Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
View attachment 580313
RISK WARNING : LOSSES CAN EXCEED INITIAL INVESTMENT.

Bahati nzuri, kuna mabroker wengne hawanaga negative value katka trading akaunt.. Wengne inapofika crdt inasoma zero, wanaforce stop loss kwa position zote umefungua.

Cjajua wale ambao hawafungi huwa inakuwaje, na jambo umeuliza ni la msingi sana...

Ucje cku kuweka hela kwenye akaunt yako kumbe broker anakudai!

<> semper fi <>
hii biashara inahitaji tuielewe jamani, maana kuna hatari sana, ni mchezo ambao inabidi tuition za kutosha! na tatizo la hii kitu unaweza kujiona umeelewa kumbe hujaelewa, ina changamoto sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 580313
RISK WARNING : LOSSES CAN EXCEED INITIAL INVESTMENT.

Bahati nzuri, kuna mabroker wengne hawanaga negative value katka trading akaunt.. Wengne inapofika crdt inasoma zero, wanaforce stop loss kwa position zote umefungua.

Cjajua wale ambao hawafungi huwa inakuwaje, na jambo umeuliza ni la msingi sana...

Ucje cku kuweka hela kwenye akaunt yako kumbe broker anakudai!

<> semper fi <>
Brokers wa forex karibia wote wanatumia hii ya automatic close position pake ambapo account yako unapoishi hela. Hizi platforms ni software so zipo prgrammed kufanya hivyo just like inavyo execute stop loss, take profit etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leverage: kirahc kbsa ni mkopo unaopewa na broker ili kufanya transactions za kubuy au kusell.

Mf. Una $30 unataka kuzitumia, na unataka kubuy au sell kwa $300. Kikawaida haitoshi. Lakn ukiweka leverage ya 1:10 manake itakuwa ni 30:300, so utaweza kufanya hyo transactions( huu ni mfano tu.)

Leverage huongeza faida, mana kwa mfano wa hapo juu, utapata profit as if una $300 katika akaunt yako, wakat una $30 tu.

[emoji777]KUWA MAKINI!
pamoja na kuongeza faida, leverage huongeza hasara kama market itamove ndivyo sivyo, mana hupandisha thamani ya kila pip... Iwe kwa kuongez au kupunguza!

<> semper fi <>
Shukuran sana kk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata hiyo amount kwenye account yangu ya NADEX. Hizo ni US dollars nilizopata Ijumaa. Alhamisi nilipata about $1000. Kuna ijumaa ya wiki iliyopita nilipata $3,800. Kuna siku nilijipanga na markets zilienda vizuri nikapiga $5,000 kwa siku moja. Ukifuatilia posts zangu za nyuma utaona nimepost nafikiri. So hizi za jana na juzi nimekuwa machale zaidi kwa sababu ya mwenendo wa volatility kama ya EUR/USD alivyoonyesha Rob hapo juu.

Naweza kuzitoa NADEX kuziweka katika bank account yangu, lakini nataka kuzitumia kupiga hela zaidi kwanza kabla ya kuzitoa.

Sent from my Kimulimuli
Mkuu vip tunaweza kuja pm

Al-Watan ongera sana. Husitusahau japo $100 kwa mtaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mpaka now cjaelewa, nipo hapa lakn cjajua hasa dhumuni.
Unalaunch school pekee, ambako tutajifunza, au pia unafanya process za kufungua brokerage company?

Kwa maoni yangu, wengi tutasoma, lakn linapokuja suala la kupata mabroker itakuwa changamoto, hasa kwa suala la replenishing na withdraw katika akaunt.

Have you thought about this?

All in all,
All the best in all your plans.
Stay Blessed and protected!

<> semper fi <>
Mimi mwenyewe sikumwelewa kabisa. Anacho launch ni nini?

Ilipaswa kabisa kutoa maelekezo yote kwenye huu uzi hapa watu tuelewe namna ya kujisajili online tuweke pesa tuanze biashara.

Mimi mwenyewe hayo masuala ya training yamenikatisha tamaa kabisa

Mtaji wenyewe tabu, pesa ya nauli ya hadi dsm plus ya training si nabaki mweupe kabisa.

