Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Huko inbox unaenda ku share nini?? Unashare unamwambia mtu njoo chumbani??? kwann usiweke hapa kama Unashare?? unaelewa maana ya ku share??usi panic lilux nani kaja kutafuta watu wakati mimi na share kilee nilicho nacho. tafuta kama nimeomba chochote au kumshauri mtu. mi nime share tu vitu best vya forex
by the way, hakuna "Wakuja" tena siku hizi, watu walishafunguka akili, hakuna miujiza kwenye hii biashara, You either learn or get screwed, hakuna shortcut wala bibi yake shortcut