Umesahau prinsipo za ubepari eh labda utampata hila kwa watanzania tulivyo utasubir la msingi jalibu mwenyewe apply ulichokisoma mkuuwakuu kwa mtu aliepo mwanza au musoma nahitaji msaada wa hii kitu nimesoma vitabu vizuri na ninajua abc za forex lakini nashindwa kuitumia demo account kufanya trading yaani jinsi ya ku buy and sell, na jinsi ya kuweka stop loss, leverage nk japo hivi vitu nimevisoma theotetically so naombeni msaada wakuu hasa kama kuna mtu anakaa musoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hao! Eti prinsipo za ubepari? Ama kweli mnachosha![emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesahau prinsipo za ubepari eh labda utampata hila kwa watanzania tulivyo utasubir la msingi jalibu mwenyewe apply ulichokisoma mkuu
Nenda kalale!![emoji23] [emoji23]Umesahau prinsipo za ubepari eh labda utampata hila kwa watanzania tulivyo utasubir la msingi jalibu mwenyewe apply ulichokisoma mkuu
Mkuu VP mbona uliniuzia Pc mbovu..??Ngoja nikalale niwaache mdanganyane. Ukijibishana na mbojo na mimi nitakiwa mbojo. Endelea kuwanga na forex!
Mkuu pole sana kama imeharibika. Kwani haifanyi kazi kabisa? Nikumbushe nilikuuzia kiasi gani?Mkuu VP mbona uliniuzia Pc mbovu..??
Nashukuru sana ndio lenyewe barabara.
Shukrani sana boss
Hehehhehehee Haters mnaanza kugeukana wenyewe kwa wenyeweNyinyi ndiyo tunawatafuta munaofanya ifidhuli mitandaoni. Wewe endelea na uchafu wako wa kujifanya mimi.
Wewe umeamua kujifanya Mberoya siyo? Unajua kwamba hacking is a criminal offence? Mimi ni dume la shako.. wewe badilisha maneno yangu tu...shauri yako!
Ngoja nikalale niwaache mdanganyane. Ukijibishana na mbojo na mimi nitakiwa mbojo. Endelea kuwanga na forex!
Ndugu kwanini uko hivi? Heshimu mambo ya watu wengine tafadhali, mind your own bussiness.Hivi humu wakina forex mpaka sasa mmefika wapi? Mbona stories hazishi! Wadau nani ameshakuwa milionea au japo kutengeneza visenti vya maana atupatie ushuhuda kidogo! Asanteni wana forex!
Huwezi kua millionaire kwa Siku moja,lakini pia ukiingia forex ili ujipatie ummilionare utaumia ,ifanye kama shughuri ya kawaida2 ambayo inabidi uwe unajifunza kila Siku.Hivi humu wakina forex mpaka sasa mmefika wapi? Mbona stories hazishi! Wadau nani ameshakuwa milionea au japo kutengeneza visenti vya maana atupatie ushuhuda kidogo! Asanteni wana forex!
Tunafijifunza...tunajifunza...tunajifunza....warning forex haina utajiri wa haraka haraka kama unavyodhani kabisaHuwezi kua millionaire kwa Siku moja,lakini pia ukiingia forex ili ujipatie ummilionare utaumia ,ifanye kama shughuri ya kawaida2 ambayo inabidi uwe unajifunza kila Siku.
Kama kuna uwezekano naomba unitumie vitabu tafadhali nami nipate pakuanziawote bdo tunajifunza kama upo tayar kusoma vitabu sema tukutumie
huo ndo mwanzo wa kuanza kuijua hii kitu
ce wenyew tulikua hatujui chochote ila baada ya kuanza kusoma vtabu atleast now tunaanza kuelewa huu mchezo
Kama kuna uwezekano naomba unitumie vitabu tafadhali nami nipate pakuanzia
Yes nimepata vitabu nimeanza kuvipitia thanxMkuu Ranyia haujatoa mrejesho