Kwa sababu binary ina specific time limitation.
Ku deal na Forex per se huna time limitation kwa hiyo ni nzuri kwa watu ambao hawataki ku deal na headache za time limit.
Binary unalipa zaidi though. The risk are higher due to the time limitation therefire the rewards are higher too.
Nikishatoa lunk moja nzuri sana inaelezea kifupu tofauti vizuri zaidi yangu.
Ngoja niutafute tena.
Sent from my Kimulimuli
Bro itabidi uwe wanipa signals... Lakn wakat huo huo ukinifunza mengi, in fact, yote unayojua kuhusu analysis,mana if I remember correctly, this is the second time you use a triangle, and score....Mkuu, nakupa mrejesho kama ulivyoomba. In fact, NZDJPY went further south, respecting my call. Check it out
Mimi bado mwanafunzi kaka. Tusubiri darasa la Ontario then tu-team kuelekezana. Ninachofanya ni kutumia yale niliyojifunza tayari.Will use them over and over again until I'm comfortable before moving to next strategyBro itabidi uwe wanipa signals... Lakn wakat huo huo ukinifunza mengi, in fact, yote unayojua kuhusu analysis,mana if I remember correctly, this is the second time you use a triangle, and score....
Will you? Please?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro itabidi uwe wanipa signals... Lakn wakat huo huo ukinifunza mengi, in fact, yote unayojua kuhusu analysis,mana if I remember correctly, this is the second time you use a triangle, and score....
Will you? Please?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. adams faida
asante kwa ufafanuz
Ndio jibu lililopaswa kuwepo hapa.
At first nilidhan labda anaishi bongo, trading na jumapili mmh tango pori kabisa
anyway, katika mjadala wetu nadhan kuna kitu kilikosekana na ndio umekileta,
NISEME TU NIMEELEWA VIZURI TU
Nilimwambia nitatengua kaul akitoa ufafanuz wa kuelewaka kama hivi, kwann kule waweze fanya hvyo na sio huku kwetu, matokeo yake n mbilinge moja hatari sana [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwakua lengo lilikua n kupata ufafanuz, na ufafanuz umepatikana
MR Al Watan, Natengua kauli yangu ya awali kuhusu mtazamo wangu juu yako, kwa maelezo haya kuna uwezekano ni kweli unafanya hvyo jumapil jion kama ulivyodai, tuishi kwa aman
Ila tu, iwe kweli upo huko North America sio North mara
Lipi hilo mkuu, fananua kidgoVizuri mmetafuta suluhu, ila hiyo statement yako ya mwisho inaonesha kuwa kuna jambo hujalielewa.
Nimfunze time zones? Whats next? Nimfunze spelling na kuchamba akimaliza kunya?
Sikiliza wewe.
Kuna wanaotaka kufundishwa na wanaotaka uzushi.
Na usinifanye mimi mjinga sijui tofauti.
Ushanielewa?
Tafadhali sana naomba uniheshimu na usije na judgement zako nimekosea kumsema maaluni huyu mwenye ugonjwa wa akili wa "oppositional defiance disorder".
Mimi naheshimiana na watu sana hapa.
Lakini akija mtu maaluni akitaka kuniletea umaaluni atajua Al-Watan mtoto wa Kariakoo haswaaa.
Nina mizizi tangu misheni kota mpaka Mchikichini.
Akitaka uungwana atakutana nao tele, akitaka matusi na kejeli pia kwelea kwele.
Kwa nini unampa nafasi sawa maaluni huyu ambaye kanizushia uongo halafu kakataa hata kuniomba radhi hapa?
Sent from my Kimulimuli
Mkuu nimepata encourage uliposema hii kitu umejifunza mwenyewe kwa kukesha demo na kusoma vitabu.kuna mazingira yananizuia kukutana na mentor,bado najisomea vitabu,kama ulijisomea na ukaweza bila shaka nitaweza piaHawa vinyamkela wengine kwani unafikiri wanabisha facts basi?
Wanabisha kwa roho ya korosho tu, yani wakisikia Al-Watan kapiga dola elfu kadhaa katika siku moja huku kakaa anakunywa juisi na kuangalia TV Jumapili jioni wao roho inawauma saaana.
Wanakuwa hawapendi kusikia hivyo.
Wanazusha ume copy paste kutoka Ast, unawaambia nipe link nime copy paste wapi, wananywea.
Wengine wanakuwa hawaamini, wanaomba screenshot, na mwanao Al-Watan alivyo walii hata kukataa hajui, unataka screenshot, hiyo hapo, nimewapa.
Sasa sijui watakuja na nini.
Hii roho ya wivu wa kijinga ni mbaya sana, mtu akionyesha njia na kuwaambia wengine jamani nimepiga hapa maelfu haya ya dola, huyo ni wa kuona anawatakia wenzake mema, badala ya kumuuliza umepigaje, tuonyeshe na sisi tupige, watu wanamuwekea roho ya kijicho na kumuita tapeli.
Ndiyo maana watu wengine wanaamua kufanya mambo yao kimyakimya.
