Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu nimefungua universal real account kwa broker templer fx naomba kufahamu nimepewa leverage ya 1000:1 kwa uelewa wng kwamba position moja kwa micro lot size naweza kufungua position angalau kwa dola moja? Je nipo sahihi?
 
Daah nimeitafuta hii post
 
Mkuu nimefungua universal real account kwa broker templer fx naomba kufahamu nimepewa leverage ya 1000:1 kwa uelewa wng kwamba position moja kwa micro lot size naweza kufungua position angalau kwa dola moja? Je nipo sahihi?
Japokuwa leverage inaweza kukusaidia kufungua position moja ya lot 0.01 kwa very low spreads pairs, lakini hata haishauriwi kujaribu.

WHY? Kuna kitu kinaitwa Risk Management, kujaribu kufungua position kwa balance ya $1 ni sawa na kuitoa sadaka. Mana hata iwaje, lazima iungue, spreads tu zinaweza kukutoa out, labda kama pair ina spread ya 0. Na hapo, iwe ukiplace order market inashoot on your favor, ikienda upande kidogo tu,unakuwa stopped out.
 
Shukrani kwa mwongozo mkuu nimekupata vizuri kabisa!
 
Kakojoe ukalale huko, hafu huu Uzi tuachie traders Wa forex , nyie endeleeni kufungua nyuz za kulima matikitimaji, na kilimo cha mboga mboga.
Hata mimi nawashangaa. Kwenye huu uzi wanakuja kutafuta nini?
 
Hata mimi nawashangaa. Kwenye huu uzi wanakuja kutafuta nini?
[emoji23] [emoji23] wanawashwa washwa, wana fear kubwa sana ndani yao, kwamba hawa watu wanao trade fx wanaingiza mpunga mrefu na watatuacha mbali, so katika kujipa matumain kwao ndio wanaleta tumakalio hapa kutushambulia, wasubiri tu, it is just matter of time
 
Haisaidii.. Wajiunge na sisi kama wanaona tunafaidi
 
Habari wakuu.. nmesoma comments zenu na me nimekuwa interested kufanya biashara hii.. Je nifanye nn from the start. Elimu yangu ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Ahsanteni.
 
Habari wakuu.. nmesoma comments zenu na me nimekuwa interested kufanya biashara hii.. Je nifanye nn from the start. Elimu yangu ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Ahsanteni.
1. Usiwe na haraka ya kuanza live trading
2. Soma na kamilisha hii course: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
3. Ukikamilisha namba mbili, Lete mrejesho, Utapata recommendation ya VITABU, VIDEO, na BROKER sahihi wa kumtumia kufanya MAZOEZI

Karibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanifuate mimi niwape mwongozo kama wanaona aibu kuja hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], nadhan wameona watakutafuta, baada ya elimu nzito kweli kweli miez nane... next week na mie naingia live, nitakutafuta kuelekezana mawili matatu
 

Aisee mbona upo totally opposite na mada halisi ,

Inaonekana wewe sio zombi Bali ni maiti aisse huyo raisi wako akutawale wewe forever
 

Hajui huyo forex trading is not for everyone[emoji1]
 
Hello Ontario naweza kupata email yako, au cell no. yako au whatsapp no. Plzzz plzzz nahitaj hii shule.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…