Ww
Mkuu ww ni developer? tengeneza scripts zako za mql-metatrader ambazo zitafanya hiyo kazi na unaweza ukaziuza. hii ni script ya kufunga orders zote kwa wakati mmoja
https://www.forexfactory.com/attachment.php/1997278?attachmentid=1997278&d=1471429300
Kipo InatKuna kijana tulikua nae humu anaitwa Lodrick Thomas yeye ndio angeweza kukupa mwongozo... Akiwa hewan mtafute na yeye akuongezee ujuzi...
Mind you kwenye forex hamna kitu kama TZS/USD...
ipo Inategemea na brokerKuna kijana tulikua nae humu anaitwa Lodrick Thomas yeye ndio angeweza kukupa mwongozo... Akiwa hewan mtafute na yeye akuongezee ujuzi...
Mind you kwenye forex hamna kitu kama TZS/USD...
Aisee ni broker gani mwenye hiyo pair mkuu wangu? nnavyojua kwa africa iko currency ya south africa pekee... niwekee jina la huyo broker tafadhali!!Kipo Inat
ipo Inategemea na broker
Xm ila mpaka u request atakuwekea hyo pairAisee ni broker gani mwenye hiyo pair mkuu wangu? nnavyojua kwa africa iko currency ya south africa pekee... niwekee jina la huyo broker tafadhali!!
Halafu kitu ambacho hukijui ni kwamba wale wanao sapoti unaweza kuta hawafanyi na wale wana pinga wakaja kufanya.Baada ya kijana mwenzetu ndugu Ontario kuamua kuwasaidia vijana wenzake kuwapa elimu juu ya Forex ili waweze kujikwamua kiuchumi, kumeibuka niseme kama kundi fulani ambalo naona ni organized kabisa ambalo wanapinga juhudi hizi ama harakati hizi za Ontario, labda sababu ya chuki tu ama roho ya husda ama roho za kwanini kwamba vijana wengine waendelee kimaisha.
Watu hawa wanaanzisha na thread kabisa na wengine hutumia hata lugha chafu na za kejeli(mmeshuhudia katika comments mbalimbali) ili tu kuwa dissapoint wale wanaondelea kwa kasi kujiunga kuipata elimu hii adhimu. Wengine wanadiriki hata kuweka na links sjui za kuaminisha ni utapeli lakini hakuna la maana,wengine kutunga stori za watu waliofilisika yote haya ili tu vijana walioamua kuwekekeza muda wao na akili zao kujikwamua kimaisha wanashindwa na waendelee kukaa tu na kuirushia lawama serikali.
Nachoshangaa ni kwamba wao waliofanikiwa wamefanya nini kuwasaidia vijana? Utakuta hamna kitu, hizi ndo roho za baadhi ya watanzania na pengine afrika kwamba inamuuma sana kumuona mwingine either anaamua kujikwamua kiuchumi au anafanikiwa.
Vijana mlioamua kuwekeza nguvu zenu kujikwamua kiuchumi, endeleeni na nguvu hio, achananeni na kelele hizi za hawa wenye husda, wao nina uhakika 80% wengine wanafanya, lakini sasa ile roho ya kwanini inawasumbua sana mana wao wanataka wafanikiwe wao tu. Watu wenye moyo kama wa ndugu Ontario ni wachache sana, mtu alie tayari kuhakikisha maisha ya vijana wengine yanainuka kama ambavyo yeye imemsaidia.
Just imagine mtu anatoa hoja kwamba hawezi kumsifia mwanaume mwenzake, mtu kama huyu tukimuita ignorant ama roho ya husda tutakua tunakosea? Hizi juhudi ilifikia ontario na cabinet yake kuonana na ndugu Max, hivi kweli JF iweke kitu ambacho ni utapeli kweli? Yani matapeli waweze kuonana kweli na uongozi wa JF ? Sidhani na hamna kitu kama hicho.
Nachofurahi ni kwamba watu wanaendelea.kujiunga na hii ni positive vibe kwamba baadhi ya vijana wanaojielewa wanaamka na kuacha lawama kwa serikali, kuamua kubaki maskini ama kufanikiwa kimaisha ni uamuzi wako.
Mods": huu uzi utakua edited, hawa watu tutakua tunawataja kabisa, mana hawana lengo zuri kabisa mana wameanza kutumia mgongo wa ontario vibaya.
Hahaaa mkuu kwani siasa? nimuogope nani?Mtaweweseka sana ndugu zangu hasa wewe Chasha Poutry Farm, tumeona PM zako zote ulizokuwa unawatumia watu lakini kama nilivyowaza mwanzo ni kuwa Mr Ontario kawa tight mpaka kwenye Soko la Kuku na Mayai sasa kwa kupumulia hamna ndiyo maana nanyi mnaamua kumharibia ila muangalie sana hakuna mtu anafurahiya visa vyenu.
Mnabadirisha ID kila wakati sababu ni wivu tu tena wivu wenyewe ungekuwa wa Kiume bali mna wivu wa Kike poleni sana.
TMT Forever ever!!
Naomba ukiona nimecoment yangu wewe ucoment kuni quote. au nitajeMtaweweseka sana ndugu zangu hasa wewe Chasha Poutry Farm, tumeona PM zako zote ulizokuwa unawatumia watu lakini kama nilivyowaza mwanzo ni kuwa Mr Ontario kawa tight mpaka kwenye Soko la Kuku na Mayai sasa kwa kupumulia hamna ndiyo maana nanyi mnaamua kumharibia ila muangalie sana hakuna mtu anafurahiya visa vyenu.
Mnabadirisha ID kila wakati sababu ni wivu tu tena wivu wenyewe ungekuwa wa Kiume bali mna wivu wa Kike poleni sana.
TMT Forever ever!!
unataka kuanzisha brokage company au training centre?wakuu naomba kupata utaratibu wa kufuata pamoja na vibali husika kulingana na sheria za nchi. Nina lengo la kuanzisha hii biashara ya Forex ili iweze kuwanufaisha wengi.
Mkuu, Siyo brokage ni brokerage. No offence ila kurekebishana tu kwa upendo. [emoji120]unataka kuanzisha brokage company au training centre?