Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu nimefungua universal real account kwa broker templer fx naomba kufahamu nimepewa leverage ya 1000:1 kwa uelewa wng kwamba position moja kwa micro lot size naweza kufungua position angalau kwa dola moja? Je nipo sahihi?
 
TUMIA WEEKEND YAKO KUPATA MADINI KATIKA FX
Hint:
  • Andaa notebook+Peni kabla ya kuanza kutazama hii video
  • Jipe break kila baada ya lisaa, japo dk15, then endelea, Presentation yote ni masaa manne (4)

Baadhi ya vitu utakavyojifunza kwenye hii vido

NB: Iwapo una video bora inayohusu FX , Share video hio kupitia hii thread, ili na wengine waweze kujifunza. Ahsante
Daah nimeitafuta hii post
 
Mkuu nimefungua universal real account kwa broker templer fx naomba kufahamu nimepewa leverage ya 1000:1 kwa uelewa wng kwamba position moja kwa micro lot size naweza kufungua position angalau kwa dola moja? Je nipo sahihi?
Japokuwa leverage inaweza kukusaidia kufungua position moja ya lot 0.01 kwa very low spreads pairs, lakini hata haishauriwi kujaribu.

WHY? Kuna kitu kinaitwa Risk Management, kujaribu kufungua position kwa balance ya $1 ni sawa na kuitoa sadaka. Mana hata iwaje, lazima iungue, spreads tu zinaweza kukutoa out, labda kama pair ina spread ya 0. Na hapo, iwe ukiplace order market inashoot on your favor, ikienda upande kidogo tu,unakuwa stopped out.
 
Shukrani kwa mwongozo mkuu nimekupata vizuri kabisa!
 
Kakojoe ukalale huko, hafu huu Uzi tuachie traders Wa forex , nyie endeleeni kufungua nyuz za kulima matikitimaji, na kilimo cha mboga mboga.
Hata mimi nawashangaa. Kwenye huu uzi wanakuja kutafuta nini?
 
Hata mimi nawashangaa. Kwenye huu uzi wanakuja kutafuta nini?
[emoji23] [emoji23] wanawashwa washwa, wana fear kubwa sana ndani yao, kwamba hawa watu wanao trade fx wanaingiza mpunga mrefu na watatuacha mbali, so katika kujipa matumain kwao ndio wanaleta tumakalio hapa kutushambulia, wasubiri tu, it is just matter of time
 
Haisaidii.. Wajiunge na sisi kama wanaona tunafaidi
 
Habari wakuu.. nmesoma comments zenu na me nimekuwa interested kufanya biashara hii.. Je nifanye nn from the start. Elimu yangu ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Ahsanteni.
 
Habari wakuu.. nmesoma comments zenu na me nimekuwa interested kufanya biashara hii.. Je nifanye nn from the start. Elimu yangu ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Ahsanteni.
1. Usiwe na haraka ya kuanza live trading
2. Soma na kamilisha hii course: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
3. Ukikamilisha namba mbili, Lete mrejesho, Utapata recommendation ya VITABU, VIDEO, na BROKER sahihi wa kumtumia kufanya MAZOEZI

Karibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanifuate mimi niwape mwongozo kama wanaona aibu kuja hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], nadhan wameona watakutafuta, baada ya elimu nzito kweli kweli miez nane... next week na mie naingia live, nitakutafuta kuelekezana mawili matatu
 
mtajiunga sana vijana na mtaliwa sana na mtapoteza hela nyingi.
sijui kwanini watamzania ni wajinga kiasi hiki ndomana muda mwingine Mh Raisi aongoze nchi hata milele tu maana sio kwa kuendekeza huu ujinga.
Biashara za ku unga unga watu ni za kuibia watu maana ww mjinga unatoa hela kufaidisha wachache ambao wako juu ya chain. ila bado mijitu inang'ang'ania tu.
mtu hata kuwasha na kuzima computer huwezi halafu unajidanganya utaelewa biashara za Fedha.
ni ndoto hizo.

Aisee mbona upo totally opposite na mada halisi ,

Inaonekana wewe sio zombi Bali ni maiti aisse huyo raisi wako akutawale wewe forever
 
The way you have written kwa msisitizo kwa mtu hasiyejua maana ya foreign exchange market anaweza akadhani umeandika kitu cha msingi sana but ukweli ni kuwa andishi lako limeonesha ni kiasi gani upo kipofu katika mambo ya masoko ya fedha.
Labda niseme hivi binafsi nimefanya degree ya uchumi (BA in Economics) and Msc Finance and Investment (lengo sio kuonesha nimesoma bali ujue kuwa ninapozungumzia forex sio tu kuwa nimeisikia mtaani bt ni sehemu ya specialization yangu). Nimeijua forex for the first time back in 2012 kupitia kupitia profesa wangu aliyekuwa ananifundisha International financial markets. Hapa unajifunza money markets, capital markets and foreign exchange market (forex).
Tulipofika hapo kwenye foreign exchange market, profesa alitoa simu yake mfukoni na kutuambia kuwa, nanukuu, 'Gentlemen, at the end of this lecture you should be able to trade forex and make money light on your very mobile phones' . Kwa kweli sikumuelewa coz nilizoea kuwa trading forex inabid niende bank au beaure de change phyically and buy currencies for resell when their prices gone up.
Lakin alipoanza kutufundisha kwa kutumia cases (kumbuka mfumo wa nje wa elimu huwa wanatumia sana case studies kwenye kufundisha) ndio tulipokuja kusoma cases za watu kama akina Soros waliopiga pesa ndefu kwenye forex lakin pia watu wengi waliowah kuaminiwa na mabank wakapewa pesa za bank watrade na wakala hasara na kufungwa jela.
Naandika yote haya kukusisita kuwa kama kitu haukifahamu vizuri ni vema ukauliza au ukafanya kijiutafiti basi kisicho rasmi sana ukijue kuliko kutumia the so called 'fallacy of generalization'.
Nakubali in the forex trade zipo changamoto just like in any other business but that should not be the reason to say forex ni utapeli. Mwanafunzi yeyote aliyesoma accounts amesoma International finance, sasa sijui wakifika kwenye part ya foreign exchange market huwa wanafundishwa kugumble(kama wengi msemavyo forex ni gambling), jibu ni hapana. Forex ni knowledge watanzania wenzangu, just because you can't do it or many people get loss or wanatapeliwa haina maana kuwa forex ni utapeli.
Ni mawazo yangu tu sio lazima mtu ayakubali but just because you don't agree it doesn't mean they're not real.

Hajui huyo forex trading is not for everyone[emoji1]
 
Hello Ontario naweza kupata email yako, au cell no. yako au whatsapp no. Plzzz plzzz nahitaj hii shule.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom