Mngazija_Jr
Member
- Sep 10, 2017
- 48
- 58
Yes nimepata vitabu nimeanza kuvipitia thanx
Ni siku za mapene na ni siku za high risk maana kuoata faida ni kubwa na kupata hasara ndio hivohivo .ni siku za liquid moneySasa mbona j4 na j5 ndio siku za mapene..balaa lilikuepo jana..full mapicha picha
Kwa mtaji wa kiasi gani?Jana kwa real akaunt yangu nlipiga $15.63 nkaacha. Mana daily target nimejiwekea $10
Angalao taget iwe $ 50 per dayJana kwa real akaunt yangu nlipiga $15.63 nkaacha. Mana daily target nimejiwekea $10
Ili iwe $50 mtaji wake vp?Angalao taget iwe $ 50 per day
Mtaji ulikuwa $62Kwa mtaji wa kiasi gani?
Inategemeana na mtaji wako, sbb htakiw kutrade kwa muda mrefu, na pia kutumia leverage kubwaAngalao taget iwe $ 50 per day
$200 ni minimum deposit kwa broker wengi, ila wengne wana minimum deposit ya hadi $50 au $30Hiv ili nianze hii biashara mtaji wang wa chini kabsa ni sh ngapi???
Cc ComplexWakuu nimetrade na tick mill kwa ile bonus ya 30$ sasa nimefikisha 150$ naomba munielekeze namna ya kuwidraw
Kuna mtu kaijibu somewhere....Wakuu nimetrade na tick mill kwa ile bonus ya 30$ sasa nimefikisha 150$ naomba munielekeze namna ya kuwidraw