Mi nikipiga dollar zangu bila mlavumbi kujua nitapungukiwa nini?
Kichwa changu nakiamini hakuna semina niliyoenda wala kufundishwa na mtu nimekomaa mwenyewe kwenye demo na vitabu na kusoma news.
Huyo mlavumbi akikataa wakati hela zipo katika akaunti yangu nitapungukiwa nini?
Tatizo sitaki upotoshaji tu hapa kusema hamna trading Jumapili.
Kama kijijini kwao nyumba hazina taa za umeme basi asifikiri dunia nzima ndiyo iko hivyo.
Its true. Ndo mana nkasema anipe signals, AND ANITRAIN IN EVERYTHING HE KNOWS... Trust me, kati ya wabishi nami nimo, na cwez kuiacha hii maana ndo njia pekee naona inaonyesha matumaini...Mkuu....sorry ila naona unataka kukata tamaa mapema....subiri kwanza upate training hapo ndo utaamua kujitegemea au kununua/kuomba signal...ni mapema mno kufanya uamuzi huo....trust me ni wachache wameimaster hii kitu....wengi ni just trial and errors.....ina maana hakuna muda soko linatunyoa iwe demo au real????mbona hatuweki screenshort za kunyolewa hapa.....mkuu usikubali kurushwa roho kirahisirahisi hvyo..
Nakumbuka Singo juzi kati alitupia kitu mambo yameenda ndivyo sivyo...ila nilikuwa nimemtumia kitu angekubaliana nacho mambo yasiingeenda kama yalivyoenda..na nakumbuka alisema atakomaa mpaka kitu kiwe blue ila mkuu Al-Watan akamshauri kuwa inaweza mambo yakaenda tofauti na alivyowaza na kweli ndio imetokea hvo maana USD imeendelea kuporomoka zaidi na zaidi.
Komaa mkuu sikukatazi kuyafuta msaada najua watu tuna uelewa tofauti kuna wengine wanakamata haraka wengine ndo hvo tena...ila ni mapema sana kukata tamaa mkuu wangu.
Relative strength Index ,
Uzi umeuona leo kwa mara ya kwanza???P
Like it and I'm ready to sacrifice any resource I have. So, how can I joing the training brother?
Mambo yaliniendea vibaya sana, najifunza kwa makosa, nikiingia real acc nitakuwa na acc mbili, moja nategemea signals za mentors,nyingine naweka hela ndogo ambayo nitatumia analysis yanguMkuu....sorry ila naona unataka kukata tamaa mapema....subiri kwanza upate training hapo ndo utaamua kujitegemea au kununua/kuomba signal...ni mapema mno kufanya uamuzi huo....trust me ni wachache wameimaster hii kitu....wengi ni just trial and errors.....ina maana hakuna muda soko linatunyoa iwe demo au real????mbona hatuweki screenshort za kunyolewa hapa.....mkuu usikubali kurushwa roho kirahisirahisi hvyo..
Nakumbuka Singo juzi kati alitupia kitu mambo yameenda ndivyo sivyo...ila nilikuwa nimemtumia kitu angekubaliana nacho mambo yasiingeenda kama yalivyoenda..na nakumbuka alisema atakomaa mpaka kitu kiwe blue ila mkuu Al-Watan akamshauri kuwa inaweza mambo yakaenda tofauti na alivyowaza na kweli ndio imetokea hvo maana USD imeendelea kuporomoka zaidi na zaidi.
Komaa mkuu sikukatazi kuyafuta msaada najua watu tuna uelewa tofauti kuna wengine wanakamata haraka wengine ndo hvo tena...ila ni mapema sana kukata tamaa mkuu wangu.
Me mwenyewe nilijiuliza kwanini JPY ipande wakati yenyewe ndo ipo kwenye matatizo.. ila kidogo hapo umenifungua.Habari za mda huu wadau??
Nadhani wote tunajua kinachoendelea huko kwa wenzetu hasa kati ya N.Korea na Japan!! Jana N.Korea alivurumisha kombora juu ya anga la Japan na kutua kwenye bahari jiran kabisa na pwani ya japan!! Kwa kifupi kuna hali tetea huko mashariki ya mbali!!
Anyways, kama ukiangalia baada ya N.Korea kutangaza kurusha kombora, Yen ilianza kupanda nabaada ya kurusha kombora Yen ikapanda maradufu, nadhani USDJPY ilitoka 109 mpaka 108 within very short period of time!! kilichonishangaza kwanini Yen ipande badala ya kushuka hasa ukizingatia Japan ndio ilikua kwenye hali ya kushambuliwa??
Katika pita pita zangu kwenye huu uzi na kwenye sites nyingine, Yen inajulikana kama "Safe haven" na mara nyingi inakua kimbilio la wawekezaji kipindi cha machafuko! Baada ya kugundua hili sikushangaa what happened yesterday!!
EURUSD ime-hit 1.2 na bado inaelekea north!!
Mpaka sasa naona dola ya Marekani inafanya vibaya. Nangoja reaction ya USA, China na Urusi kuhusu tukio la jana....