Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
harafu mbona umekuja kwa ID nyingine, njoo kwa ile tulioyoizoea
 
Baada ya kijana mwenzetu ndugu Ontario kuamua kuwasaidia vijana wenzake kuwapa elimu juu ya Forex ili waweze kujikwamua kiuchumi, kumeibuka niseme kama kundi fulani ambalo naona ni organized kabisa ambalo wanapinga juhudi hizi ama harakati hizi za Ontario, labda sababu ya chuki tu ama roho ya husda ama roho za kwanini kwamba vijana wengine waendelee kimaisha.

Watu hawa wanaanzisha na thread kabisa na wengine hutumia hata lugha chafu na za kejeli(mmeshuhudia katika comments mbalimbali) ili tu kuwa dissapoint wale wanaondelea kwa kasi kujiunga kuipata elimu hii adhimu. Wengine wanadiriki hata kuweka na links sjui za kuaminisha ni utapeli lakini hakuna la maana,wengine kutunga stori za watu waliofilisika yote haya ili tu vijana walioamua kuwekekeza muda wao na akili zao kujikwamua kimaisha wanashindwa na waendelee kukaa tu na kuirushia lawama serikali.

Nachoshangaa ni kwamba wao waliofanikiwa wamefanya nini kuwasaidia vijana? Utakuta hamna kitu, hizi ndo roho za baadhi ya watanzania na pengine afrika kwamba inamuuma sana kumuona mwingine either anaamua kujikwamua kiuchumi au anafanikiwa.

Vijana mlioamua kuwekeza nguvu zenu kujikwamua kiuchumi, endeleeni na nguvu hio, achananeni na kelele hizi za hawa wenye husda, wao nina uhakika 80% wengine wanafanya, lakini sasa ile roho ya kwanini inawasumbua sana mana wao wanataka wafanikiwe wao tu. Watu wenye moyo kama wa ndugu Ontario ni wachache sana, mtu alie tayari kuhakikisha maisha ya vijana wengine yanainuka kama ambavyo yeye imemsaidia.

Just imagine mtu anatoa hoja kwamba hawezi kumsifia mwanaume mwenzake, mtu kama huyu tukimuita ignorant ama roho ya husda tutakua tunakosea? Hizi juhudi ilifikia ontario na cabinet yake kuonana na ndugu Max, hivi kweli JF iweke kitu ambacho ni utapeli kweli? Yani matapeli waweze kuonana kweli na uongozi wa JF ? Sidhani na hamna kitu kama hicho.

Nachofurahi ni kwamba watu wanaendelea.kujiunga na hii ni positive vibe kwamba baadhi ya vijana wanaojielewa wanaamka na kuacha lawama kwa serikali, kuamua kubaki maskini ama kufanikiwa kimaisha ni uamuzi wako.

Mods": huu uzi utakua edited, hawa watu tutakua tunawataja kabisa, mana hawana lengo zuri kabisa mana wameanza kutumia mgongo wa ontario vibaya.
 
Hahaaa Kufanya mtu anaweza fanya, Hata mimi pia naweza fanya nikiona inafaa kufanya si kwamba siwezi fanya naweza sana nikiona so
 
Halafu kitu ambacho hukijui ni kwamba wale wanao sapoti unaweza kuta hawafanyi na wale wana pinga wakaja kufanya.

So kusapoti haimanishi kufanya real na kupinga haiminishi kuto fanya
 
Kweli mmeamua naona jamani hela hizo hamjawasaidia vijana kutafuta wala kuwakopea, acheni watu wafate wanachotaka, kuanguka au kushindwa ni jambo la kawaida tu sio lazima kila mtu afanikiwe kwenye fursa hii
 
Mtaweweseka sana ndugu zangu hasa wewe Chasha Poutry Farm, tumeona PM zako zote ulizokuwa unawatumia watu lakini kama nilivyowaza mwanzo ni kuwa Mr Ontario kawa tight mpaka kwenye Soko la Kuku na Mayai sasa kwa kupumulia hamna ndiyo maana nanyi mnaamua kumharibia ila muangalie sana hakuna mtu anafurahiya visa vyenu.

Mnabadirisha ID kila wakati sababu ni wivu tu tena wivu wenyewe ungekuwa wa Kiume bali mna wivu wa Kike poleni sana.

TMT Forever ever!!
 
Hahaaa mkuu kwani siasa? nimuogope nani?

Sena hapa nikipi nacho ogopa so far yoyote akopost ni Chasha?

Mbona na coment kwa ID yangu?.kwani siasa?

Hebu taja hapa ni kipi nacho ogopa.
 
Mtaweweseka sana ndugu zangu hasa wewe Chasha Poutry Farm, tumeona PM zako zote ulizokuwa unawatumia watu lakini kama nilivyowaza mwanzo ni kuwa Mr Ontario kawa tight mpaka kwenye Soko la Kuku na Mayai sasa kwa kupumulia hamna ndiyo maana nanyi mnaamua kumharibia ila muangalie sana hakuna mtu anafurahiya visa vyenu.

Mnabadirisha ID kila wakati sababu ni wivu tu tena wivu wenyewe ungekuwa wa Kiume bali mna wivu wa Kike poleni sana.

TMT Forever ever!!
Naomba ukiona nimecoment yangu wewe ucoment kuni quote. au nitaje

Mbona na post kwa ID yangu? so yoyote anaye post ni Chasha?

Mkuu mimi napost kwa ID yangu na na Coment kwa ID yangu kama hivi.

Tusitafutane ubaya tafadhali sana.

Hao watafute huko mimi hata namba yangu ya simu iko humu na ukitaka nitaiweka hata hapa
 
wakuu naomba kupata utaratibu wa kufuata pamoja na vibali husika kulingana na sheria za nchi. Nina lengo la kuanzisha hii biashara ya Forex ili iweze kuwanufaisha wengi.
unataka kuanzisha brokage company au training centre?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom