Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kuna namna nzuri tu ya kutoa pindi utakapopata faida yako na ujue huyu ni ECN Broker si Marker Maker
Mkuu hebu nidadavulie hapo jinsi navyoweza ku draw profits,either kwa benki au njia ya simu.ahsante
 
Xm ni market maker?
Je kuna utofauti gani kati ya ecn broker na market maker ambaye piani broker?
XM ni Market Maker hiyo inafahamika wazi.......ECN Broker hupeleka trades za mteja sokoni moja kwa moja ila Market Maker hutrade tofauti na ulivyoweka wewe na huwa anatamani upoteze maana kupoteza kwako ndo kupata kwake ila ECN hapendi kukupoteza anataka uendelee kutrade ili achukue tu kamisheni na spreads

Tafuta humu kuna maelezo ya tofaut kati ya ECN na Market Maker
 
Xm ni market maker?
Je kuna utofauti gani kati ya ecn broker na market maker ambaye piani broker?
Si recommend xm broker kwa forex trader maana jamaa ni market marker wa nguvu! Mwanzon nilidhani jamaa wpo poa kutokana na jina kubwa lakini kati ya forex broker niliotrade nao kwangu mimi huyu xm wamenishinda you always lose no matter how well you enter the market! Nilianza na mtaji mdogo about 30$ na nilikuwa natrade kwa lot size ya 0.02 na pia kuzingatia rules za money management lakini wapi bwana. Hawa jamaa ni greed market maker. Nimetrade na brokers wengine with the same strategies nikawa namake profit lakini kwa xm nime surrender! Sitaki hata kuwasikia!
 
Hahaha mkuu hebu tupe hao brokers wako
 
Lakini mkuu capital ya dola 30 kwa lot size ya 0.02 huoni kama ni kubwa sana?
 
Hawa jamaa hata ukiweka lot size ya 0.01 kama ni market maker atakutafuna tu. Lot size hiyo ya 0.02 kwa 30 USD siyo mbaya sana kama unafuata principles za money management. Issue hapa ni kwamba market maker anachotaka ni kuchukua hiyo hela yako no matter what watajitahidi waichukue hata kama ni kidogo kidogo! WANA MCHEZO MCHAFU!
 
Yani Market Maker angekuwa mtu angemaind balaa, mnavyomlaumu![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Si recommend xm broker kwa forex trader maana jamaa ni market marker wa nguvu! Mwanzon nilidhani jamaa wpo poa kutokana na jina kubwa lakini kati ya forex broker niliotrade nao kwangu mimi huyu xm wamenishinda you always lose no matter how well you enter the market! Nilianza na mtaji mdogo about 30$ na nilikuwa natrade kwa lot size ya 0.02 na pia kuzingatia rules za money management lakini wapi bwana. Hawa jamaa ni greed market maker. Nimetrade na brokers wengine with the same strategies nikawa namake profit lakini kwa xm nime surrender! Sitaki hata kuwasikia!
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri.
 
Lakini mkuu capital ya dola 30 kwa lot size ya 0.02 huoni kama ni kubwa sana?
Hapo ni 30 usd na leverage ya 100 inakuwa 3000 so kama ni 0.02 ina maana ni 0.2 usd per pip,it means pips 150 zikienda against akaunti inakauka.
 
Hawa jamaa hata ukiweka lot size ya 0.01 kama ni market maker atakutafuna tu. Lot size hiyo ya 0.02 kwa 30 USD siyo mbaya sana kama unafuata principles za money management. Issue hapa ni kwamba market maker anachotaka ni kuchukua hiyo hela yako no matter what watajitahidi waichukue hata kama ni kidogo kidogo! WANA MCHEZO MCHAFU!
Mkuu mi naona kinachofanya tufeli forex pia ni mitaji midogo,pindi unapokuwa na mtaji mdogo unataka kuingiza pesa kubwa,ukiwa na 30 usd na leverage ya 100 na ukachukua lot size ya 0.02 ina maana ukipata profits ya pips 100 utakuwa na
20 usd profit sawa na 40000 tshs.
Hapo mtu amekula faida kubwa saana it means ningekuwa na 11000 na nikachukua leverage ya 100 na lot size ya 10 hizo hizo pips 100 zingenipa million 22 (10000 usd)
Mtu mwenye mtaji mdogo atataka ku trade mara kwa mara hapo ndipo unapigwa.
Ila ukiwa na akaunti nzuri una trade hata twice or once a week.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom