Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mbona wewe ni mvurugaji hivi?
Au umelewa?
Bwana Quigley, mimi sivurugi wala sijalewa, bali nahoji na kutoa mawazo yangu. Watanzania tukubali opinions za wengineili tuendelee na kusonga mbele.
 
Ninakusoma tu unavyoendelea kuvuruga na kejeli, ilhali ninakufahamu kwa undani kushinda unavyofikiria, kikombe kikijaa utakiona cha moto..endelea tu lkn mimi sio saizi yako.
Wacha wewee. Mimi siyo saizi yako ni nyimbo za taarabu hizo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…