Mimi mwenyewe sikumwelewa kabisa. Anacho launch ni nini?
Ilipaswa kabisa kutoa maelekezo yote kwenye huu uzi hapa watu tuelewe namna ya kujisajili online tuweke pesa tuanze biashara.
Mimi mwenyewe hayo masuala ya training yamenikatisha tamaa kabisa
Mtaji wenyewe tabu, pesa ya nauli ya hadi dsm plus ya training si nabaki mweupe kabisa.
Cha msingi mwaga kila kitu hapa ili tukajifunzie huko huko online..
Otherwise, nitaendelea kubeti kwa mhindi
Hapo ndipo utakapokosea..
Mimi ckuwa namchallenge kwamba haeleweki, ukisoma vizuri nlichoandika utagundua kitu.
Changamoto yangu, co mtaji wala nauli, changamoto nlyotaja ni BROKERS.
kuna watu kupitia uzi huu tayari wanapga hela ndefu, na bahat nzuri kuna mabroker wengne minimum amount ya deposit ni mpaka $50 na wengne $25, na kuna wengne wanakupa hadi mtaji kabisa, so kwangu mtaji co ishu.
Ishu nloiongelea ni kwamba akilaunch school, watu tukapiga kitabu, itakuwaje upande wa mabroker?
Kumbuka kuwa mabroker wengi ni wa nje, na weng ni nje ya Africa though huenda wana presentatives wao.
Sasa wana utaratibu wao wa kudeposit na kuwithdraw pesa ambao kibongobongo una hatua ndefu sana, ni tofauti na kama tungekuwa na broker hapahapa tz, au akawepo presentative wa broker hapa tz, ingekuwa rahis kuweka na kutoa pesa, mana ungekuwepo utaratibu ulio customized kwa mazingira ya tz.
Hilo ndilo wazo langu, na nkauliza analionaje yeye? Training bro co lazma uende leo, mana hapa tu kwenye uzi ni training tosha, kama utajibiidisha kusoma na kufanya demo kila cku.... Labda kama ile elimu ya chuo ya kujitafutia materials na kusoma bila kusimamiwa kwako ni ngumu, hapo kweli utafeli.
Nimebet sana bro, lakini tangu nimeanza hii kitu, nimeapa kuwa ctobet tena, sbb nlikaa na kuwaza pesa napga na napgwa, nimeona ni hasara kiasi gani nimepata...
Ile pesa unabetia, ndio mtaji wako.
Cheers!!
Unajua mpaka now cjaelewa, nipo hapa lakn cjajua hasa dhumuni.
Unalaunch school pekee, ambako tutajifunza, au pia unafanya process za kufungua brokerage company?
Kwa maoni yangu, wengi tutasoma, lakn linapokuja suala la kupata mabroker itakuwa changamoto, hasa kwa suala la replenishing na withdraw katika akaunt.
Have you thought about this?
All in all,
All the best in all your plans.
Stay Blessed and protected!
<> semper fi <>
<> semper fi <>