Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hivi haiwezekani kuwithdwar au kudepost kwa kutumia bank ????



Maana Mimi MTU mweusi huwa simuamini kabisa
Kuna options nyng, option rahc ambayo naitumia kwa broker wasio na mpesa ni skrill.
 
Unawezekana kabisa mkuu sema shida mifumo ya kibank haijazoeleka sana Tz! Yaani nilipoambiwa templerfx mtu anaweza kuwithdraw kwa mpesa moja kwa moja nikajua wanaojihusisha humo ni watu cheap sana....
Ishu co ucheap wa tunaotumia mpesa. Ishu ni kwamba kwa tz bado sana banks kuweka mifumo rahc ya kibank ya kulipia huduma mitandaoni. Na bank nyngne hazina hata online banking kabisa, hafu pia kuna urahc wa kudeposit na kuipata cash yako, imagine uko kantalamba, hata ukiwithdraw kwenda bank utahtaji ufike bank kudraw, na hyo ATM kuipata ndo sio karibu kama ukiwa huko Dar ujue...

Ushawahi hesabu kuna vibanda vingapi vya mpesa, na kuna ATM ngapi katika mji mmoja? There comes the "why we choose mpesa"...
 
JF anzeni kuchukua chenu kwa matangazo ya biashara ya watu wanaouza strategy au signal!
 
[emoji23] [emoji23] you can relax babe nikiangukia pua wewe si upo?
Easy bae....
But try something if possible, ask one of the Forex winer to dread for you, the you will take 50% each once you make a profit....
And, don't forget to mark my word...[emoji12] [emoji12]
 
Easy bae....
But try something if possible, ask one of the Forex winer to dread for you, the you will take 50% each once you make a profit....
And, don't forget to mark my word...[emoji12] [emoji12]
Siamini kama hata wewe huniamini...nani ataniamini sasa? Halafu umesahau practice makes perfect, mimi nitajua lini sasa?
 
Siamini kama hata wewe huniamini...nani ataniamini sasa? Halafu umesahau practice makes perfect, mimi nitajua lini sasa?
Nakuamini babe.....
Keep on pushing and pull up yo sox...[emoji12] [emoji12]
 
Daah barikiwa sana mkuu
 

Asante sana mkuu, nimekuelewa bila chenga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…