Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Mimi huwa nashindwa kuelewa hizi negativity zetu! Mimi binafsi nimejaribu kufuatilia hizi issue kwamba "lazima uliwe hata kama ulikuwa upate" yaani kwamba ulienda sawa na market kwamba upate loss!?!Bosi, katika vitu ambavyo najiamini navyo ni kuwa Mimi ni msomaji mzuri. Sina uvivu katika hilo. Na sisomi kama hadithi.
Tuwe wa kweli hapa. Tusije potezana.
Kuna wenzetu hapa hawana access na mambo mengi sana na bwana Ontario alivyoleta story za kupika pesa inawezekana kuna wadau walichukulia kirahisi hii 'game'
Nna uhakika wengine wameanza kucheza. Lakini it is not too late. Tushtuane. Tujuzane yaliyo ya msingi kabisa katika hii biashara
Kwamfano kuna Forex brokers nyingi mno zinamea kila kukicha ambazo ni scam. Ukifanya nao hii business lazima uliwe haijalishi hata kama ulikuwa upate.
Hawana aibu, unaliwa tu. Na nyingi huna pa kushtaki. Brokers kama wa sijui Belize, etc.
Hii kitu sio kweli!! Natoa mfano mmoja ambao niliufuatilia nikagundua ni uongo!
Wanao fanya biashara ya Forex wengi wapo kwenye ma group ya watsap, telegram! Jiulize swali, wote wanatumia broker mmoja!? Obvious itakuwa BIG NO! Sasa kama wa broker X amepata Loss anayemtumia Y atapata profit kwa pair hiyo hiyo moja na kwa entry moja!?! Hii sijawahi kuiona zaidi mtazidaina faida au hasara kwa sababu ya spread za brokers!!
Ila sijawahi kusikia kwamba mmoja wa broker Y ali SELL EURUSD na wa broker X ali SELL EURUSD hiyo hiyo na wote wakaingia kwa price moja then mwisho wa siku mmoja avune faida na mwingine avune hasara kwa broker kumpeleka upande wa hasara!! Hayo yangeshaonekana kwenye groups za Wanao trade huko