Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi boss, Niko napitia material mbali mbali ili nikija in ur class nisipate shida, iwe kama vile nakula mtori na mnofu.Nikupe siri 1, this comes me. Forex hupaswi kusoma vitabu vyote uvionavyo, forex si lazima ujue kila kitu, forex si kitu ambacho unabidi ukiogope, forex is a mind game, forex ili ufanikiwe huitaji kuwa genius, ukiweza kucontrol emotions zako you are almost half way. Unaweza ukasoma vitabu viwili ukawa cream kuliko mtu aliyesoma vitabu 50. Forex is a game, you only need a working strategy. Kuna vitabu zaidi ya 500, wewe focus on what works best for you... fahamu the basics, then ukipata mentor mzr anakuguide kufikia kwenye strategy ambayo kwake inawork. Hilo swali km haujagoogle basi umeelewa vzr sn.
Umetisha mkuuUpo sahihi kabisa.
Nikupe siri moja, jikaze mwezi mzima (tuseme June) unasoma vitabu ili upate ABCs.
July ufanye mwezi wa kusoma strategies mbalimbali.
August, ufanye mwezi wa kuitumia demo yako kutest hizo strategies zako ulizoweka.
September, anza na 100USD kufanya live trading. Mpaka hapo utakuwa better off.
Kama hujiamini anza October na live trading.
Fanya kwa moyo mmoja..
Unapenda unavyo changamkia positive fursa positively my girl. Mie si unajua tena hii inayonipa rizki ndugu yangu. Wee keep yourself in,utanipa tuition.
This is a very good idea brother. The way things are now, there is alot of interest in this topic, much more than the 300 slots you are providing. Ukirusha live via YouTube/FBLive/InstagramLive/Periscope etc hata wale ambao hawatanikiwa kuteuliwa kuwa kwenye kundi la 300 wataweza kunufaika. You seem to have a selfless heart and a genuine conviction to enlighten your fellow countrymen...this is the way to do it.Unazungumzia tuseme live broadcast kama zinavyorushwa na watu YouTube au FB. If that's it ni idea nzuri sana sana, we can think of it. Thanks!
Mkuu inategemea na data connection atakayotumia. Kama atatumia broadband au 4G wala kutakua hamna shida. Lakini pia FB ukiwa live...ina record vile vile so watu wanaweza kuja kuangalia baadaye au wale waliofuatilia live wakarudia mara ya pili sehemu ambazo hawakuelewaLive broadcast itasumbua mkuu, fanya tu hyo class iwe recorded en upload t kwny youtube ili idumu kwa miaka yote. Inshort iwe km zile video zingine zilizopo youtube kuhusu lesson mbalimbali, yaani mkuu fanya hata kwa kutuchangisha hiyo 1st class ni lazima tufaidike wadau wote na popote tulipo.
What i suggest is to open a new bank account separate from your ordinary bank account specifically for this purpose. Whenever your forex earnings are sent to this new account..you can immediately transfer those funds to your ordinary account. That way the local account linked to your forex trading account is always empty...meaning there is nothing to steal.yeah,i've used some of those services where you pay online....but you should put in mind that those are certified companies and we trust them since we know how we can retrieve our money should anything go wrong..but in this case,we are talking of taking risks..not just risks but high risks...in simple terms,im trying to ask,kuna uwezekano pesa zako kwenye akaunti yako zikavutwa na hao mabrokers ukizingatia tayari umewapa nambari yako ya akaunti?..
cc: TheDealer.
good point...that was my thinking too...What i suggest is to open a new bank account separate from your ordinary bank account specifically for this purpose. Whenever your forex earnings are sent to this new account..you can immediately transfer those funds to your ordinary account. That way the local account linked to your forex trading account is always empty...meaning there is nothing to steal.
Wewe umeandika hapa ukiwa umelala . . ?!Watu hawalaliii
Haujamuelewa na ndiyo maana alipotumia hilo neno upumbavu umeona kama anakutukana. Alafu mkuu kwenye knowledge yote uliyonayo kumbe hata kujiunga forex haujui!?Naona kama umeamua kutuita wateja zako watarajiwa wapumbavu pasipo na sababu yeyote. Mimi nilitegemea jinsi ulivyo mwalimu na mwandishi mzuri ungetumia busara zaidi kutujibu, lakini you lost it kwa kuni refer mimi kama mpumbavu. Bora niwe mpumbavu sasa ili nieleweshwe kuliko kuwa mpumbavu to the end.
Anyway, hebu nieleze nitaweza register vipi kwenye www.forex.com nikiwa kama mtanzania? Hizo MasterCard zitakazotolewa zitakuwa za prepaid au hapana? Kama siyo za prepaid zitakuwa na limit ya kiasi gani? Baada ya kupata training nitaweza tumia platform zipi online na payment card ya namna gani? Je itanipasa kulipia chochote baada ya training?
Utalalaje huna pesaWatu hawalaliii
Hilo darasa amesema anaanza lini? Na mm sitaki kukrupuka ngoja nisubr darasa huku napitia vitabuNasubiri darasa tuu
kitabu kipo vizuri japokua sio complete edition naanza chapter three badae jioni leoBoss umetisha vibaya mno. Si kwa speed hii, najua umecomment na kulike kwanza ndio umeanza kusoma. Salute my man. Hahaaa