Cha msingi mwaga kila kitu hapa ili tukajifunzie huko huko online..

Otherwise, nitaendelea kubeti kwa mhindi
 
Hapo ndipo utakapokosea..

Mimi ckuwa namchallenge kwamba haeleweki, ukisoma vizuri nlichoandika utagundua kitu.

Changamoto yangu, co mtaji wala nauli, changamoto nlyotaja ni BROKERS.

kuna watu kupitia uzi huu tayari wanapga hela ndefu, na bahat nzuri kuna mabroker wengne minimum amount ya deposit ni mpaka $50 na wengne $25, na kuna wengne wanakupa hadi mtaji kabisa, so kwangu mtaji co ishu.

Ishu nloiongelea ni kwamba akilaunch school, watu tukapiga kitabu, itakuwaje upande wa mabroker?

Kumbuka kuwa mabroker wengi ni wa nje, na weng ni nje ya Africa though huenda wana presentatives wao.

Sasa wana utaratibu wao wa kudeposit na kuwithdraw pesa ambao kibongobongo una hatua ndefu sana, ni tofauti na kama tungekuwa na broker hapahapa tz, au akawepo presentative wa broker hapa tz, ingekuwa rahis kuweka na kutoa pesa, mana ungekuwepo utaratibu ulio customized kwa mazingira ya tz.

Hilo ndilo wazo langu, na nkauliza analionaje yeye? Training bro co lazma uende leo, mana hapa tu kwenye uzi ni training tosha, kama utajibiidisha kusoma na kufanya demo kila cku.... Labda kama ile elimu ya chuo ya kujitafutia materials na kusoma bila kusimamiwa kwako ni ngumu, hapo kweli utafeli.

Nimebet sana bro, lakini tangu nimeanza hii kitu, nimeapa kuwa ctobet tena, sbb nlikaa na kuwaza pesa napga na napgwa, nimeona ni hasara kiasi gani nimepata...

Ile pesa unabetia, ndio mtaji wako.
Cheers!!

Unajua mpaka now cjaelewa, nipo hapa lakn cjajua hasa dhumuni.
Unalaunch school pekee, ambako tutajifunza, au pia unafanya process za kufungua brokerage company?

Kwa maoni yangu, wengi tutasoma, lakn linapokuja suala la kupata mabroker itakuwa changamoto, hasa kwa suala la replenishing na withdraw katika akaunt.

Have you thought about this?

All in all,
All the best in all your plans.
Stay Blessed and protected!

<> semper fi <>

<> semper fi <>
 
Naomba kwa wale wazoefu watuambie ni broker gani mzuri kati ya hawa
Screenshot_20170902-160501.png
Screenshot_20170902-160436.png
 
This is so magnificient mkuu!! Congratulations!!

Siku zote nimekua nikiiogopa kutrade gold na XAUUSD naona kama zina spreads kubwa sana!!

I will take a look on them next time, for the time being, EURUSD and USDJPY is my comfort zone and I am happy with these two pairs!!

Usiogope spreads, spreads si kubwa kivile. Halafu isitoshe movement ya pips ipo faster sana as yenyewe ipo na only 2 decimal places. Same to indices.
 
Mimi mwenyewe sikumwelewa kabisa. Anacho launch ni nini?

Ilipaswa kabisa kutoa maelekezo yote kwenye huu uzi hapa watu tuelewe namna ya kujisajili online tuweke pesa tuanze biashara.

Mimi mwenyewe hayo masuala ya training yamenikatisha tamaa kabisa

Mtaji wenyewe tabu, pesa ya nauli ya hadi dsm plus ya training si nabaki mweupe kabisa.

Cha msingi mwaga kila kitu hapa ili tukajifunzie huko huko online..

Otherwise, nitaendelea kubeti kwa mhindi
Ukiwa na pupa hii biashara huta iweze kaka tulia iyo pesa unayo sema mtaji ni mdogo then unataka uingie kichwa kichwa utapigwa K.O hiyo hauta sahau...
Ina shauriwa u practice na demo A/C mpka pale utakapo kua fit ndio uanze kucheza na Real A/C haijalisha ni 2/3 months
So be Patient kila kitu kitawekwa sawa na ONTARIO[\b] himself

google Pixel

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom