100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mkuu hebu nidadavulie hapo jinsi navyoweza ku draw profits,either kwa benki au njia ya simu.ahsanteKuna namna nzuri tu ya kutoa pindi utakapopata faida yako na ujue huyu ni ECN Broker si Marker Maker
Xm ni market maker?Kuna namna nzuri tu ya kutoa pindi utakapopata faida yako na ujue huyu ni ECN Broker si Marker Maker
Ukitaka kutoa pesa unatuma email wanakupa link unaifuata mpaka kutoa ni kitendo cha dk 2 pesa inakuwa tayariMkuu hebu nidadavulie hapo jinsi navyoweza ku draw profits,either kwa benki au njia ya simu.ahsante
XM ni Market Maker hiyo inafahamika wazi.......ECN Broker hupeleka trades za mteja sokoni moja kwa moja ila Market Maker hutrade tofauti na ulivyoweka wewe na huwa anatamani upoteze maana kupoteza kwako ndo kupata kwake ila ECN hapendi kukupoteza anataka uendelee kutrade ili achukue tu kamisheni na spreadsXm ni market maker?
Je kuna utofauti gani kati ya ecn broker na market maker ambaye piani broker?
Mkuu nashukuru kwa ufafanuziUkitaka kutoa pesa unatuma email wanakupa link unaifuata mpaka kutoa ni kitendo cha dk 2 pesa inakuwa tayari
Poa poa,ushaanza live trading?I got you.
M
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi
Si recommend xm broker kwa forex trader maana jamaa ni market marker wa nguvu! Mwanzon nilidhani jamaa wpo poa kutokana na jina kubwa lakini kati ya forex broker niliotrade nao kwangu mimi huyu xm wamenishinda you always lose no matter how well you enter the market! Nilianza na mtaji mdogo about 30$ na nilikuwa natrade kwa lot size ya 0.02 na pia kuzingatia rules za money management lakini wapi bwana. Hawa jamaa ni greed market maker. Nimetrade na brokers wengine with the same strategies nikawa namake profit lakini kwa xm nime surrender! Sitaki hata kuwasikia!Xm ni market maker?
Je kuna utofauti gani kati ya ecn broker na market maker ambaye piani broker?
Hahaha mkuu hebu tupe hao brokers wakoSi recommend xm broker kwa forex trader maana jamaa ni market marker wa nguvu! Mwanzon nilidhani jamaa wpo poa kutokana na jina kubwa lakini kati ya forex broker niliotrade nao kwangu mimi huyu xm wamenishinda you always lose no matter how well you enter the market! Nilianza na mtaji mdogo about 30$ na nilikuwa natrade kwa lot size ya 0.02 na pia kuzingatia rules za money management lakini wapi bwana. Hawa jamaa ni greed market maker. Nimetrade na brokers wengine with the same strategies nikawa namake profit lakini kwa xm nime surrender! Sitaki hata kuwasikia!
Si recommend xm broker kwa forex trader maana jamaa ni market marker wa nguvu! Mwanzon nilidhani jamaa wpo poa kutokana na jina kubwa lakini kati ya forex broker niliotrade nao kwangu mimi huyu xm wamenishinda you always lose no matter how well you enter the market! Nilianza na mtaji mdogo about 30$ na nilikuwa natrade kwa lot size ya 0.02 na pia kuzingatia rules za money management lakini wapi bwana. Hawa jamaa ni greed market maker. Nimetrade na brokers wengine with the same strategies nikawa namake profit lakini kwa xm nime surrender! Sitaki hata kuwasikia!
https://secure.tickmill.com/redirec.../secure.tickmill.com/trader/?task=1050&lang=2Hahaha mkuu hebu tupe hao brokers wako
[emoji23] [emoji23] hayajakukuta eeh?Yani Market Maker angekuwa mtu angemaind balaa, mnavyomlaumu![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ya kuchoma akaunti? Yamenikuta sana tu, ila cpend kublame Market maker, najiblame mwenyewe[emoji23] [emoji23] hayajakukuta eeh?
No nilikuwa nafanya backtesting tu naona strategy ipo poa,ila soon na mimi nitaanza.Poa poa,ushaanza live trading?
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri.Si recommend xm broker kwa forex trader maana jamaa ni market marker wa nguvu! Mwanzon nilidhani jamaa wpo poa kutokana na jina kubwa lakini kati ya forex broker niliotrade nao kwangu mimi huyu xm wamenishinda you always lose no matter how well you enter the market! Nilianza na mtaji mdogo about 30$ na nilikuwa natrade kwa lot size ya 0.02 na pia kuzingatia rules za money management lakini wapi bwana. Hawa jamaa ni greed market maker. Nimetrade na brokers wengine with the same strategies nikawa namake profit lakini kwa xm nime surrender! Sitaki hata kuwasikia!
Hapo ni 30 usd na leverage ya 100 inakuwa 3000 so kama ni 0.02 ina maana ni 0.2 usd per pip,it means pips 150 zikienda against akaunti inakauka.Lakini mkuu capital ya dola 30 kwa lot size ya 0.02 huoni kama ni kubwa sana?
Mkuu mi naona kinachofanya tufeli forex pia ni mitaji midogo,pindi unapokuwa na mtaji mdogo unataka kuingiza pesa kubwa,ukiwa na 30 usd na leverage ya 100 na ukachukua lot size ya 0.02 ina maana ukipata profits ya pips 100 utakuwa naHawa jamaa hata ukiweka lot size ya 0.01 kama ni market maker atakutafuna tu. Lot size hiyo ya 0.02 kwa 30 USD siyo mbaya sana kama unafuata principles za money management. Issue hapa ni kwamba market maker anachotaka ni kuchukua hiyo hela yako no matter what watajitahidi waichukue hata kama ni kidogo kidogo! WANA MCHEZO MCHAFU!