Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Safi boss, Niko napitia material mbali mbali ili nikija in ur class nisipate shida, iwe kama vile nakula mtori na mnofu.
 
Naomba uniweke na mimi kwenye hao watu 300
 
Ontario mkuu always the best kwenye thread zako zilizo jaa umakini. .hongera big brother na mm am in kwa kweli na hisi sija chelewa kwenye hao watu 300.God bless you
 
Umetisha mkuu
 
Cc relato,ndugu yangu come this way. Kuna kitu kizuri. Let's subscribethe thread 300 wa mwanzo tuwe kwenye top ten.
Cheers my girl relato
Live long ONTARIO if ukiweka tag list put me in.
Unapenda unavyo changamkia positive fursa positively my girl. Mie si unajua tena hii inayonipa rizki ndugu yangu. Wee keep yourself in,utanipa tuition.
 
Unazungumzia tuseme live broadcast kama zinavyorushwa na watu YouTube au FB. If that's it ni idea nzuri sana sana, we can think of it. Thanks!
This is a very good idea brother. The way things are now, there is alot of interest in this topic, much more than the 300 slots you are providing. Ukirusha live via YouTube/FBLive/InstagramLive/Periscope etc hata wale ambao hawatanikiwa kuteuliwa kuwa kwenye kundi la 300 wataweza kunufaika. You seem to have a selfless heart and a genuine conviction to enlighten your fellow countrymen...this is the way to do it.
 
Mkuu inategemea na data connection atakayotumia. Kama atatumia broadband au 4G wala kutakua hamna shida. Lakini pia FB ukiwa live...ina record vile vile so watu wanaweza kuja kuangalia baadaye au wale waliofuatilia live wakarudia mara ya pili sehemu ambazo hawakuelewa
 
What i suggest is to open a new bank account separate from your ordinary bank account specifically for this purpose. Whenever your forex earnings are sent to this new account..you can immediately transfer those funds to your ordinary account. That way the local account linked to your forex trading account is always empty...meaning there is nothing to steal.
 
good point...that was my thinking too...
 
Haujamuelewa na ndiyo maana alipotumia hilo neno upumbavu umeona kama anakutukana. Alafu mkuu kwenye knowledge yote uliyonayo kumbe hata kujiunga forex haujui!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…