Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
usi panic lilux nani kaja kutafuta watu wakati mimi na share kilee nilicho nacho. tafuta kama nimeomba chochote au kumshauri mtu. mi nime share tu vitu best vya forex
Huko inbox unaenda ku share nini?? Unashare unamwambia mtu njoo chumbani??? kwann usiweke hapa kama Unashare?? unaelewa maana ya ku share??

by the way, hakuna "Wakuja" tena siku hizi, watu walishafunguka akili, hakuna miujiza kwenye hii biashara, You either learn or get screwed, hakuna shortcut wala bibi yake shortcut
 
usi panic lilux nani kaja kutafuta watu wakati mimi na share kilee nilicho nacho. tafuta kama nimeomba chochote au kumshauri mtu. mi nime share tu vitu best vya forex
Share those indicators, tuzifanyie backtesting pia, kushow pics zake, bila kutupatia indicators zenyewe bado haitusaidii sana....

We need those profits
 
Uongo mwingine wa system zao uchwara pale wanapokutajiwa uhakika wa pips utadhani hizo tools ndio zinamove market
 
Mnanifurahisha sana nyi jamaa![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]
 
safi sana sasa siitoi bure nauza huna pesa kata hivi deal done
 
unapenda kumezewa ngoja siku uzae ndo utajua, ndo maana wenzetu kununua album ni kitu cha kawaida sana ila sasa mapulizo kama nyie ni shida sana
 
Uongo mwingine wa system zao uchwara pale wanapokutajiwa uhakika wa pips utadhani hizo tools ndio zinamove market
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wehu sana, alafu hizo screenshot idadi ya pips nahisi katoa YouTube, kuna channel kule naonaga inatangaza upuuz unao fanana na huo anaotaka kuleta hapa

Hakuna mtu anaekuaga mjinga wakati wote, mara ya kwanza ilikua ni rahisi kudanganya mtu, sio saiv... heheheh watu wanalala wanaota candlestick patterns... mtu amekua kwenye kioo cha pc na simu hadi akila wali zile punje anaona candlestick candlestick tu na bado siku moja moja anakula za uso, alafu mtu anakuja anakwambia una click tu pips 300+ hizo hapo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] shenzi kabisa
 
wewe unataka kuingiza pip 300 kwa siku lakini wenzako wana hold mpakawek mbili na wanapata faida fresh tatizo tamaa ndo mnaendekeza
 
unapenda kumezewa ngoja siku uzae ndo utajua, ndo maana wenzetu kununua album ni kitu cha kawaida sana ila sasa mapulizo kama nyie ni shida sana
Mimi na wewe anae mezewa ni nani?? mimi nikisema nauza kitu kwaajil ya trading labda niuze kichwa changu, ni pure naked trader, hakuna upuuz wowote kwenye screen ya device yangu, nachoweza mpatia mtu ni knowledge ndogo niliyo nayo na sio kumuuzia chochote kile wala kumlipisha

Eti unauza tool, tool gani hiyo???? zingekua za maana unadhan hizo hedge fund firms, capital management firm, zingekua zinaajiri watu??? si wangeweka tu hizo tools???

Jp Morgan, Stanley Morgan, Goldman Sachs, Citi banks, AIG and the likes wangekua wanakimbizana kusaka watu wenye uwezo wao kwenye hii financial market dunia nzima?? si wangeweka hayo ma vitu??

Unashare weka hapa wanao hutaji watachukua, yan unataka umuuzie mtu kitu kinachoenda kumtia hasara???
 
wewe unataka kuingiza pip 300 kwa siku lakini wenzako wana hold mpakawek mbili na wanapata faida fresh tatizo tamaa ndo mnaendekeza
nani kakuambia ninataka kuingiza pips 300??? Unasema "tamaa ndio tunaendekeza" akina nani? na unatutuhumu kama nani wewe? ni wapi umeona tuna hiyo tamaa???

Ni nani kakuambia wote tunatakiwa tu hold for weeks??? mbona wafanya ninaanza kuhisi hata ile "basic knowledge" ya forex huna??

Kwamba wote tuwe swing traders??? unataka tufanane wote kama kangaroo???
 
usi panic lilux nani kaja kutafuta watu wakati mimi na share kilee nilicho nacho. tafuta kama nimeomba chochote au kumshauri mtu. mi nime share tu vitu best vya forex
We jamaa bado una safari ndefu ya kuijua forex labda uwe umejiweka kwenye group ls matapeli, nimekufuata inbox unioneshe hiyo tool sijaona jipya tofauti na RSI au stochastic..

Soma mkuu hayo mambo mengine ni kupoteza muda tu
 
hakuna wepesi kwenye forex nikuambie.

sawa kama uko kwa ajili ya vilaza we endelea ingekuwa rahisi sana kwa ontario kutoa free training kama unavyo ongea,
mtu hawezi akaweka effort kwa alost like 6 month anaelewa forex ana soma day and night then unaamka tu unaanza kugawa knowledge bure they must appreciate
 
We jamaa bado una safari ndefu ya kuijua forex labda uwe umejiweka kwenye group ls matapeli, nimekufuata inbox unioneshe hiyo tool sijaona jipya tofauti na RSI au stochastic..

Soma mkuu hayo mambo mengine ni kupoteza muda tu
HONGERA SANA . wewe ndo unayo mi safari yanngu naijua mwenyewe
 
Get your facts right, ulikuja na "akili zako timamu hapa"

Ni lini na wapi nimesema Forex ni rahisi??? unaweza kunukuu huo mstari ukauweka hapa???

Wewe unaongelea miez sita??? Nimeanza soma siku huu uzi umewekwa hapa, na mpaka leo ninasoma, ni miezi mingapi imepita hapo???? siungi mkono binadamu yeyote yule anaetoza pesa kwaajil ya kufunza forex ama kupatia mtu hivyo unavyoviita tools, unataka pesa kazibebe kwenye soko, sio unakuja kuvizia vilak mbili mbili vya kina mwamtumu wakati huo soko lishakupiga KO,

Pesa za forex ziko sokon na si vinginevyo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…